PATA STORY YA MAPENZI YA KUSISIMUA!!!!!
Story ya kugusa Moyo Msichana na mvulana wamekaa peke yao kwenye garden moja mjini usiku. Mvulana: nafikiri sisi tuna mkosi katika dunia hii tumeachwa nyuma sana... Msichana: Ninafikiri hivyo...marafiki zangu wote wana-Boyfriends...sisi peke yetu tumebaki tusio kuwa na wapenzi... Mvulana: Yah Mimi hata sijui nini cha kufanya... Msichana: Mimi najua..tutacheza mchezo fulani hivi..... Mvulana: Mchezo gani? Msichana: Nitakuwa Girlfriend wako kwa siku 30,nawe utakuwa boyfriend wangu. Mvulana: Mpango mzuri in fact sina vitu vingu vya kufanya mwezi huu.... Walikubaliana kucheza huu mchezo.... SIKU YA KWANZA: waliangalia filamu pamoja kwa mara ya kwanza..na wote waliguswa na hiyo romantic movie... SIKU YA NNE: Walienda beach pamoja they had picnic together...they had a quality time together. SIKU YA KUMI NA MBILI: Mvulana alimwalika msichana kwenye maonyesho ya sarakasi,they ride on a horror house...girl was scared and she touched someone else's hand and ...