Posts

Showing posts from April 1, 2015

ALIYOJIRI BAADA YA ASKOFU GWAJIMA KUPEWA DHAMANA Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli maalum ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam leo mchana, wakati akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana. Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia habari hiyo. Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana Waumini wa kanisa hilo wakijiandaa kumpokea Askofu wao baada ya kupatiwa dhamana waumini hao wakiwa kituoni hapo. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiwa wamelizonga gari lililombena Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Josephat Gwajima, huku wakishangilia kwa kusema yesu yesu baada ya kupewa dhamana katika Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam leo mchana. Waumini hao wakilipungia mkono gari lililomchukua Askofu Gwajima.

Image
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli maalum ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam leo mchana, wakati akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana. Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia  habari hiyo. Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana Waumini wa kanisa hilo wakijiandaa kumpokea Askofu wao  baada ya kupatiwa dhamana waumini hao wakiwa kituoni hapo. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiwa wamelizonga gari lililombena Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Josephat Gwajima, huku wakishangilia kwa kusema yesu yesu baada ya kupewa dhamana katika Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam leo mchana. Waumini hao wakilipungia mkono gari lililomchukua  Askofu Gwajima.  (Imeandaliwa na mtandao ...

BREAKING NEWS-KIKAO CHA BUNGE CHAVUNJIKA,NI KUHUSU KURA YA MAONI Kikao kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka waziri mkuu atoe taarufa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya april 30,2015.kutokana na vurugu hizo za dakika kama 10 hivi spika anna makinda amesitisha gafla shughuli za bunge hadi mchana. Hali likuwa hivi: Mnyika: Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili shughuli za bunge zisitishwe badala yake tujadili zoezi la uandikishaji nchi nzima, mpaka sasa zoezi halijakamilika hata kwa mkoa mmoja tu wa Njome, jambo hili ni la dharura na ilishatolewa na ukaagiza kamati ishughulikie, majibu tupate kikao hiki na leo tunafunga mkutano hamna kitu.

Image
Kikao kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka waziri mkuu atoe taarufa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya april 30,2015.kutokana na vurugu hizo za dakika kama 10 hivi spika anna makinda amesitisha gafla shughuli za bunge hadi mchana. Hali likuwa hivi: Mnyika: Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili shughuli za bunge zisitishwe badala yake tujadili zoezi la uandikishaji nchi nzima, mpaka sasa zoezi halijakamilika hata kwa mkoa mmoja tu wa Njome, jambo hili ni la dharura na ilishatolewa na ukaagiza kamati ishughulikie, majibu tupate kikao hiki na leo tunafunga mkutano hamna kitu.

MAGUFULI AFANYA UKAGUZI WA MV DAR ES SALAAM Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwaita wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika eneo la Ferry kwa ajili ya safari ya kwenda Bagamoyo kwa kutumia kivuko cha MV Dar es Salaam. Kivuko cha MV Dar es Salaam kikiwa njiani kuwasili eneo la Magogoni kwa ajili ya kuanza safari ya kwanza ya majaribio ya kwenda Bagamoyo mkoani Pwani.Kivuko hiki kinauwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kamanda wa Navy, Meja Jenerali Rogastian Laswai kabla ya kuanza safari na Kivuko cha MV Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Raymond Mushi kushoto wakiwa safarini kuelekea Bagamoyo Mkoani Pwani.

Image
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwaita wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika eneo la Ferry kwa ajili ya safari ya kwenda Bagamoyo kwa kutumia kivuko cha MV Dar es Salaam. Kivuko cha MV Dar es Salaam kikiwa njiani kuwasili eneo la Magogoni kwa ajili ya kuanza safari ya kwanza ya majaribio ya kwenda Bagamoyo mkoani Pwani.Kivuko hiki kinauwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kamanda wa Navy, Meja Jenerali Rogastian Laswai kabla ya kuanza safari na Kivuko cha MV Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Raymond Mushi kushoto wakiwa safarini kuelekea Bagamoyo Mkoani Pwani.Credit:Father Kidev

DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI Diamond Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo. Diamond Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro. haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya watu, but ukweli huu umegundulika leo baada ya msanii diamond the platnumz na mke wake zari kuhidhuria kwenye msiba wa abdul bonge siku ya mazishi leo jijin morogoro, mtandao wa makubwa haya blog unaungana na diamond the platnumz na kukubali kweli ile misiba ya nyuma alikuwa haudhurii kwa sabab ya safari zake za kikazi za nje ya nchi, soo wadau wote wa musiki huu ndio wakati wakuondoa tofauti zetu na kuungana wote kwenye misiba kama hii, na kutakiana maisha mema peponi amin rest in peace abdul bonge

Image
  Diamond  Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo. Diamond  Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge  Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro. haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya watu, but ukweli huu umegundulika leo baada ya msanii diamond the platnumz na mke wake zari kuhidhuria kwenye msiba wa abdul bonge siku ya mazishi leo jijin morogoro, mtandao wa makubwa haya blog unaungana na diamond the platnumz na kukubali kweli ile misiba ya nyuma alikuwa haudhurii kwa sabab ya safari zake za kikazi za nje ya nchi, soo wadau wote wa musiki huu ndio wakati wakuondoa tofauti zetu na kuungana wote kwenye misiba kama hii, na kutakiana maisha me...