Glory Gideon Atwaa Taji la Miss IFM 2016
Miss IFM 2016 Groly Gideon (katikati), akiwa kwenye pozi na mshindi namba mbili Nasra Muna (kushoto), huku kulia akiwa amepozi Neema Michael ambaye alinyakulia taji namba tatu. Miss IFM 2016 Glory Gideon (katikati), akiwa kwenye pozi na washindi wenzake wa pili hadi wa tano muda mfupi baada ya kutawazwa kushikilia taji hilo ndani ya Ukumbi wa King Solomon Namanga jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Mshindi namba mbili wa mashindano hayo Nasra Muna (katikati), akicheza staili ya shock ikiwa ni ishara ya kushngilia ushindi huo. Wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo wakitumbuiza kwenye mashindano hayo. Mamiss wote waliyoshiriki mashindano hayo wakiwa kwenye pozi la pamoja kabla ya majaji kutaja washindi watano wa kinyang’anyiro hicho. Majaji wa shindano hilo wakiongozwa na Martin Kadinda wa kwanza kushoto wakijadiliana namna ya kumpata mshindi wa taji hilo. Mgeni rasmi wa mashindano hayo ambaye ni Mwenyekiti wa Vyuo Vikuu Tanzania, Zainabu Abdalah Issa ...