ANGALIA PICHA ZA WASHIRIKI WA BIBI BOMBA WALIVYO MTEMBELEA WEMA SEPETU OFISINI KWAKE
Wema akiwakaribisha Bibi Bomba... CEO wa kampuni ya Endless Fame Production... Wema Sepetu alipata ugeni kutoka kwa washiriki wa Bibi Bomba (2013)...Kipindi kinachorushwa hewani na Clouds Tv The People Station kikiongozwa na Babuu wa Kitaa... Mabibi wanne walioonekana kuwa na uwezo katika fani ya maingizo walipata nafasi yakujifunza baadhi ya mambo muhimu katika Tasnia nzima ya maigizo... Darasa likaanza sasa.... Maswali na majibu nayo yalikuwepo.... Babuu wa Kitaa akifanya yake... Baada ya kutoa mafunzo Wema alitoa nafasi kwa baadhi ya Mabibi kuonesha uwezo wao kwakile walichojifunza... Pichani ni Bibi akionesha uwezo wake kwakucheza kama Boss wake Wema na Wema akicheza kama mwajiriwa wake... Bibi mwenye nguo ya rangi ya zambarau alioneshesha uwezo wake alipoambiwa amwage chozi baada ya kupewa taa...