Posts

Showing posts from February 23, 2016

WAZIRI KITWANGA AFANYA KIKAO NA WATENDAJI WAKUU WA JESHI LA POLISI NA WAKUU WA IDARA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Image
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira, na wakwanza upande wa kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kulia) akizungumza jambo katika kikao kazi alichokitisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) kuzungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kili

THE United Kingdom has showered praise on the Fifth Phase Government under President John Magufuli for its efforts in strengthening revenue collections,

Image
Through the UK High Commissioner to Tanzania, Ms Dianne Melrose, Prime Minister David Cameron said the move by the present phase of Tanzanian government on ‘walking the talk’ with regard to the above mentioned matters was worth emulating. “Premier Cameron has been impressed by the good work of the current government. He has expressed the commitment of the UK government in strengthening bilateral ties between the two countries in various areas of development,” the envoy told Dr Magufuli at the State House in Dar es Salaam. The UK envoy had had a meeting with President Magufuli yesterday. Earlier, the Head of State held separate meetings with the South African High Commissioner Thamsanqa Mseleku and Ambassador of Egypt to Tanzania, Mr Mohamed Yasser El Shawaf. President Magufuli ensured the envoys that his government will continue cementing the close bilateral ties with their countries, particularly in boosting business and investments for the benefit of the people of

Uganda;Besigye arrested for fourth time in 8 days

Image
Uganda;Besigye arrested for fourth time in 8 days Dr Besigye said he wanted to collect results declaration that he could use in a possible election petition. He has now been arrested four times in a space of only one week. He was first arrested two days to the elections, then again at a secret police facility in Naguru shortly after the counting of votes had started at polling stations countrywide. He claimed that pre-ticking of ballot papers in favour of Mr Museveni was going on at a house on Naguru Hill Road, and that an illegal tally centre had been set up there to change results from districts before they reached the national tally centre. Dr Besigye was arrested one more time a day after the elections, when he, together with Maj Gen Mugisha Muntu, his party president, and Ms Ingrid Turinawe, the FDC secretary for mobilisation, were arrested from a party meeting at Najjanankumbi and again detained at Naggalama. Dr Besigye and the FDC party, which sponsored his cand

BODI TSN YAMSIMAMISHA KAZI MHARIRI MTENDAJI.

Image
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea kampuni ya magazeti ya serikali TSN leo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo mhe Nape Nnauye akiongea na vyombo vya Habari kuhusu maagizo aliyoyatoa kwa Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya magazeti ya serikali TSN ikiwemo sababu za wafanyakazi wengi kuacha kazi katika shirika hilo. Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya kampuni ya magazeti ya serikali (TSN) Prof Moses Warioba(wa kwanza kushoto) akitoa tamko la kumsimamisha kazi Mhariri mtendaji wa kampuni ya magazeti ya serikali Bw.Gabriel Nderumaki(hayupo pichani) kutokana na utendaji usiorizisha.Wengine pichani ni wajumbe wa Bodi hiyo Dkt Evelyn Richard na Bw.Alfred Nchimbi Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akitembezwa kuonyeswa mazingira ya kampuni ya magazeti ya serikali(TSN) leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni mhariri mtendaji wa kampuni hiyo ya magazeti

RAIS MHE. DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI KUTOKA CONGO DRC, NAMIBIA PAMOJA NA KUZUNGUMZA NA MABALOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Image
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini Bi. Dianna Melrose Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Uingereza hapa nchini Bi. Dianna Melrose Ikulu  jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Balozi Mteule wa Namibia hapa nchini Bi Theresia Samaria mara baada ya kupokea Hati ya Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Mteule wa Namibia hapa nchini Bi Theresia Samaria mara baada ya kupokea Hati ya Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi Mteule wa Namibia hapa nchini Bi Theresia Samaria mara baada ya kupokea Hati ya Utambulish

WADAU WA FILAMU KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTUNISHA MFUKO WA MAENDELEO YA FILAMU

Image
 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwa katika picha ya pamoja na mdau wa filamu Bi.Khadija Seif (Didas) wakati alipomtembelea ofisini kwake kujadili jinsi gani ya kutunisha mfuko wa maendeleo ya filamu.Bi Khadija anategemea kuchangisha milioni 200 katika mfuko huo.mwingine pichani ni Bi.Joyce Fissoo ambae ni Katibu mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania.

GAVANA AZINDUA MWONGOZO WA KWANZA WA KITAIFA WA ELIMU NA ULINZI KWA MTUMIAJI WA HUDUMA ZA FEDHA” (N-FEF)

Image
Meza kuu ikifuatilia kwa makini yanayojiri katika kikao cha uzinduzi wa Mwongozo wa kwanza wa kitaifa wa elimu na ulinzi kwa mtumiaji wa huduma za fedha” (N-FEF). Baadhi ya wadau waliohudhuria uzinduzi huo. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akieleza jambo wakati wa uzinduzi Mwongozo wa kwanza wa kitaifa wa elimu na ulinzi kwa mtumiaji wa huduma za fedha” (N-FEF). Baadhi ya wadau waliohudhuria uzinduzi huo. Bi. Susan Rutledge, Mtafiti na Mshauri wa masuala ya fedha, akieleza umuhimu wa elimu ya masuala ya fedha kuelekezwa kwa wananchi. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa kushirikiana na Mfuko wa Kuendeleza Huduma za Kifedha Tanzania (FSDT), imezindua Mwongozo wa taifa wenye lengo la kuongeza uelewa kuhusu elimu ya mambo ya fedha kwa wananchi. Uelimishwaji wa wananchi kuhusu mambo ya fedha utatekelezwa kupitia “Mwongozo wa kwanza wa kitaifa wa elimu na ulinzi kwa mtumiaji wa huduma za fedha” (N-FEF). Gavana Prof. Beno Ndulu ameuzindua r