Posts

Showing posts from July 29, 2013

RAIS KIKWETE ATAWAZWA OMUKAMA (CHIFU) WA MISSENYI, AHITIMISHA ZIARA YA KAGERA

Image
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo. PICHA NA IKULU

JK AHITMISHA ZIARA YAKE YA MKOA WA KAGERA LEO

Image
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa kitaifa na wa mkoa wa Kagera katika kikao cha majumuisho mchana huu katika Ikulu ndogo ya Bukoba. Chini ni taswira za wahudhuriaji Picha Na Ikulu

JACK WOLPER AMJIBU MBAYA WAKE ALIYETANGAZA KUWA YEYE NI KAHABA

Image
  Msanii  nyota  wa  filamu  bongo, Jacqueline Wolper   amewataka  wasanii wa  bongo  movie  kuacha  tabia  ya  kupigana  majungu  ya  kinafiki  ambayo  huchangia  kujenga  bifu  za  kijinga.... Akiongea  na  mpekuzi  wetu, wolper  alidai  kuwa  kuna  mipaka  ya  watu  kuishi  lakini  kuna  baadhi  ya  wasanii  wanaamini  kwamba majungu  ndo  mshahara  wao  kiasi  kwamba  wasipomsengenya  mtu  basi  hawawezi  kuishi... Wolper  anadai  kuwa   yeye  ni  miongoni  mwa  wasanii  wanaosemwa  sana  kwa  mabaya  hasa  kuhusu  maisha  yake  ya  kila  siku.Hali  hiyo  inatokana  na  umaarufu  alionao  ambao ...

NIPO TAYARI KUPIGANA NA JACK WOLPER ENDAPO ATAENDELEA KULITUMIA JINA LANGU KUJIPATIA UMAARUFU"...BABY MADAHA

Image
Staa  wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ ameomba pambano la ngumi dhidi ya Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi wa bifu lao. Akipiongea na  mwandishi wetu, Baby alisema amechoshwa kusikia tambo za mpinzani wake huyo hivyo kama kweli ni mwanamke, wakutane kwa  ngumi  ili amuoneshe cha mtema kuni.   “Asiniambie mimi natafuta kiki, mimi ni msomi kuliko yeye, arudi shule au akauze vipodozi. Najua kuimba, kuigiza na ni msomi yeye anaweza hayo?   "Kimsingi naomba pambano nimtoe  manundu.Nipo  tayari  kupigana  naye  ili  nimshikishe  adabu,” alisema Baby Madaha.

HATIMAYE DIAMOND AENDA KUSOMA AFRIKA YA KUSINI

Image

MSHIRIKI WA TANZANIA (NANDO ) ATIMULIWA BIG BROTHER BAADA YA KUGOMBANA NA MSHIRIKI MWENZAKE

Image
Jana usiku mara tu baada ya Sulu na Annabel kutolewa kwa kura za watazamaji, Big Brother aliwaita washiriki pamoja katika kikao cha dharura kufuatia ugomvi uliotokea kati ya Nando na Elikem. Itakumbukwa kwamba siku ya ijumaa ilitokea hali ya kutoelewana kati ya Nando na Elikem. Wawili hawa walitukanana sana na kutishiana mno. Ugomvi huo ulianzishwa na Nando. Kwa mujibu wa sheria za Big Brother mwaka huu, kuanzisha ugomvi ni kosa ambalo hupelekea kupata 'strike' ama onyo. 3 strike rule ni mtindo unaotumika msimu huu. Kwa mujibu wa Big brother, yeyote atakaye fanya makosa matatu makubwa na kupewa maonyo matatu basi moja kwa moja anatakiwa atimuliwe.. Sheria hiyo imetumika kumtimua Nando kwa sababu 1. Alianzisha ugomvi siku ya Ijumaa, 2. Alishiriki ugomvi na Elikem na 3. Alitishia maisha, "I feel like stabbing him. A nigga like that deserves to die"... Katika kipindi cha wiki 9 za ushiriki wake katika jumba hilo, Nando amekutwa na misuko ...

T.I.D AFANYWA KITU MBAYA NA WAHUNI..MWENYEWE AFUNGUKA NA KUAHIDI ZAWADI NONO YA LAKI MBILI KWA ATAKAYE MTONYA HAO WAHUNI..ATOA NAMBA YAKE YA SIMU

Image

PICHA ZA OPRAH ZIKIONYESHA JINSI ALIVYOIFURAHIA SAFARI YAKE YA SERENGETI TANZANIA

Image
A group of giraffe is called a “journey” There were 16 of them couldn’t fit in one shot #SerengetiSafari Ready for my closeup I love this one Another shot by Alf I need his camera #SerengetiSafari Great shot at the watering hole Picture taken by Alf my safari guide armed with shotgun and Canon Look at how Perfect nature is How male and female exactly match the grass cover #serengetisafari Let sleeping lions sleep Driver wanted to get closer “No thank you I said My first time seeing a real ostrich #SerengetiSafari Ostrich Eggs #SerengetiSafari Here’s the guy we searched 2 days for..photo by my shotgun toting guide Alf No gun necessary just a Canon He’s looking directly at me..gorgeous and disconcerting #serengetisafari

hili NDILO JIWE LA AJABU NCHINI TANZANIA NA HAIRUHUSIWI KULIPANDA WALA KULISOGELEA!! KWANI NI HATARII

Image
  Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma Maana ya neno Mbuji ni "Kitu kikubwa" 1. Ni jiwe pekee kubwa Mkoani Ruvuma, 2. lina vyanzo vingi vya maji chini yake,   3. Ni ngumu kulipanda na ukithubutu yatakayokukuta ni juu yako na tayari Mzungu mmoja kapoteza maisha' 4. Ni ngumu kulizunguka, 5. Hutumika kwa matambiko kwa baadhi ya koo, 6. Kuna watu maalumu wanaotoa maelekezo kwa yeyote anayetaka kulifikia ama kupanda, 7. Ni kivutio kikubwa kwa wageni wachache ambao hutembelea Litembo, Maguu, Hagati nk huko Mbinga, 8. Linaheshimika sana na wakazi wanaolizunguka jiwe hilo, 9. Sehemu kubwa ya watu wananchi wanaolizunguka hawajawahi kulipanda wala kulisogelea kwa hofu, 10. Jina la jiwe hilo ndilo jina la Tarafa ya Mbuji wilayani Mbinga.

NAPE NNAUYE AYAKANA MATUSI YAKE KWA WAZEE

Image
Nape Nnauye ameamua  kuvunja  ukimya  na  kutoa  utetezi  wake  kuhusu  kauli  yake chafu  iliyochapishwa  na  gazeti  la  Mtanzania  likimtuhumu  kuwatusi  wazee  waliopendekeza  uwepo  wa  serikali  tatu..... Huu  ni  utetezi  wake: "Nimestushwa sana na stori ya gazeti la Mtanzania inayodai kuninukuu kuwa nimesema wazee waliopendekeza serikali tatu wanasubiri kufa! Kwakweli nimesikitishwa sana hata na jinsi maneno ndani yalivyopangiliwa kiasi kwamba inanipa tabu kuamini kama mhariri aliipitia hii stori ukiachilia mbali kama aliyetumwa kuja kuandika stori alikuwa ni "too junior". Nawaheshimu sana wazee wangu hawa hata kama nikipishana nao kimawazo siwezi kufikia kutamka maneno makali kiasi hicho. Nilichosema ni kuwa ukilinganisha vijana na wazee, vijana wana wajibu mkubwa wa kuamua kesho yao badala ya kudhani kuna mtu atawaamulia. Hivyo...

HUYU NDO MSICHANA WA CHUO ALIYEKUTWA AMEKUFA KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI

Image
Msichana Aliyetambuliwa kwa jina la Florence Ngwu,  Mwanafunzi katika chuo kikuu cha  Nigeria  Amepatwa na Umauti Katika Hotel Moja Mjini   Lagos  Nigeria. Mwili wa Msichana Huyo Ulikutwa   sakafuni. Mpaka Sasa hakuna taarifa za ziada   zilizotolewa, pia  haijajulikana ni kitu gani kilimtoa

"NIKIKUTA NINA VIRUSI VYA UKIMWI NI LAZIMA NIJIUE MAANA SIPO TAYARI KUCHEKWA".....BABY MADAHA

Image
Msanii  wa  filamu  bongo,Baby Madaha  amefunguka  kwamba  siku  akianza  kuona  dalili  za  ugonjwa  wa  UKIMWI  ndani  ya  mwili  wake   atakunywa  sumu  kwa  kuhofia  kuchekwa  na  jamii. Akiongea  na  mwandishi  wetu,Madaha  amedai  kuwa  kwa  sasa  anaamini  hana  ngoma  maana  siku  zote  hutumia  Kinga (kondom)   ili  asiambikizwe  gonjwa  hilo  japo  hana  uhakika  asilimia  zote  maana  hiyo  ni  mipango  ya  mungu. "Siukatai  ugonjwa  huo  kwa  kuwa  sijui  ni  lini  naweza  kuupata  hasa  ukizingatia  kwamba  mimi  bado  ni  kijana  mbichi  ambaye  bado  nahitaji  kuifurahia  ...

HATARII....HUYU NDO KUKU ANAYE ISHI HUKU AKIWA HANA KICHWA

Image
   Residents of Kware area in Ongata Rongai are still in shock after stumbling upon a headless cock. It is suspected that it was used in witchcraft.   Apparently, the cock showed no signs of pain. Rachel Danson, a Kware resident, who operates a kiosk near the site where the headless cock was found, said that she found something put in a white polythene paper in the morning near her kiosk but she did not bother opening it since she thought it was waste dumped along the road by the residents. “I spotted the white polythene paper in the morning but I did not open it because I thought it was waste dumped along the road,” Rachel told The Standard.  One of her neighbours later inspected the paper and informed her that it contained a breathing creature. “At first we were afraid to check but we opted to do so when another neighbour dared to open and find out what it was,” she said. Frightened residents ran for dear life when a cock without a...