Posts

Showing posts from January 11, 2015

ALICHOKISEMA ZARI; UTAKUTANA NA KILA AINA YA UBAGUZI WAKATI UKIWA MREMBO NA UNA MAFANIKIO

Image
Zari the Boss Lady continues to lash out to her haters. Below is what she wrote... " When u are beautiful and successful..U experience a different type of 'racism'and it brings jealousy,hate & a new level of people trying to bring u down.... gotta keep that head up! JE,WEWE MDAU WETU UNA MAONI GANI KUHUSIANA KAULI YA BOSS LADY"ZARI"

SISTA WA KANISA KATOLIKI SASA AWA PADRI....HII YATAJWA KUWA IMEVUNJA REKODI

Image
 Pamoja na kwamba sheria za kanisa Katoliki haziruhusu mwanamke kuwa padri lakini mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la  Georgia Walker  amepewa cheo cha upadri katika jimbo la Kansas nchini Marekani,tukio ambalo ni la kwanza kwa kanisa katoliki.   Mwanamke huyo mwenye miaka 67 ambaye awali alikuwa sista alipewa daraja hilo jumamosi iliyopita lakini upadrisho wake uliingia kwenye mzozo baada ya uongozi wa kanisa lake kudai hautambui kuapishwa kwake.     Kutokana na hatua hiyo sista huyo anaweza kutengwa na kanisa kutokana na ukweli kuwa sheria za kanisa zinasema mwanamke hawezi kuwa padri.   Lakini kwa upande wake alipingana nao na kusema haoni sababu za kukataliwa kuwa padri kwani Yesu alifundisha watu wote bila kubagua jinsia wala hadhi zao.   Ibada ya upadrisho iliongozwa na Askofu Bridget Mary Meehan wa Chama cha Mapadri wanawake wa kanisa Katoliki na wakati akipewa upadri hakuonyesha hofu yoyote mbali na tishio l...

DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, HOSTS NEW YEAR SHERRY PARTY FOR HEADS OF DIPLOMATIC MISSIONS AND INTERNATIONAL ORGANISATIONS

Image
President Dr. Jakaya Mrisho kikwete talks to  heads of diplomatic missions and international organisations during a New Year Sherry Party he hosted on Friday, 9th January, 2015 STATE HOUSE PHOTOS President Dr. Jakaya Mrisho kikwete addresses heads of diplomatic missions and international organisations during a New Year Sherry Party he hosted on Friday, 9th January, 2015 President Dr. Jakaya Mrisho kikwete addresses heads of diplomatic missions and international organisations during a New Year Sherry Party he hosted on Friday, 9th January, 2015 : President Dr. Jakaya Mrisho kikwete in a group photo with heads of diplomatic missions and international organisations during a New Year Sherry Party he hosted on Friday, 9th January, 2015 …………………………………………………………………………………………… Honourable Bernard Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Cooperation; Your Excellency Juma Alfan Mpango, Ambassador of the Democratic Republic of Congo and the Dean of the Diplom...

RIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA CHALINZE

Image
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (katikati) akikabidhi gari jipya la kubebea wagonjwa (Ambulance), kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Dk. Mastidia Rutaihwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Chalinze, katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Chalinze jioni hii. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa kituo hicho, Dk. Bamba Victor na Diwani wa Kata ya Bwilingu, Nasa Karama.  Muumini wa Dini ya Kikiristo, Heema Said akitoa neno la shukrani kwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete 9aliyevaa koti kushoto) alipokabidhi ambulance hiyo. Ridhiwani alisema kuwa yeye hivi sasa ni mbunge wa vyama vyote jimbo humo hivyo ambulance aliyoitoa itoe huduma kwa wakazi wote wa jimbo hilo bila kubagua watu kutokana na itikadi zao. Pia aliuasa uongozi wa kituo hicho cha afya na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kuhakikisha wanatunza vizuri gari hilo.  Dok Rtaihwa akimkabidhi ufunguo wa gari hilo Mganga Mkuu wa Kituo cha...

Jina la Kajala Kuonekana Kwenye Soda za Kopo za Coca-Cola

Image
Mwigizaji wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala Masanja ni moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenye makopo mapya ya kinywaji cha Coca-cola.   Jana  mchana, wawakilishi wa coca-cola walimtembelea Kajala nyumbani kwake na kumpatia  zawaidi ya kinywaji hicho kikiwa kwenye chupa yenye jina lake.   Endelea kuwa nasi kujua kinanani wengine wamebahatika kwenye hili.   TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU .

Chuchu Hans Afungukia madai ya kuachana na Mpenzi wake Vicent Kigosi ‘Ray’

Image
Staa  wa Filamu Bongo, Chuchu Hans juzikati alifungukia madai ya kwamba ameachana na mchumba wake Vicent Kigosi ‘Ray’, akaeleza kuwa, hakuna ukweli wowote juu ya hilo.   Chuchu alifikia uamuzi wa kufafanua juu ya madai hayo juzi kufuatia tetesi zilizokuwa zimeenea kwamba yeye na kipenzi chake huyo wametibuana na sasa kila mtu kimpango wake. Akifungukia juu ya uvumi huo Chuchu alisema: “Kutakuwa na watu wanaosambaza uongo huo, huwezi kuamini muda si mrefu nilikuwa na baby wangu Ray, tukawa tunashangaa tu juu ya umbeya huo.   “Nahisi watu wamechukulia kwamba tumeachana baada ya mimi kuamua kubadilisha jina nililokuwa nikilitumia kwenye akaunti yangu ya kwanza ya Instagram, nimetoa neno The Greatest na kubakiza jina langu, ilikuwa ni uamuzi tu.   “Siwezi kuachana na Ray na hata kama ikitokea tumeachana naamini kabisa Ray hawezi kurudiana na Johari wala Mainda, hao wanaosema eti kaniacha mimi karudiana na Johari wanachemka,” alisema ...

Wife shot her husband in the chest when he tried to surprise her with breakfast in bed - and she opened fire on bedroom door

Image
Almost tragic: Tiffany and Zia Segule avoided a catastrophic morning on Friday when Zia tried to bring his wife breakfast in bed as a surprise Investigation: Police in Fayetteville, North Carolina have said they have opened an investigation into the shooting Realizing to her horror what had happened, Tiffany Segule called 911 and when paramedics arrived her husband was talking and described as responsive in the ambulance. He is currently stable and is expected to be released from hospital in North Carolina soon. Police have said that Segule may have been spooked and trigger happy because of a number of recent home invasions in the neighborhood. 'She was doing what she felt was right and to defend herself at that time,” said Antoine Kincade with the Fayetteville Police Department to WTVR. Lucky: Zia Segule is recovering from the shooting on Friday after his wife, Tiffany, (right) opened fire 'She woke up. She armed herself and she fired a shot t...

MHESHIMIWA SUGU ALIVYOUMIA BAADA YA KUPATA AJALI JANA KITONGA

Image
Mr. Sugu akiwa Hospitali. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi akifanya mawasiliano kwa ndugu na jamaa mara baada ya kupata ajali mbaya na kunusurika kifo,ajali hiyo imetokea eneo la Mlima Kitonga Mkoani Iringa mchana wa leo.kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa Mh. Mbilinyi alikuwa safarini akitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar akiwa na jamaa zake Wanne katika gari hilo lenye namba za usajili T 148 BQE. katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha. Gari linavyoonekana kwa karibu. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi (watatu kushoto) akizungumza namna hali ilivyokuwa mpaka kupata ajali hiyo. Gari hiyo inavyoonekana.