Posts

Showing posts from April 21, 2015

The Best Yoga Poses for Pregnant Women

Image
Who said that pregnant women should forget about exercising? It is actually a myth! Instead, prenatal yoga can help you cope with all those body changes you must experience during pregnancy. It is a perfect way to find a balance between mind and body. No other technique can help women to stay fit and healthy and keep their mind calm and relaxed as much as yoga does. That does not mean that all yoga poses are good for you, some of them may actually hurt you, or your baby. That’s why you should be very attentive when working out during pregnancy, even when it comes to yoga. Just remember you should feel comfortable and not experience pain! Don’t forget to consult your doctor before exercising. So, we’ve gathered the safest yoga poses for those who are expecting. 1. The Easy Pose This pose is the best way to start a session. It helps...

Mfanyabiashara Afia Hotelini na Kete 30 za Heroin

Image
Mfanyabiashara wa dawa za kulevya, Kervin Mafita (40),mkazi wa Kinondoni, Dar es Salaam, amekutwa amekufa kwenye Hoteli  iliyopo jijini Arusha akiwa na shehena ya dawa hizo aina ya heroin tumboni mwake.   Meneja wa hoteli hiyo, Bw. Douglas Minja, alisema marehemu alifika hotelini hapo Aprili 12, mwaka huu, akiwa ameongozana na mama yake mzazi, mdogo wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka 11 na kukodi vyumba viwili.   Alisema Aprili 15, mwaka huu, saa nne asubuhi, mhudumu wa hoteli alienda kugonga chumbani kwa marehemu ili aweze kufanya usafi na baada ya kufunguliwa mlango, ndani kulikuwa na marehemu, mama yake na mgodo wake marehemu.   Aliongeza kuwa, ndugu hao walidai muda huo walikuwa na mazungumzo hivyo hawakutaka usumbufu ambapo kutokana na majibu hayo, muhudumu huyo alilazimika kuwapisha ili waendelee na mazungumzo yao.   "Baada ya saa moja, ndugu wawili (mama na mdogo wa marehemu), walitoka na kutokomea kusikojul...

CHAMA CHA TLP KIMEMPENDEKEZA MREMA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Image
Mh. Augustine Mrema Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), imempendekeza Augustine Mrema ambae pia ni mwenyekiti wa chama hicho kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Vunjo. Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho Nancy Mrikaria, akiongea jana na gazeti la mwananchi alisema kuwa kamati hiyo pia imemthibitisha Mrema kuendelea na nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine. Alisema kamati imeridhia Mrema kuendelea kugombea ubunge katika jimbo la Vunjo ikiwa na imani kuwa ana nafasi kubwa ya kushinda, ikilinganishwa na wengine waliotangaza nia ya kupambana nao. “Kamati imefikia hatua hiyo kwa kutambua uwezo alionao mwenyekiti katika kukiendeleza chama, pia hadi sasa hakuna mwanachama mwingine aliyejitokeza kugombea nafasi hiyo na tulianza kutoa fomu tangu Aprili 9 hadi 17, wakati kwenye nafasi ya makamu mwenyekiti Bara ndiyo kuna ushindani wa watu wawili wanaoigombea,” aliliambia gazet...

MAYUNGA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC STAR AFRIKA

Image
Nalimi Mayunga (katikati) akiwa amefurahi hadi akitaka kuanguka baada ya kutangazwa mshindi kwenye Shindano la Airtel Trace Music Star. Mayunga (kushoto) akiwa haamini kama jina lake ndio limetajwa ndiye mshindi wa shindano hilo.… Nalimi Mayunga (katikati) akiwa amefurahi hadi akitaka kuanguka baada ya kutangazwa mshindi kwenye Shindano la Airtel Trace Music Star. Mayunga (kushoto) akiwa haamini kama jina lake ndio limetajwa ndiye mshindi wa shindano hilo. Mayunga (katikati) akiwa na wadau mbalimbali akiwa ameshikilia tuzo yake. Mayunga akiimba. Watanzania wakishangilia baada ya Mayunga kuibuka mshindi. MTANZANIA Nalimi Mayunga ameshinda mkataba wa kurekodi muziki na Label ya Universal Music wenye thamani ya dola 500,000 ambayo ni shilingi milioni 900 kwenye Shindano la Africa Airtel Trace Star lililofanyika nchini Nairobi, Kenya Jumamosi iliyopita. Mayunga aliwashinda wasanii wengi kutoka nchi mbali...

MAJAMBAZI WAUWA WAWILI NA KUPORA PESA ZA KAMPUNI YA BONITE MOSHI

Image
Mlinzi wa Kampuni ya Bonite, aliyetambulika kwa jina la Shamba baada ya kupigwa risasi na majambazi mjini Moshi. Dereva wa Kampuni ya Bonite aliyetambulika kwa jina moja la Mselemu mara baada ya kushambuliwa kwa risasi na majambazi. ...wakiwa kwenye gari baada ya kushambuliwa kwa risasi na… Mlinzi wa Kampuni ya Bonite, aliyetambulika kwa jina la Shamba baada ya kupigwa risasi na majambazi mjini Moshi. Dereva wa Kampuni ya Bonite aliyetambulika kwa jina moja la Mselemu mara baada ya kushambuliwa kwa risasi na majambazi. ...wakiwa kwenye gari baada ya kushambuliwa kwa risasi na majambazi. Mlinzi baada ya kuuawa na majambazi. MAJAMBAZI yaliyokuwa na silaha yamevamia gari mali ya Kampuni ya Bonite na kuwamiminia risasi dereva wa gari hilo aliyetambulika kwa jina moja la Mselemu na mlinzi wa Kampuni hiyo aliyetambulika kwa jina la Shamba kisha kupora fedha na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea jana mjini Moshi ambapo majambazi wanne waliokuwa kwenye pikipi...
Image
Mohammed Mosri. Aliyekuwa Rais wa Misri, Mohammed Mosri amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kuwachochoea wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood kuwaua waandamanaji wa upinzani alipokuwa madarakani mwaka 2012.

TAARIFA ZAIDI TUKUO LA KUKAMATWA KWA MAGAIDI MOROGORO

Image
Polisi wakimjulia hali mwenzao aliyekatwa na sime shingoni. HII ndiyo A-Z ya wale watu tisa wanaoshikiliwa na polisi jijini Dar baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab. Mmoja kati ya watu hao (wa kumi), Hamad Makweka aliuawa. Watu hao walikamatwa Aprili 14, mwaka huu saa 3:30 usiku katika Kitongoji cha Nyandero Tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero, Morogoro wakiwa na silaha hizo ambapo ilidaiwa kuwa, walikuwa wakijiandaa kwenda kufanya uhalifu wa ‘kigaidi’ mahali. Ilidaiwa watu hao walilala kwenye Msikiti wa Answar Sunna uliopo Kidatu ambao unamilikiwa na Islamic Foundation. Baada ya kukamatwa, awali walishikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi, Morogoro na baadaye kupelekwa jijini Dar kwa siri ambako mahojiano makali yanaendelea. Habari kutoka ndani ya jeshi hilo zinasema kuwa, watu hao wanahojiwa ili kujua ukubwa wa mtandao wao, walikuwa wakafanye tukio wapi...

UNYAMA WA KUTISHA DAR: WATOTO WACHOMWA MOTO HADI KUFA, KISA HAWARA WA BABA!

Image
Marehemu Jumanne Omar enzi za uhai wake. Tukio hilo la kinyama lilitokea wiki iliyopita Gongo la Mboto, Dar ambapo kijana aliyefahamika kwa jina la Hassan ambaye ndiye mkazi wa huko alidaiwa kuwafuata marehemu hao Mtoni Madafu na kuwaambia ametumwa na mama yake mzazi aende akafanye vurugu kwa hawara ‘mchepuko’ wa baba yake. INASIKITISHA sana! Vijana wawili, Jumanne Omar (17) na Mgeni Rashidi Rajabu (16) (aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Keko), Dar, wakazi wa Mtoni Madafu, Temeke wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kudhaniwa kuwa ni wezi. Inadaiwa kuwa, Hassan akiwa na vijana wengine wawili, aliongozana na vijana hao kwenda Gongo la Mboto kwa mwanamke huyo ambaye ni mama lishe.Ndugu mmoja wa Jumanne anasimulia: “Walipofika kwa mama lishe huyo ambaye Hassan alidai ndiye mchepuko wa baba yake, waliagiza chakula. Walipomaliza kula yule mama aliwadai pesa, Hassan akasema hawana na hawatoi. “Tunasikia yule mama ...

HAKIMU AFIA MAHAKAMANI KIUTATA JIJINI DAR

Image
Marehemu Hakimu Rogart Venance Alphonce enzi za uhai wake.  Tukio hilo la kusikitisha na lililoibua vilio kwa watumishi wa mahakama hiyo na wale waliokuwa na kesi, lilijiri Aprili 13, mwaka huu mahakamani hapo wakati makarani wakiandaa mafaili ya kesi mbalimbali. HAYA ndiyo majanga! Hali ya hewa ilibadilika ghafla katika Mahakama ya Mwanzo Ukonga, Dar kufuatia Mheshimiwa Hakimu Rogart Venance Alphonce (54) kuugua ghafla, kudondoka na kutokwa povu mdomoni na puani, hatimaye kufariki dunia! Inauma sana! KUMBE ALIKUWA ANARIPOTI KITUO KIPYA CHA KAZI Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari mahakamani hapo, Mheshimiwa Alphonce siku hiyo ndiyo alikuwa akiripoti mahakamani hapo kikazi akitokea Mahakama ya Mwanzo Lugoba, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ndipo akapatwa na matatizo hayo ambapo wengi walidai kifo chake kilitokana na ushirikina. “Huyu hakimu si mgeni kwangu, namjua kwa utendaji wake wa kazi na ni mtenda haki katika hukumu anazozitoa, amekuwa akifuata she...