ANGALIA PICHA ZA WASANII WALIVYO FUTURU NA RAIS KIKWETE IKULU JANA
Wasanii mbali mbali na watangazaji walipata kualikwa ikulu jijini Dar, kwa ajili ya kuftari na Mh Raisi pamoja na familia yake.mara baada ya kuftari Mh Kikwete aliongea mawili matatu ikiwa ni pamoja na kuwapa moyo wasanii kwa kuendeleza sanaa maana hata yeye anapenda kusikiliza miziki yao B12 Fetty Dj Mully B Jafarai na inspector Haroon Qchief na Babu Tale Mwasiti, Fetty na Shilole Chege, Nyandu Tozi na Madee Kassim Mganga Adama Mchomvu Ben Pol (wa pili kutoka kulia) Linex (wa kwanza kulia) Looking good MashAllah, TID, Jafarai na Z Anto Mzee mkorofi, Suma Lee hahahaa Mbwiga nae hakukosa Shekh AY na Ali Kiba Marlow na Sam Misago Feruz na Fela Lamar na P Funk Quick kama sio yeye loooool Hemedi Phd Adama Juma Dogo Asley King Crazy GK Shilole its more about music industry a...