Posts

Showing posts from January 16, 2014

MAJANGA:. MAMA ATELEKEZA WATOTO JIJINI DAR, AENDA KUOMBA

Image
Watoto walioachwa na mama yao wakiwa wamelaa eneo la makutano ya barabara ya Zaramo na Jamhuri jijini Dar. KATIKA hali ya kusikitisha kamera yetu mchana huu imenasa picha za watoto waliosemekana kuwa mama yao aliwaacha na kwenda kuombaomba katikati ya jiji la Dar es Salaam. Watoto hao walioonekana kuwa na njaa kali walikutwa katika eneo la makutano ya barabara ya Zaramo na Jamhuri jijini Dar. Mpaka mwanahabari wetu anaondoka eneo la tukio mama huyo alikuwa bado hajarudi na haikujulikana atarudi saa ngapi. (PICHA / HABARI: HARUNI SANCHAWA / GPL)

Kampuni toka Uholanzi yaingia mkataba na mabasi yaendayo kasi dar

Image
  KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa),Bwana Jumane Sagini akiongea na waandishi wa habari muda mfupi mara baada ya kusainiwa mkataba wa kusimamia mradi wa mabasi yaendayo haraka kati ya Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) na Kampuni ya Uholanzi ya REBEL Group jijini Dar es Salaam jana. Wengine kulia ni Kaimu Afisa Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo na Mshauri wa Masuala ya Fedha wa REBEL Group, Bw.Jeroen Kok (kushoto). Kaimu Afisa Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo(kulia) akibadilishana nyaraka za makubaliano na Mshauri wa Masuala ya Fedha wa REBEL Group, Bw.Jeroen Kok (kushoto) muda mfupi baada ya kusaini mkataba jijini Dar Es Salaam jana anayeshuhudia katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa),Bwana Jumanne Sagini. Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam  MRADI wa mabasi yaendayo kasi umepiga hatua nyingine kubwa baada ya kupatikana kwa kampuni ya washauri kutoka Uholanziy

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. SOSPETER MUHONGO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA WINCH ENERGY TANZANIA

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Winch Energy Tanzania akiwasilisha mada mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (aliyekaa upande wa kulia) kwenye ukumbi ulioko kwenye ofisi   za Wizara ya Nishati na Madini. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kampuni ya Winch Energy Tanzania kutambulisha majukumu yake ikiwa ni pamoja na kusambaza umeme wa nishati ya jua. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter  Muhongo akisisitiza jambo katika kikao hicho.

SHOGA AWEKA HISTORIA BONGO

Image
Stori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani KATIKA tukio linalochukuliwa kama ni la kihistoria kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni, shoga wa Jijini Dar es Salaam, Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu, aliyeokoka Agosti mwaka jana, ametangaza nia ya kutaka kuoa katika Kanisa la TAG, Magomeni wiki iliyopita. Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu akimvisha pete mpenzi wake. Amosi alimvalisha pete ya uchumba, Astrida Samatha baada ya kukamilisha taratibu zote za mila  na desturi za ukweni na hatimaye kupewa ruksa ya kumuoa. Mara baada ya misa ya pili kumalizika katika kanisa hilo, Amos alimvisha pete mchumba wake huyo na kusababisha nderemo na vifijo kutoka kwa waumini wa kanisa hilo, ambao waliahidi kuchangia baadhi ya gharama wakati wa harusi yao. Anti Asu akipozi na mpenzi wake. Akizungumzia suala hilo, Amosi ambaye ni maarufu sana jijini Dar es Salaam enzi zake akijishughulisha na mapenzi ya jinsia moja, alisema: "Siamini na wala sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuwa na

KUFURU LA BIRTHDAY BASH LA SHAMIM AT SERENA HOTELI ILIKUWA NI BALAAAH LIVE!!

Image
hhahahahh chezeaaa paparaziiii instagram timeee lol organiser of the shamim's surprise dinner Super Model Flaviana Matata. Cake time shamim and Hubby The Birthday girl was Dressed by EVE COLLECTION PHOTOGRAPHERS: Martin & chigyver . Credits & Source:  GYVER LA TREND BLOG