Posts

Showing posts from June 4, 2016

11 Certain Signs He’s Ready For A Serious Relationship

Image
The beginning of a relationship can be a cloudy thing – it’s hard to determine if someone is just playing you and feeding you words you want to hear, or if they’re sincere and really care about you. Here’s a guide to weeding out the bad guys from the good ones, and seeing who’s willing to go past the casual phase and dive into something real. 1. He’s stopped seeing other people and wants to be exclusive. He wants to see you on Friday and Saturday. He’s so into you, he can’t even think about other girls, because you’re the only one that really makes him happy. He knows building a real foundation with you means getting serious with exclusivity, and he’s into it. 2. He’s starting using the we word. That means he visualizes himself with you, and wants to get serious with you. He wants to make more memories with you, and wouldn’t use that word if he couldn’t see himself with you.  3. He’s open about his insecurities with you. He talks about his struggles, with confidence and

Hawa Wamechinjwa Bila Hatia!

Image
Marehemu Mkiwa Philipo. Stori: Oscar Ndauka,  Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM  na mikoani: Inauma sana! Ndilo neno ambalo linafaa kutumika kwa sasa kufuatia kuibuka kwa mauaji  kwa njia ya kuchinja sehemu mbalimbali za nchi hali inayoibua hofu kwa wananchi,  Risasi Jumamosi  limechimba na kuibuka na ripoti kamili. TUKIO JIPYA Tukio bichi kabisa ni lile la Mei 31, mwaka huu kwenye Kitongoji cha Kibatini, Kata ya Mzizima, Manispaa ya Tanga ambapo watu 8 wameuawa kwa kuchinjwa shingo kikatili na watu wasiojulikana, madai yakitajwa kuwa ni kisasi. Marehemu Eugenia Philipo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Leonard Paul, aliwataja watu hao kuwa ni Mjumbe wa Serikali ya Kijiji, Issa Hussein (50), Mkola Hussein (40), Hamisi Issa (20) na Mikidadi Hassan (70). Marehemu Anathe Msuya Wengine ni Mahmoud (anakadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 40), Issa Ramadhani (25) na wachunga ng’ombe wawili walilofahamika kwa jina mojamoja, Kadiri na Salum. Kwa hesabu za jumla, mpa

ZARI THE BOSS LADY NI MJAMIZITO TENA.MAMA YAKE DIAMOND ATHIBITISHA KWA MANENO HAYA

Image
Muda si mrefu sana toka Zari na Diamond Platnumz wamepata mtoto wao wa kwanza kwa jina Kupitia mtandao wa Instagram Mama wa Diamond Platnumz amepost picha ya pamoja akiwa na Diamond Platnumzpamoja na Zari na kuandika "ETI MAMA .K...".

JACQULINE MENGI ATIKISA MITANDAO YA BONGO LEO LIVE

Image
Posted these many faces of hers while rocking the bob hair style with a bright red lipstick on Ready for a business meeting?? The mother of two wore a blush of pink skirt and a bow top with nude shoes,

MAUZAUZA NYUMBANI KWA WAZIRI WA MAGUFULI,JIONEE HAPA

Image
Bibi kizee alivyonaswa usiku akirandaranda na tunguri nyumbani kwa Waziri Mwigulu Nchemba. DODOMA:  Katika hali isiyo ya kawaida bibi kikongwe mmoja ambaye hakuweza kujulikana jina lake, amezua sintofahamu baada ya kukutwa nyumbani kwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba akizunguka nyumba yake usiku huku akiwa na tunguri na wembe wenye damu. Tukio hilo lilitokea Mei 31, mwaka huu majira ya saa 6 usiku katika eneo la Kilimani mjini Dodoma kwenye nyumba ya waziri huyo ambako ni makazi ya mawaziri na viongozi mbalimbali wa umma. Akizungumza na mwandishi wetu, eneo la tukio, shuhuda wa tukio hilo, Sumai Juma alisema kuwa alimwona mwanamke huyo  akiwa amekumbatia vitu vyake akizunguka nyumba ya waziri. Baada ya kumwona mtu huyo, alilazimika  kuita mlinzi na kujaribu kumhoji bila mafanikio kutokana na mwanamke huyo kutojua lugha yoyote na kila anachoulizwa alikuwa hajibu zaidi ya kurudia maneno yaleyale ambayo alikuwa akimuulizwa. “Huyu kikongwe alikuwa kama na

SUPER STA DIAMOND PLATINUMS AZIDI KUTIKISA NCHI,AZIDI KUWA WA KIMATAIFA ZAIDI

Image

BREAKING NEWS : BONDIA MOHAMED ALLY AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI

Image
  Muhammad Ali has died aged 74 after a 32-year battle with Parkinson's disease.  The legendary boxer - widely regarded as the best of all time - died with his family at his side on Friday evening, a day after he was rushed to hospital with difficulty breathing.  'After a 32-year battle with Parkinson's disease, Muhammad Ali has passed away at the age of 74. The three-time World Heavyweight Champion boxer died this evening,' Ali's spokesman said. Ali's family said his funeral would be held in his hometown of Louisville, Kentucky, and thanked the public for their outpouring of support.  Ali had been on life support at a hospital outside Phoenix, Arizona, after he was found 'barely breathing' at his home on Thursday.  He was taken to hospital with an 'unshakeable cough', a separate source said, with his fatal respiratory problems likely to have been complicated by his Parkinson's disease. The Greatest was surrounded by his family,

NCHEMBA ATAKA RAIS DKT. MAGUFULI AOMBEWE.

Image
   Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Kabwe Steven Kabwe kulia akiwa na waziri Nchemba. Waziri wa kilimo ,Mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba akizindua tamasha la urafiki katika viwanja vya Ndege mjini Morogoro jana Juni 2 ,tamasha lililoandaliwa na ushirikiano wa makanisa katika mkoa wa Morogoro na kuongozwa na mhubiri wa kimataifa toka nchini Canada Dr Peter Youngren. Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Kabwe Steven Kabwe kulia na waziri wa Kilimo ,Mifugo na Uvuvi wakiwapungia wananchi wa Morogoro mikono wakati wakiwasili katika viwanja vya Ndege kwa ajili ya uzinduzi wa tamasha la Urafiki lililoanza jana Juni 2 hadi Jumapili Juni 5. Waziri wa kilimo ,Mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba ambae ni mbunge wa jimbo la Iramba akiwapungia mikono wananchi wa Morogoro wakati akiwasili katika viwanja vya Ndege kuzindua tamasha la Urafiki. Mhubiri wa kimataifa toka nchini Canada Dr Peter Youngren ambae anaongoza tamasha la Urafiki mjini Morogoro akimpongeza waziri wa Kilimo ,Mifugo na Uv