Posts

Showing posts from August 7, 2015

JOYCE KIRIA:- NILIAMUA KUOLEWA BAADA YA KUKOSA KODI YA NYUMBA, SOMA HAPA

Image
Ijumaa: Wewe ni mwanaharakati ambaye muda mwingi unakuwa mbali na familia yako, vipi malezi ya watoto? Joyce: Wanalelewa na dada ambaye huwafanyia kila kitu. Ijumaa: Historia yako inaonesha uliwahi kuwa ‘house girl’, je ulishawahi kukutana na ishu ya kubakwa? Joyce: Namshukuru Mungu nilikutana na mitihani mingi lakini sikuwahi kubakwa, ila katika kazi yangu nimekuwa nikikutana na wadada wengi waliofanyiwa hivyo na kuwasaidia. Ijumaa: Mume wako amepita kwenye kura za maoni na kuelekea kwenye ubunge, unalizungumziaje hilo? Joyce: Nimefurahi sana, namuombea kila la heri avuke katika hatua inayofuata. Ijumaa: Hivi ni kwa nini uliachika kwenye ndoa ya mwanzo? Joyce: Niliachika kwa sababu sikuwa nimempenda mwanaume niliyekuwa naye bali niliingia kwenye ndoa kwa sababu ya kitu na hili ni fundisho kwa wanawake. Ijumaa: Ina maana wewe uliolewa na mwanaume wa kwanza kwa sababu ya pesa zake? Joyce: Kiukweli nisiwe mnafiki nakumbuka mwanaume wangu wa kwanza alinioa ...

PROFESA LIPUMBA AONDOKA NCHINI CHINI YA ULINZI MKALI, KISA? SOMA HAPA

Image

HATIMAYE RAIS KIKWETE AWAKUTANISHA ALI KIBA NA DIAMOND...WAENDA KUPAKUA CHAKULA PAMOJA

Image
TUPE MAON I YAKO NDUGU MDAU WETU KWA HATUA HII

Alichokiandika LOWASSA Kuhusu Rais JK, DK MAGUFULI Kujumuika Dinner na Wasanii Usiku wa Kuamkia Leo!

Image

Mke wa DK. SLAA Afunguka Mazito...Aelezea A-Z Ilivyokua! Habari Kamili Nimekuwekea Hapa!

Image
Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuzungumza na gazeti hili na kusema yupo salama, mke wake, Josephine Mushumbusi amekanusha tuhuma zilizozagaa kuwa ndiye aliyemshauri kiongozi huyo wa Chadema kujiuzulu na kumzuia kushiriki vikao muhimu vya chama.  Tetesi hizo zilivuma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari baada ya Dk Slaa kutoonekana katika vikao muhimu vya Chadema na Ukawa, kuwa Mushumbusi hakupendezwa na kitendo cha Lowassa kupitishwa kuwania urais chini ya mwavuli wa Ukawa na badala yake alitaka Dk Slaa ndiye awe mpeperusha bendera.  Kwa mujibu wa taarifa hizo ambazo Mushumbusi amezikanusha, aliamua alimfungia ndani Dk Slaa kama moja ya mbinu za kumzuia asishiriki shughuli za kichama, tuhuma ambazo amezikanusha.  “Bosi wako akija kukuomba ushauri utamsaidia, lakini akija akakuambia ameshafanya maamuzi unaweza kupingana naye?” alihoji Mushumbusi akianza kutoa maelezo yake na kuendelea:  “Wakat...

SHEREHE YA WASANII KAMUAGA RAIS KIKWETE YAFANA

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City  katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli,Dkt Jakaya Kikwete alizungumza mambo mbalimbali zikiwemo haki na hatimiliki za wasanii wa muziki pamoja na Bongomovie na pia alikubali kuwa mlezi wa tasnia hizo na kuhakikisha mambo yanakwenda sawa ndani ya tasnia hizo mbili adhimu kwa sasa hapa nchini.Picha na Ahmad Michuzi  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete katikati pichani akiserebuka na wadau wa muziki na huku akipiga nao picha,ndani ya ukumbi wa Mlimani City  katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyo...

LOWASSA AANDIKA UJUMBE MZITO USIKU WA KUAMKIA LEO BAADA YA PROF. LIPUMBA KUJIUZULU!

Image
 Ninapenda kuwashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama changu, CHADEMA, kwa kunipitisha kwa kura zote kuwa mgombea wa Urais kupitia muungano wa vyama vyetu, UKAWA. Kiupekee kabisa napenda kumpa shukrani na pongezi mgombea mwenza, Juma Duni Haji Kwa kukubali majukumu haya makubwa ya kuelekea mabadiliko makubwa pamoja na Mwenyekiti wetu, Freeman Mbowe kwa kusimama imara katika kipindi hiki kigumu. Nimewaambia wajumbe wa mkutano mkuu kuwa natambua kazi wanayofanya ni kubwa na wanajitolea, na kwa umoja wetu, tutafika kila jimbo na kufanya kampeni za kisayansi bila matusi na tutapata Ushindi wa Asubuhi Mapema. Asanteni sana kwa imani yenu kwangu.

This is how Zari and Diamond on safe arrival of baby girl princess Lattifa many relatives and good friend sent their wishes and attended at Hospital look this best moment spotted during that morning!

Image

MEMPHIS DEPAY AFANYA MAAMUZI MAGUMU NDANI YA OLD TRAFFORD

Image
Mchezaji mpya wa Manchester United, Memphis Depay ameamua kuchukua maamuzi magumu ya kuvaa viatu vizito kwa kuomba kuvaa jezi namba 7 katika msimu huu wa ligi kuu ya Uingereza unaoanza Jumamosi hii. Hiyo ni jezi ya heshima kwa Old Trafford ambapo iliwahi kuvaliwa na masupastaa waliochezea klabu hiyo wakiwemo George Best, Bryan Robson, Eric Cantona, David Beckham, Cristiano Ronaldo na Angel di Maria. Hata hivyo kocha wa United, Louis van Gaal bado hajatoa namba katika kikosi chake.