Posts

Showing posts from August 2, 2013

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI NDANI YA FAREWELL PARTY DBICT 2 - 2014 FROM MUCCoBS UNIVERSTY

Image
  ilikuwa full vinywaji ndani ya farewell party kama jinsi inavyooneka hapo   kama inavyoonekana hapo ni the blogger Mr. Phars nae akuwa mbalimbali akijumuika kupa mahanjumati   hata kujiachia kwa kumshika yule aliyekuwepo ndani ya party ilikuwa ruksa  Mr. Boniface nae alikuwa akijiachia kivyake kama anavyoonekama  ilifika ule muda wakutakiana amani, furaha na upendo ndani ya party  pamoja cna ndio msemo uliokuwa unaongelewa na Masai Pamoja na Chuga   kula tano ndio ujumbe aliotowa CR kwa wajumbe wote Hii ndio crew nzima ya wataalam wa IT wa DBICT 2 kama wanavyoonekana wakiwa na furaha zaidi ndani ya party ya farewell   Tingisha kama imeisha ongeza ingine   Ulifika ule muda sasa wa kujiachia kutoka kwenye viti na kuanza kusasambua kama unavyoona   vijana wakiendelea kuponda raha kwa kwenda mbele ndani ya party   ni safari ndefu hivyo ndio walivyokuwa wakisema vijana wakati w...

PICHA ZA FAREWELL PARTY DBICT 2 - 2014 ..........................................

Image
Ilikuwa ni usiku mnene na wa shangwe kwa wataalum wa IT tokaa Chuo kikuu cha Biashara na Ushirika(MUCCoBS)Walipokutana na kuamua kula bata kwa pamoja kama furaha ya kumaliza mitihani na hatimaye kuhitimu masomo yao,kama jinsi picha zinavyoonesha na haitakaa ikarudiwa katika historia hiyo ya pekee  MR. ANDREW WITH MR. MBONDE IN THE PARTY   MR. BONIFACE AKIFANYA MAMBO YAKE NDANI YA FAREWELL PARTY   CHUGA IN THE PARTY MASAI SHOO WITH CHUGA IN THE PARTY MR GODILOVE LEMA WITH MISS IN THE PARTY LEMA AKIFANYA YAKE YALE YANAYOMHUSU IN THE PARTY k   IPE ROHO KILE INACHOTAKA ndivyo alivyokuwa akijiachia Miss Eliza RAPHAEL, NELLSON NA ANDREW LUCAS AIKAWA AMEJIACHIA NDANI YA FAREWELL PARTY AKIWAQ NA CHUGA ANDREW AKIWA ANATETA JAMBO NA MASAI NDANI YA PARTY     MR. ULOMI a.k.a Prof akiwa amemshirikilia mtoto Jack wakati wakisakata RUMBA ndani ya party

MBINU ZA KUPANGA JINSIA YA MTOTO WA KUZAA ( MVULANA AU MSICHANA ) KABLA MKEO HAJASHIKA MIMBA

Image
Mpendwa  msomaji  wa  JUKWAA  LA  WAKUBWA, Maada  yetu  ya  leo  ni  mbinu za kupanga  jinsia  ya  mtoto  wa  kuzaa  kabla  mkeo  hajashika  mimba.... Siku  hizi  ulimwengu  umeendelea  sana, matatizo  mengi  yanatibika  kwa  msaada  wa  wataalamu...Hakuna   tena  haja  ya  kupigana  na  kupeana  talaka  kisa  jinsia  ya  mtoto... Somo  letu  ni  lefu  sana, hivyo  tunaomba  uwe  mvumilivu.Kutokana  na  utefu  wa  somo  hili, tutaandika  sehemu  fupi  katika  mtandao  huu  na  sehemu  nyingie  itawekwa  katika  JUKWAA  LA  WAKUBWA  ambako  kutakuwa  na  majadiliano  ya  wazi  miongoni  mwa  wasomaji...

WAZIRI MKUU WA TANZANIA ASHITAKIWA RASMI....MAWAKILI 19 WAJITOA MHANGA

Image
Kituo cha Sheria na Utetezi wa Haki za Binadamu (LHRC) na Chama Cha Wanasheria Tanzanyika vimefungua kesi ya Kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, vikiomba mahakama hiyo itoe tafsiri za kisheria katika baadhi ya Ibara. Kesi hiyo ya Kikatiba ambayo imepewa namba 24 ya mwaka huu, na ambayo bado haijapangiwa jaji, wadaiwa ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Taasisi hizo ambazo zinatetewa na mawakili wa kujitegemea Harold Sungusia, Francis Stolla na wengine 17, kwa mujibu wa hati yao ya madai, walalamikaji hao wamewasilisha jumla ya maombi mawili ambayo wanaomba mahakama itoe tafsiri ya kisheria katika Ibara hizo kwa kuwa wamewasilisha kesi hiyo ya Kikatiba chini ya sehemu ya Tatu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  ya mwaka 1977, ambayo  inaainisha  Haki na Wajibu Muhimu. Wakili Sungusia alilitaja ombi la kwanza kuwa, wanaiomba mahakama hiyo itamke kuwa ibara ya 100(1...