Posts

Showing posts from March 2, 2014

Maneno ya Pnc kuhusu kilichotokea kati yake na Ostaz Juma Namusoma.

Image
Usiku wa kuamkia February 26 uliingia kwenye headline kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kusambaa kwa video na picha zinazomuonyesha Pancras Ndaki Charles au Pnc kupiga magoti mbele ya Ostaz Juma Namusoma kama kumuomba msamaha wa kurudi kwenye kundi.Picha hizo zimeibua mambo mengi sana na baadhi ya wasanii na wadau wakubwa wakidai kuwa Ostaz Juma Namusoma kamdharirisha Pnc,miongoni mwa wasanii walioonekana kukerwa zaidi na kitendo hicho ni pamoja na member wa zamani wa kundi hilo Kitale na wadau wengine kama Adam  Juma,Suma Mnazaleth,Said Fela na wengine wengi Hii ni nafasi naomba tuitumie kumsikiliza Pnc mwenyewe akielezea hali hiyo>>’‘Kuomba samahani hiki kitu sijaona kama ni kitu kibaya kwangu hata kupiga goti kumuomba samahani- kwa sababu hata baba yangu siku zote nilipokuwa nikimkosea yaani ilikua kawaida yangu,baba bana nisamehe yaani kwa kwa upande wetu ni heshima tu nimechukulia’ ‘Kwa sababu  mwenyewe anadai yeye hajazijicha...

UNFORTUNATE LOVE SIMULIZI SEHEMU YA 1.

Image
katika maisha yangu ya kimapenzi nilishwahi kutoka na kufanya mapenzi na wanaume wanne na nikadanganywa, nikaumizwa na kukosa raha, nilikuwa natumiwa kama chombo starehe pasipo kujijua mimi mwenyewe ila ni mwanaume mmoja tu ambaye alinionjesha utamu wa mapenzi na kunipenda, kunijali na katika mikono yake nilihisi kama ni mwanamke wakipekee sana kuzidi wengi ne….. Ni kwasababu gani niliwahi kufanya mapenzi na wanaume wanne na ni mwanaume gani ndiye aliyenipa na kunionjesha utamu wa mapenzi??? Sikiliza kwa makini nikuelezee yalionitokea mpaka ikawa hivyo. SEHEMU YA 1. Naitwa sarah james, mimi ni mtoto wa pili wakike kutoka kwenye familia ya bwana James ambaye ni baba yangu mzazi na Anna amabaye ni mama yangu mzazi, Kwenye familia yetu tupo wanne; mimi; baba yangu; mama yangu na dada yangu aitwaye suzy.   Mimi pamoja na familia yetu tunaishi kinondoni, morocco na familia yetu ni tabaka la kati kwa maana sio maskini sana wala sio matajiri sana. ...

AIBU! KIJANA HUYU KANASWA AKIIBA MSIKITINI

Image
Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa kuiba viatu misikiti, aliyejitambulisha kwa jina la Abubakar Abuu (32) akijieleza mbele ya waumini wa msikiti wa Mwenge baada ya kunaswa kaiba sendoz za muumini. Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa viatu msikiti katika picha za matukio tofauti ikiwamo akiwa na viatu alivyoiba znazoonekana mwishoni kulia.

MAN CITY WAICHAPA SUNDERLAND 3 NA KUNYAKUA KOMBE LA CAPITAL ONE

Image
Manchester City 3-1 Sunderland:  Champions: Manchester City won the Capital One Cup after beating Sunderland 3-1 in the final +38 Silverware: Manchester City captain Vincent Kompany lifts the Capital One Cup trophy +38 One down: City completed the first part of a potential domestic treble this season +38 View from the dressing room: Kompany tweeted this picture of City the celebrations +38 Leader: Captain Kompany with the trophy Prize: Manchester City boss Manuel Pellegrini

SKENDO NZITO BONGO MOVIE YAIBULIWA DODOMA NA WABUNGE...HATARI SANA AISEE...

Image
SKENDO  nzito ya Bongo Muvi imeibuliwa na baadhi ya wabunge waliopo mjini Dodoma kufuatia kuwalipua wasanii wake kuwa, ni ombaomba balaa,  Risasi Jumamosi  lina mkanda mzima. Kwa mujibu wa wabunge hao ambao walitaka majina yao yasitiriwe kwa sasa, baadhi ya wasanii hao ambao wengi ni mastaa wamekuwa wakiwazukia na kuwapiga mizinga jambo linalowashangaza hasa wakizingatia kuwa, wapiga mizinga hao wana majina makubwa na huonekana wakitembelea magari ya kifahari. Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper.   “Hivi nyie mapaparazi, mnashindwa kabisa kukomesha hii tabia ya mastaa wa Bongo Muvi? Hawa jamaa ni ombaomba sana.   “Wamekuwa wakitupiga mizinga sana. Tunawashangaa maana wengine wana majina makubwa, wanatembelea magari ya kifahari lakini bado wanaomba pesa ndogo,” alisema mbunge mmoja ambaye anatoka kwenye moja ya majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam.   KINACHOWASHANGAZA WABUNGE Kwa mujibu wa wabunge hao, linalowashangaza zai...

WANANCHI WAFUNGA BARABARA YA MBEYA CHUNYA BAADA YA MWENZAO KUKAMATWA / MTUHUMIWA AKIMBIA NA PINGU ZA POLISI

Image
Mkuu wa wilaya ya Chunya Deotatus Kinawiro akihutubia wananchi wa Chalangwa Mkuu wa wilaya ya Chunya Deotatus Kinawiro akipokea nyaraka toka kwa afisa mpelelezi wilaya ya Chunya Moja ya nyaraka  Wananchi wakisoma baadhi ya nyaraka kwa mkuu wa wilaya Chunya Wananchi wakimsikiliza mkuu wa wilaya Chunya Askari wakidhibiti hali ya usalama eneo la mkutano Mohammed Katembo akitokea mafichoni baada ya kuwakimbia Polisi SOMA ZAIDI

AFANDE SELE AKILI KUMWAGANA NA MAMA TUNDA,

Image
SIKU chache baada ya kuzagaa kwa taarifa za kuachana na mkewe mama Tunda, mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameibuka na kusimulia mambo ya kusikitisha waliyopita katika safari ya maisha yao. Mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’. Akizungumza na wanahabari wetu ndani ya Ukumbi wa Meeda, Sinza-Mori, Dar, juzi Afande alisema hadi kufikia hatua ya yeye kutangaza kuwa ameachana na mama Tunda ambaye amedumu naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka 10, alikuwa akivumilia mambo mengi na mwisho kuamua kuachia ngazi. Afande Sele akiwa na familia yake. “Nilikuwa nikielezwa mengi kuhusu mke wangu, nilishapigiwa simu na kuambiwa mke wangu anagombaniwa na wanaume usiku klabu lakini huwa mimi siyo mtu wa kuishi kwa hisia, nilivumilia nikiamini atajirekebisha, haikuwa hivyo. “Japo sikuwa na uthibitisho wa moja kwa moja, lakini nyumbani alikuwa siyo mtu wa kutulia, amekuwa akinizunguka hadi kwa washkaji zangu wa karibu. Kuna jamaa alichoshwa na habari h...

MWENYEKITI WA CHADEMA AHAMIA CCM ... ATOA MAZITO YA MOYONI IKIWEMO YA KUIMALIZA KABISA CHADEMA KALENGA

Image
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kata ya Nzi akijitambulisha Rasmi kwa Wananchi wa Kijiji cha Nzi kuwa yeye  ameamua kuachana na Chadema na Kujiunga na CCM kwa hiari yake baada ya kupima Uwezo wa Chadema na CCM kwenye Hoja na Matendo.Mwanachama huyu Mpya wa CCM ameahidi kuongoza timu ya Ushindi kwenye Kata ya Nzi kuhakikisha Godfrey Mgimwa napita kuwa Mbunge. Pia amesema ataiweka wazi mipango ya Chadema na Watu wageni wa Chadema waliokodishwa na Kupangishwa Nyumba kata ya Nzi wanaotembea Usiku kwaajili ya Kutafuta kura na kushambulia Waoaunga mkono CCM kwenye kata ya Nzi. Aliyekuwa Mwanachama wa Chadema kutoka kijiji cha Kamiyu na Katibu Mwenezi wa Chadema kata ya Kamiyu akitangaza kuachana na Chadema na Kujiunga na CCM hii leo kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Nzi.

MSANII WA BONGO MOVIE AANIKA PICHA ZA UTUPU LIVE

Image
Tanzanian actress Salma Tamim(Sabby Angel) has posed topless for a photoshoot in Kenya. The actress who has already started to make waves in the industry with movies opposite big names including Vicent Kigosi(Ray) and Muhsin Awadhi(Dr.Cheni) looks extremely hot in the shoot. Sabby was in Kenya for almost two weeks and news is that there are some Kenyan film companies which have already shown interest to work with this Tanzanian bombshell actress. No doubt Sabby is one of the most sexiest actresses in Tanzania. She is also a singer and model. Check out the exclusive images below. CLICK LIKE IF YOU WANT MORE  

MFANYABIASHARA MKUBWA WA MADAWA YA KULEVYA TANZANIA AKAMATWA

Image
Anti-drugs police have arrested a man believed to be the country’s most wanted drug kingpin. Ali Khatibu Haji, popularly known as Shikuba, was arrested at Julius Nyerere International Airport (JNIA) last Sunday after two years of an intensive manhunt. The 44-year-old is considered one of the most powerful and influential drug barons in Tanzania. He is said to be the leader of a cartel operating principally in East Africa but with a reach as far as China, Brazil, Canada, Japan, the United States and the United Kingdom. He was charged last week with trafficking in a record 210 kilograms of heroin worth around Sh10 billion. Police seized the drugs in Lindi in January 2012 and have linked him with the haul. Shikuba reportedly fled to South Africa the same day the drugs were seized and has since been in hiding. It is not clear how he sneaked into the country and managed to get a new passport but on February 28, the man...

ACT YASHUSHA BENDERA ZA CHADEMA HUKO KIGOMA,WANACHAMA 3500 WA CHADEMA WAJIUNGA ACT

Image
  Chama cha Alliance For Change and Transparency Mkoa wa Kigoma,kimeshusha Bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA tawi la Ujiji  stendi ya zamani na kupandisha bendera ya (ACT) wakati wa uzinduzi rasmi wa matawi sita katika manispaa ya kigoma ujiji.       Akizungumza na wananchi wa eneo hilo, Katibu wa ACT Mkoa Athuman Kabogo alidai lengo la kushusha bendera hiyo ni hatua ya kukataa kugeuzwa kuwa vibaraka wa watu wengine kwa kukosa haki ya kuhoji na kuwania nyadhifa za chama hicho na hivyo  kuanzisha  ACT kama chama cha  wanyonge kinachoweza kuwasikiliza na kutoa haki kwa kila mmoja.     Kabogo aliwataka wanachama wahitaji, wachukue kadi za ACT ili chama kipate usajili kamili kwa mujibu wa sheria,kanuni na taratibu husika pamoja na kutoa michango endelevu ,ikiwa ni jitihada za makusudi kuhakikisha chama kinasonga mbele kwa maslahi ya Taifa.       “Wananchi nyie ni chachu ya chama kuwepo k...

ANGALIA PICHA SHEKHE NA MTOTO WAMWAGIWA TINDIKALI ARUSHA

Image
SHEHE wa msikiti mkuu wa bondeni, Arusha Mustapha Mohamed Kiago (49) akiwa yupo nje ya wodi za watoto hospital ya mkoa maunt meru akisubiri mtoto wake apate kitanda na yeye aende wodin kupata matibabu baada ya kumwagiwa tindikali yeye na mtoto wake picha ya chini na mtu asiyejulikana ambaye hawakumtambua amesema shekhe wakati akiwa na mtoto wake gafla na mtu amejitokeza na kumwaga tindikali likampata yeye na mtotot wake lakini mtoto wake imempata zaidi shehe huyo amedai hatambui kisana mkasa ya tukio hilo akiwa na mtoto wake. Halidi Mustapha Mohamed (10) akiwa nje ya wodi ya watoto arusha akisubiri kitanda baada ya kumwagiwa tindikali.yeye pamoja na baba yake kitendo ambacho mtoto huyu hana makosa sasa matukio ya kumwagiwa tindi kali yahamia katika mji wa Arusha baada kutoka Zanzibar tutawajuza.