UNFORTUNATE LOVE SIMULIZI SEHEMU YA 1.
katika maisha yangu ya kimapenzi nilishwahi kutoka na kufanya mapenzi na wanaume wanne na nikadanganywa, nikaumizwa na kukosa raha, nilikuwa natumiwa kama chombo starehe pasipo kujijua mimi mwenyewe ila ni mwanaume mmoja tu ambaye alinionjesha utamu wa mapenzi na kunipenda, kunijali na katika mikono yake nilihisi kama ni mwanamke wakipekee sana kuzidi wengi ne….. Ni kwasababu gani niliwahi kufanya mapenzi na wanaume wanne na ni mwanaume gani ndiye aliyenipa na kunionjesha utamu wa mapenzi??? Sikiliza kwa makini nikuelezee yalionitokea mpaka ikawa hivyo. SEHEMU YA 1. Naitwa sarah james, mimi ni mtoto wa pili wakike kutoka kwenye familia ya bwana James ambaye ni baba yangu mzazi na Anna amabaye ni mama yangu mzazi, Kwenye familia yetu tupo wanne; mimi; baba yangu; mama yangu na dada yangu aitwaye suzy. Mimi pamoja na familia yetu tunaishi kinondoni, morocco na familia yetu ni tabaka la kati kwa maana sio maskini sana wala sio matajiri sana. Maisha yang...