Faiza Ally Aongelea Vazi Alilovaa Zari White Party na Wanaomponda "SASA nawataarifu ndio nimeamua na sio shati tu nikijisikia ntavaa hata gunia ni vile ambavyo najisikia"
faiza_ally "Hahahaaa unajua nini kuna comment nyingi sana za kuponda vazi langu la shati ambalo binafsi nimelipenda sana na nilikua nafurahia toka nilipo waza tu kulivaa yaani mpaka nikalinunua na siku ikafika nikavaa na nikajisikia vile ambavyo nilivyo taka kujiskia- special #simple #happy ️SASA ajabu inakuja ambavyo mnaponda na ukiangalia asilimia 95 ya wanawake walio kuwepo walivaa nguo fupi wengine zaidi hata ya shati langu mfano mzuri hata mtangazani alie nihoji amavaa nguo fupi yaani tofauti yeye ni gauni mimi shati- vimini vigauni vilikua ufupi wake sawa na shati lkn kwa akili zenu fupi kama mazoe mkaona shati tu na hii yote kwa sababu mmekariri vitu mlivyo zoea kuona na mkiona kitu tofauti hamkubali - oyaa acheni upumbavu angalieni picha za watu walio hizuria nguo zao na shati langu kama lina hiyo tofauti ktk ufupi ambao mpaka una sababisha kunikashfu! SASA nawataarifu ndio nimeamua na sio shati tu nikijisikia ntavaa hata gunia ni vile ambavyo najisikia# ...