Posts

Showing posts from December 21, 2014

MWANAFUNZI AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA NA BOYFRIEND WA RAFIKI AKE.

Image
Mwanafunzi wa chuo kimoja alimwagiwa mafuta ya moto na rafiki yake kipenzi baada ya kumkuta na boyfriend wake wakifanya mapenzi. Ilikuwa ni siku ya ijumaa Nasra alipokuwa akitoka darasani na kurejea hostel alipokea sms ikisema "Nenda kwa Rafiki yako kipenzi Naima kuna Bonge la Surprize, tafadhali usikose nenda sasa hivi" Nasra aliamua kuchukua pikipiki hadi kwa rafiki yake alipofika tu alikuta viatu vya boyfriend yake nje, akashtuka kwanza kwani sio kawaida ya jamaa huyo kwenda kwa Naima bila ya kuwa na Nasra, Nasra alijaribu sana kugonga lakini hakufunguliwa, na baadae aliamua kupiga simu zote mbili ya rafiki yake na ya boyfriend wake pia zote zikaita tu bila kupokelewa, Alikaa pale nje hadi majira ya saa sita usiku, ambapo alishajua kunakitu kinaendelea. Muda ulivyozidi kwenda  Nasra alitoka na kwenda kuchukua marafiki zake wengine wawili, aliporudi alikuta bado hawajatoka ndani. Mpaka majira ya saa saba hivi usiku, Nasra akiwa amebeba mafuta ya moto...

SHILOLE AOGESHWA KAMA MTOTO MDOGO VILE KWENYE PARTY YAKE

Image
Shilole akijiandaa kukata keki pembeni ni Steve Nyerere. Said Fella na Faraji wakimmwagia Shilole maji na bia. Shilole akipiga kelele baada ya kumwagiwa maji na bia. ….akiogelea. Sehemu ilipofanyikia sherehe hiyo. Msanii Mziwanda ambaye ni mpenzi wa Shilole akiwa na Steve Nyerere. Shilole akiwa na wadau. Wadau mbalimbali wakiwa kwenye sherehe hiyo.MWANADADA Zuwena Mohamed ‘Shilole’ jana alidondosha bonge la pati alipokuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika moja ya apatiment iliyopo nyuma ya Baraka Plaza Mikocheni, jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wasanii kama Ditto, Linah, Chegge, Mhe. Temba, Shetta, Mziwanda pamoja na wadau wengine.

BOYFRIEND WA MTOTO WA OBAMA AFUNGUKA JUU YA UJAUZITO ALIOBEBA MALIA OBAMA..!

Image
Baada ya story kuhit sana kwenye vyombo vya habari kwamba mtoto wa rais Barack Obama, Malia Obama kuwa ni mjazito zimethibitishwa na yule alikuwa akishutumiwa kuwa ndie aliyempatia ujazito huo Mitandao mikubwa ya nchini marekani imekuwa ikiripoti kuwa mtoto wa raisi huyo amekuwa akiwa na tabia za kutoka usiku kwenda kwa huyu mwanaume anayesadikiwa na ni mpenzi wake na na hujui funika koti la ngozi likiwa ni mali ya mwanaume huyo ambao hutoka ikulu usiku huo na kwenda kupunga hewa. Mama yake na Malia Obama, Michelle Obama alipofanya interview na moja ya vituo vikuwa vya Tv nchini marekani alikuwa na haya ya kusema “Teen pregnancy is common in our family on her father’s side of course.My mother-in-law had Barack when she was 18, so I see where Malia gets it from. I’m just so excited to decorate the nursery. The White House hasn’t seen a baby since oh, 1884 or so.” Alimaliza kwa kusema hivyo sasa na na wengine pia ndio imekuwa sehemu ya...

RONALDO AWEKA REKODI NYINGINE

Image
Cristiano Ronaldo amekua mchezaji wa kwanza duniani kuzoa vikombe vyote kwa ngazi ya club vya ligi ya ndani ya nchi husika anayocheza akiwa na vilabu viwili tofauti. akiwa na Man united Ronaldo alifanikwa kushinda mataji yafuatayo> TUZO MBALI MBALI BINAFSI ALIZOSHINDA AKIWA NA VILABU VYA MAN UTD NA REAL MADRID l

SALAMU ZA PONGEZI NA KUTAKIANA KHERI YA KRISTMASS NA MWAKA MPYA TOKA PHARS BLOGSPOT.

Image
Ndugu zangu Marafiki wa phars blog tunapenda kuwashukuru kwa ushirikiano mlionesha/ mnaonesha kupitia mitandao yetu ya jamii kwa kushiriki nasi kwa namna moja au nyingine katika kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha jamii kwa ujumla, Natambua kuwa tunaelekea kipindi cha mwisho wa mwaka na inawezekana kwa namna moja au nyingine kuna ambao tuliwakwaza au kuwakera kwa namna moja au nyingine, kama wapo kupitia mtandao wetu tunaomba msamaha sana na kikubwa ni kurekebisha pale tulipokosea. Lakini kwa wale ambao hawakuweza kukwazika kwa namna moja au nyingine pia tunapenda kuwashukuruni sana ndugu wadau. Sisis sote tu kitu kimoja na kama tunapofunga mwaka huu na kuanza mwaka mwengine tunaomba  Mungu azidi kutupatia maisha marefu ili tuendelee kushirikiana nasi kupitia mitandao yetu yote ya kijamii inayohusika na phars yaani( blogs, email, website,facebook,twitter, instagram,google, youtube,viber, whastApp n.k) katika kuhabalisha, kuelimisha na kufurahisha jamii kwa ujumla. Mwisho t...