Posts

Showing posts from January 17, 2014

MEYA WA BUKOBA AJIUZULU RASMI LEO BAADA YA RIPOTI YA CAG KUMBANA,SOMA RIPOTI HIYO HAPA

Image
Viongozi wote wako ukumbini,mbunge namuona mh mshashu,madiwani wote wapo.ukumbi umejaa,dc antangaza kwamba wananchi wake njee ni mkutano wa ndani,wanakubali,kwamba wasipige kelele,napata taarifa kwamba polisi wako nje wanalanda landa viongozi wanaingia,muda wowote watasoma,tusikilize Wabunge wanajitrambulisha na ras anatoa taarifa hii. RAS kagera mnambila, anawakaribisha naibu TAMISEMI Mwanry na mkaguzi mwenyewe utoh wako mbele. Ansema ni maelekezo ya waziri mkuu kufanya ukaguzi maalum na kupokea maelekezo yta serikali juu ya uakaguzi huo. Walioalikwa-kutoka manispaa ya bukoba na wabunge Mwanry anamwakilisha waziri mkuu, Utouh ameambatana na Bw Mero, Bi Mwadawa, Bw Nkinja, Bw Sabuni ambao wameshiriki kufanya ukaguzi bukoba mjini,hii ni taarifa inatolewa na mmoja wa maafisa,Bw rweyemamu ndiye anatoa taarifa hii. RC anamkaribisha Utoh kuongea Taarifa ya Utoh Waziri mkuu alituomba tufanye ukaguzi maalum, Mwaka 2013 tulifika bukoba na kufanya kika...

Kaburi lafukuliwa, maiti aachwa mtupu

Image
Wakazi wa Kijiji cha Ilagala mkoani hapa,wamepatwa na bumbuwazi baada ya kukuta kaburi limefukuliwa na maiti ikiwa tupu bila sanda. Tukio hilo limetokea Januari 14, 2014 katika Kijiji cha Ilagala Wilaya ya Uvinza mkoani hapa ambapo wakazi hao walistaajabu baada ya kukuta maiti ikiwa haina sanda. Shuhuda wa tukio hilo Abdallah Shaban ambaye ni ndugu wa marehemu ambaye pia ni Mwenyekiti wa SACCOS ya Mwangu kijijini hapo alisema, marehemu alizikwa Januari 13, 2014 katika maeneo ya Malalo yaliyopo pembezoni mwa soko la Ilagala lakini na baada ya hapo walipoenda Januari 14, 2014 kwenye eneo hilo kwa ajili ya maziko ya marehemu mwingine walishangaa kuona kaburi limefukuliwa huku maiti akiwa mtupu. Shabani alisema, tukio hilo ni la kwanza kijijini hapo na kwamba kufukuliwa kwa kaburi hilo kunaonyesha kulifanywa na watu. Naye baba mdogo wa marehemu, Issa Salum alisema, tukio hilo ni la mwaka kijijini hapo ambapo polisi wa Kituo cha Ilagala waliamuru kuf...

DIAMOND PLATINUM SASA ANA PUSH V8 KAMA LA MAWAZIRI ....

Image

MISS TZ NA DEMU WA PREZOO WACHUANA KUTUPIA PICHAZZ ZA UTUPU ... JIONEE MAJANGAZ LIVE

Image
  MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye ishu ya kupiga picha za utupu. Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’. Huddah Menroe. Hamisa ambaye hivi karibuni alipata zali ya kupamba jarida moja la burudani nchini Kenya kwa picha iliyo kinyume na maadili, anadaiwa kupiga picha nyingi za kihasara huku ikielezwa kuwa, kwa Kenya sasa anachuana na Huddah. Hamisa. Huddah. “Unajua kwa huku Kenya Huddah anasifika kwa picha chafu, sasa hizi alizopiga Hamisa zimemfanya Huddah naye kutupia yake nyingine ya utupu, yaani ni kama wanachuana vile,” alisema mmoja wa wadau wa burudani aliyejitambulisha kwa jina la Japhet. TUPIA MAONI YAKO ! USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

HIVI NDIVYO H.BABA ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA...TAZAMA MAPICHA HAPA!!!

Image
H.Baba na mke wake, Florah Mvungi wakilishana keki.     Florah Mvungi akiwa na mtoto wake Tanzanite. H.Baba akimlisha keki mama yake.   Mke wake H.Baba, Florah Mvungi  akiwa ameshika keki ya bethidei. H.Baba akiwa na mtoto wake. Florah Mvungi akimlisha keki mtoto wake Tanzanite. Jana tarehe mtu mzima H.Baba msanii kutoka kule Mwanza alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na familia yake nikimaanisha mke wake na mtoto wao mpya anaitwa Tanzanite pamoja na mama mzazi wa HBaba na wadogo zake wa mwisho.