HIZI NI SABABU ZA WANAUME KUOTA MATITI
Kitaalamu, tatizo hilo hujulikana kama ,gynecomastia nalo ni kukua kuliko kawaida kwa tishu ya kwenye titi inayojulikana kamaglandular tissue. Ni nadra kujitokeza, lakini kwa siku zakaribuni baadhi ya wanaume wana maziwa kama walivyo wanawakeTatizo la kuota matiti kwa wanaume na watoto wa kiume limekuwa kubwa katikadunia ya leo. Inawezekana wakati unatembea njianiukaona wanaume au watoto wadogo wa kiume wakiwa na matiti tena makubwaambapo watu wengi huchukulia kama ni kawaida. Kitaalamu, tatizo hilo hujulikanakama, gynecomastia nalo ni kukua kuliko kawaida kwa tishu ya kwenye titiinayojulikana kama glandular tissue. Tatizo hili huonekana zaidi kwa watotowachanga na wanaume walio katika umri wa kubalehe, lakini pia huonekana kwawatu wazima na wazee. Ukubwa wa tatizoAsilimia 60-90 ya watoto wachanga wanapata tatizo hili la kukua kwa matiti kwampito linalojulikana kitaalamu kama, transient gynecomastia kutokana nakuwepo kwa kichocheo cha aina ya ...