JOKATE KIDOTI NA MILLARD AYO WANASWA LIVE KATIKA POZI TATA! 10:02 AM No comments Jokate Kidoti na Millard Ayo wa Clouds FM!Hakika hata siku moja huwezi kuuficha moto, kwani moshi lazima utakuumbua tu. Baada ya kuumizwa na aliyekuwa mpenzi wake Millard Ayo kwa madai ya kumfumania live Mwanza, Millard aliamua kukaa single kwa muda mrefu na kutokuwa na wazo la kupenda tena! Ila hii picha akiwa na Jokate Kidoti "Jojo" imekua gumzo mtandaoni kuwa eti ni wanapika na kupakua! Stay tuned kama ipo ipo tu mdau!
Posts
Showing posts from December 26, 2014
SHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA
- Get link
- X
- Other Apps
Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akipozi katika picha na mashabiki baada ya shoo ya nguvu Dar Live. Diamond akiwa na tuzo pamoja na cheti baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Ijumaa Sexiest Bachelor. Diamond Platnumz akifanya makamuzi ya hatari Dar Live. Diamond akifanya yake stejini. Diamond akicheza na dansa wake.
SUPERSTAR WA BONGO MOVIE AFUMANIWA NA MKE WA MTU NA HIKI NDICHO ALICHOFANYIWA
- Get link
- X
- Other Apps
Wakati wengine wakisheherekea sikukuu ya Christmass duniani kote ikiwa ni kumbukumbu kwa wakristo wote kuzaliwa kwa Mwokozi wao "YESU" Wengine siku hiyo wanaifanya kuwa siku ya starehe na kufanya mambo kinyume na maana ya siku yenyewe. Msanii wa filamu za bongo maarufu kwa jina la Pancho Mwamba, anadaiwa kufanyiwa mbaya baada ya fumanizi siku ya Xmass. Msanii huyo inasemekana amefumaniwa na mke ambaye si wake siku ya Christmass maeneo ya Kinondoni jijini hapa. Patcho Mwamba Lukusa ni muimbaji, Mtunzi, Composer, Music Arranger, Mchezaji, Mchekeshaji na ni muigizaji wa cinema. Patcho amejitokeza kucheza vizuri katika tasmia nzima ya sinema huku ajijizolea umaarufu kama mwanamuziki huyu toka kundi la FM Academia wana Ngwasuma ameweza kujizolea sifa kem kem toka kwa mashabiki wa Dollywood
MAZISHI YA WATU 15 KABURI MOJA HUKO KIGOMA! NI WALE WALIOPATA AJALI YA MELI!
- Get link
- X
- Other Apps
Miili 15 ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana Kigoma na mazishi yamefanyika ambapo kwa upande wa Serikali Congo kulikuwa na muwakilishi ambaye ni Balozi mdogo Congo, Riki Molema. Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao. Naibu Balozi Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema akizungumza na wananchi wa kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati wa mazishi ya watu hao. Mwenyekiti wa kijiji cha Kalilani, Songoro Saidi akiweka mchanga akiweka mchanga kwenye kaburi la raia wa 15 Congo waliozikwa Kigoma. Balozi mdogo wa ubalozi wa DRC, Riki Molema akiweka mchanga kwenye kaburi hilo.