Posts
Showing posts from June 9, 2013
MTAZAME SNURA AKIFANYA MAMBO YAKE KWENYE STAGE FULL KUJIACHIA
- Get link
- X
- Other Apps
Naamini kwapicha hizi uwezi kosa show yake jumapili hii NEW MAISHA CLUB atazindua video yake ya majanga kuwa mjanja kuwa wa kwanza kuiona, atasindikizwa na WEMA SEPETU atakata utepe wa video ya majanga,MIRROR,SAMIR,ALI NIPISHE,TIMBULO,BAUCHA,MENINAH, na MADEE kiingilio 10,000 tu hii show sio yakukosa kabisa.
TAZAMA PICHA 9 ZA UNYAMA WA SNURA KWENYE STAGE, NI MAJANGA KWELIKWELI
- Get link
- X
- Other Apps
Naamini kwapicha hizi uwezi kosa show yake jumapili hii NEW MAISHA CLUB atazindua video yake ya majanga kuwa mjanja kuwa wa kwanza kuiona, atasindikizwa na WEMA SEPETU atakata utepe wa video ya majanga,MIRROR,SAMIR,ALI NIPISHE,TIMBULO,BAUCHA,MENINAH, na MADEE kiingilio 10,000 tu hii show sio yakukosa kabisa.
RAIS KIKWETE AMFARIJI MALKIA WA MIPASHO ( KHADIJA KOPA ) KWA KUFIWA NA MUMEWE
- Get link
- X
- Other Apps
Rais Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Kopa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita. Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM, Hadija Kopa kufuatia kifo cha mumewe Jaffari Ali Yusuf kilichotokea wiki iliyopita na kuzikwa jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi na (kulia) ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa CCM, Ridhwani Kikwete.
MASTAA KIBAO WAFURIKA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA VANESSA MDEE
- Get link
- X
- Other Apps
"NDOTO ZANGU NI KUOLEWA NA MSANII AY"....SALAMA JABIR
- Get link
- X
- Other Apps
Mtangazaji mahili wa show za TV/Radio aliyeisimamisha wima show mpya na kali inayorushwa kupitia channel 5 ‘Mkasi’ namzungumzia Salama Jabir ametupia ‘neno’ kupitia kipindi hicho kuwa huenda siku moja akaolewa na AY! Kama uliiangalia show ya Mkasi jumatatu ama marudio yake leo (jumamosi) ambapo crew nzima ya kipindi cha mkasi chini ya C.E.O na Producer wa show Ambwene Yesaya ‘AY’ walikuwa wakieleza changamoto na mambo mbalimbali waliyokutana nayo wakati wanaanza kufanya kipindi hicho, mwishoni Salama ambae alikuwa akimuelezea AY kuwa ni msanii ambae anajivunia kufanya nae kazi kutokana na jinsi alivyomchapakazi na mtu wa kuaminika alimaliza kwa kusema “huenda ipo siku moja tutaona..!”. Wote tunajua Salama alivyo mtu wa utani sana, kitu kinachoongeza burudani ya ziada katika show zake, alitamka hivyo na kumgeukia AY akimuuliza, na AY mwenyewe akajikuta anacheka na kukubali. Pengine ulikuwa ni utani tu, lakini hakuna aijuae kesho ukizingatia wote...
WASHINDI WA TUZO ZA KILI TANZANIA 2013
- Get link
- X
- Other Apps
HATIMAYE,ZILE TUZO ZILIZOKUWA ZIKISUBIRIWA KWA HAMU NCHINI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA SASA WASHINDI WAMESHAPATIKANA NA KUGAWIWA TUZO ZAO.WAFUATAO CHINI HAPO NI WASHIMDI WA TUZO HIZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013. WIMBO BORA WA RNB; RAMA DEE ft MAPACHA-KUWA NA SUBIRA KIKUNDI BORA CHA TAARABU-JAHAZI MODERN TAARAB MTUNZI BORA WA TAARABU-THABIT ABDUL WIMBO BORA WA TAARABU;KHADIJA KOPA-MJINI CHUO KIKUU MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA KWA TAARABU-ENRICO MSANII BORA WA KIKE -TAARBU; ISHA MASHAUZ I MSANII BORA WA KIUME -TAARABU; MZEE YUSUPH WIMBO WENYE VIONJO VYA ASILI-MRISHO MPOTO ft DITTO-CHOCHEENI KUNI MTUNZI BORA WA MASHAHIRI BONGO FLAVA-BEN POL MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA-MUZIKI WA KIZAZI KIPYA; MAN WALTER MSANII BORA WA KIUME BONGO FLAVA-DIAMOND MSANII BORA WA KIKE BONGO FLAVA-RECHO MTUNZI BORA WA MASHAHIRI HIP HOP-KALA JEREMIAH WIMBO BORA WA BONGO POP;OMMY DIMPOZ-ME AND YOU M...