Posts

Showing posts from January 28, 2014

NIMEVURUGWA YA SNURA MUSHI YAPIGWA STOP KUONESHWA KWENYE TV...

Image
  BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), limeifungia video ya wimbo ‘Nimevurugwa’ ya mkali wa muziki wa mduara, Snura Mushi ‘Snura’ kwa madai ya kukosa vigezo vya kimaadili kwa jamii. Akizungumza hivi karibuni, Snura alisema hajui ni sababu gani iliyofanya kazi yake kufungiwa kupigwa katika vituo vya televisheni. “Nilipigiwa simu na rafiki zangu na kuambiwa hivyo, lakini mpaka sasa sijui ni kwa sababu gani maana sioni kama nimefanya kitu cha ajabu katika video hiyo na cha kushangaza hata sijaulizwa na yeyote, ila ndiyo hivyo,” alisema. Snura alisema wakati amesambaza video ya wimbo wake ‘Majanga’, kuna baadhi ya mashabiki walimshangaa ni kwanini hajacheza katika kazi hiyo kitu kilichosababisha video ya wimbo huo kupooza na kutokuwa na mvuto kwa mashabiki wake. “Nilivyopata malalamiko hayo, nikaona nisiwaboe kwa kuendelea kutoa video ambazo sichezi. Katika wimbo uliofuata nikacheza, kumbe nilikuwa naandaa mazingira ya kufungiwa,” alisema. Snura ni k

FANYA MAMBO HAYA KUZUIA CHUNUSI NA MABAKA USONI

Image
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria.   Kwa lugha ya kidaktari chunusi huitwa Acne Vulgaris.Chunusi ndio ugonjwa wa ngozi ambao humwathiri binadamu kwa kiasi kikubwa kwa mfano nchini Marekani pekee huathiri watu zaidi ya milioni kumi na sa-ba..Chunusi huweza kujitokeza katika umri wowote lakini huathiri sana vijana hasa wa-kati wa balehe (adolescents) .   Karibu asilimia 85 ya vijana kati ya umri wa miaka 12 hadi 25 hupata chunusi na zaidi ya asilimia 20 ya wanawake wenye umri wa zaidi ya miaka ishirini hupata chunusi wakati mwingine hata watoto wadogo pia huweza kupata chunusi hii ni tofauti na watu wengi wanavyofikiria kuwa chunusi ni dalili ya balehe.   Chunusi ni ugonjwa unaoathiri vifuko au glandi za ngozi.Katika ngozi ya binadamu kuna

TAREHE/ SIKU NZURI KWA MIMBA KUWEZA KUTUNGWA.

Image
Leo napenda nizungumzie jambo moja tu ambalo ni juu ya  jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile  day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.   Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani  idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa la wanawake wana fall  kwenye range ya siku 22-35. Japo walio-normal wana siku 28. Vile vile kuna wengine huwa na menstral  cycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo walio na menstral cycle fupi, mathalani wale wenye siku 22, huwa  vilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period), yaani damu inaweza kukatika ndani ya  siku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period)  ambapo wengine huwachukua hata siku kati ya 5 hadi 8.   Hivo basi, kama wewe ni mwanaume inakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako ju

MASOUD MOHAMMED AKA MCD MPIGA TUMBA WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA.

Image
 Mpiga tumba maarufu Masoud Mohamed MCD AMEFARIKI DUNIA USIKU HUU NYUMBANI KWAO MOSHI. Utaratibu wa safari ya Moshi kwa wanamuziki na wadau wengine unashughukikiwa Nguvu za wadau ni muhimu kwenye jambo hili tujipapase ili tuweze kumuenzi NGULI HUYU WA TUMBA

ANGALIA NAFASI ZA KAZI AGA KAN HOSPITAL

Image
Scientific Officer Aga Khan Hospital Date Listed:  Jan 27, 2014 Phone:  N/A Area:  Dar Es Salaam Application Deadline:  Feb 10, 2014 Position Description: From  Mwananchi ,  27 th  Jan 2014  (REF # PT -104 ) Key Responsibilities Responsible for overall technical and operational functions of section of laboratory, reporting to Lab Manager Performing of routine/specialized tests, authenticating reports after proper validation and verification Play key role in implementation of Lab Quality Program. Qualification, Knowledge & Experience Advanced Diploma in Medical Laboratory Technology from a recognized institute work experience 3- 5 years relevant work experience Experience in an international health setting is an asset Stock Controller Aga Khan Hospital Date Listed:  Jan 27, 2014 Phone:  N/A Area:  Dar Es Salaam Application Deadline:  Feb 10, 2014 Position Description: From  Mwananchi ,  27 th  Jan 2014 Key Res