Posts

Showing posts from October 13, 2016

Nauli Za ATCL Zitakazotumika Kuanzia Oktoba 14 Hadi 28

Image
Ndege mbili mpya za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombardier Q400 zinatarajia kuanza kazi wakazi wa mikoa ya Mwanza, Arusha na Zanzibar watakuwa wa kwanza kupata ofa. Ofisa Habari wa shirika hilo, Lilian Fungamtama amesema safari mpya za ndege hizo ikiwamo ya Dar es Salaam – Mwanza, nauli iliyopangwa ni Sh160,000. Amesema safari za Dar es Salaam – Arusha nauli yake itakuwa Sh180,00 na Zanzibar – Dar es Salaam ni Sh85,000. “Ofa hii imetolewa na ATCL kwa safari mpya za ndege hizo,” alisema Fungamtama. Amesema hakutakuwa na safari ya moja kwa moja kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar, lakini itakuwapo ya kutoka Dar es Salaam -Arusha hadi Zanzibar. “Ndege ya kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha ndiyo itakayokwenda kuchukua abiria Zanzibar haitatokea Dar es Salaam moja kwa moja,” alisema. Akifafanua kuhusu nauli hizo, Fungamtama alisema nauli ya kutoka Dar kwenda Kigoma itakuwa katika madaraja mawili ambayo ilikuwapo tangu awali. Amesema bado ndege hizo hazijaan

Rais Magufuli Akutana Na Mabalozi Ikulu

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2016 9 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe: Philip Marmo alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 12, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi jambo baada ya kupokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara a

Beny Kinyaiya Afungukia Ishu Ya Ushoga, Awaanika Wanay

Image
  Mtangazaji maarufu wa kituo cha runinga, Beny Kinyaiya. MAKALA: HASHIM AZIZ Wengi wanamfahamu kupitia shoo zake za runinga zilizompa umaarufu mkubwa, zikiwemo Afro Beats alipokuwa East Africa TV, Ben & Mai Live alipokuwa TBC, Mama Land alipokuwa Clouds TV na sasa Kinyaiya’s Corner akiwa Channel Ten, namzungumzia Beny Kinyaiya ambaye leo tunaye kwenye Mtu Kati. Mwandishi wetu alifanya mahojiano na Kinyaiya ambapo alifunguka mambo mbalimbali, ikiwemo tuhuma zinazomuandama kwa kipindi kirefu, za madai ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja (ushoga), uhusiano wake wa kimapenzi na wanawake mbalimbali, pamoja na ishu zinazomuweka mjini. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo: Mtu Kati:  Mambo vipi Beny. Kinyaiya:  Poa tu! Mtu Kati:  Ukiachilia mbali utangazaji wa runinga, una ishu gani nyingine zinazokuweka mjini? Kinyaiya:  Mimi ni mfanyabiashara, mjasiriamali na msanii. Nina biashara zangu kibao mjini lakini siwezi kuzitaja hadharani, kama hiyo haitoshi, namiliki ba

Rais Magufuli Na Waziri Mkuu Majaliwa Wakutana Na Kiongozi Mkuu Wa Dawoodi Bohora Duniani Ikulu Dar

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016  Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiongea na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Mag

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA MASABURI

Image