
RAIS BARACK OBAMA ASHIRIKI MKUTANO WA VIJANA WA AFRIKA Rais wa Marekani ,Barack Obama akizungumza na Viongozi vijana toka nchi mbalimbali za Afrika waliokuwa wakipata mafunzo katika vyuo vikuu vya Arkansas na Florida. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry akitoa hotuba yake kwa Viongozi vijana toka barani Afrika waliokuwa wakishiriki mafunzo katika vyuo vikuu vya Arkansas na Florida nchini Marekani. Rais Obama akiondoka Ukumbini mara baada ya kuzungumza na Viongozi vijana toka nchi mbalimbali za Afrika waliokuwa wakipata mafunzo katika vyuo vikuu vya Arkansas na Florida. Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari ni miongoni mwa Vongozi vijana toka barani Afrika waliohudhuria mkutano huo na Rais Barack Obama . Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari ni miongoni mwa Vongozi vijana toka barani Afrika waliohudhuria mkutano huo na Rais Barack Obama hapa akifuatilia kwa makini Hotuba ya Rais Obama. . Mbunge Jos...