Posts

Showing posts from February 18, 2014

ANGALIA PICHA CHAWI ADONDOKA NA UNGO AKIWA ANAWANGA NA KUGEUKA KUWA KUKU

Image
HALI ya taharuki iliyoambatana na imani za kishirikina iligubika Jiji la Arusha kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina kudondoka na ungo wa kishirikina asubuhi ya Ijumaa iliyopita kisha ghafla kubadilika  kuwa kuku mweupe mwenye mayai ndani ya ungo, Uwazi limeona mengi Mamia ya wananchi katika eneo la Kimandolu kando ya Barabara ya Arusha- Moshi walimiminika kushuhudia tukio hilo lililojiri saa tatu asubuhi. Akizungumza na Uwazi, shuhuda mmoja wa tukio hilo ambaye ni dereva wa bodaboda, Martin Mbise alisema: “Nilikuwa kwenye shughuli zangu za kila siku, ghafla niliona kitu kipana kikidondokea kwenye huu mtaro, ndani yake nikamwona mtu amekaa akiwa uchi wa mnyama. “Wengi tuliamua kusogelea eneo la tukio, lakini kabla hatujakifika, mtu huyo alitoweka, badala yake mle mwenye ungo  mkawa na kuku mweupe na mayai zaidi ya kumi, tulishangaa sana: Mbise alisema hali hiyo ilidumi kwa saa mbili na nusu, ndipo wananchi hao wakaamua kumchoma mo...

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI CHUO KIKUU DODOMA

Image
The University of Dodoma invites applications from suitable qualified Tanzanians to fill the following positions. 1. POSITION: HUMAN RESOURCE AND ADMINISTRATIVE OFFICER II (12 positions) Required qualifications: Holder of a University degree in Public/Business Administration, Sociology, Human Resources or Law or its equivalent from a recognized institution. Basic Duties: Deals with general University administration and Management. Salary Scale: PGSS 10 -------------------------- 2. POSITION: PLANNING OFFICER II (4 positions) Required qualifications: Holder of a Bachelors Degree or its equivalent in Economics, Educational Planning, Engineering, Engineering Management, Statistics, Architecture, or Computing from a recognized institution. Basic Duties: Implements the University’s rolling strategic plan; participate in the preparation of the University budget and Collects, analyse and keep University statistics and data. Salary Scale: PGSS 10 --------------------------- 3. POSITION: ASSI...

UKATILI WA KIJINSIA AMCHINJA MKE WAKE

Image
Mkazi wa mmoja wa Nzega, mkoani Tabora, Juma Kiyabo (45) amemchija mke wake, Wande Monera (34), kabla ya mwenyewe kunusurika kifo baada ya kujijeruhi vibaya shingoni katika jaribio la kutaka kujiua. Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Tazengwa saa 7 usiku wa Februari 16 mwaka huu, huku ikielezwa kuwa sababu ya tukio hilo ni kunyimana unyumba mara kwa mara.

ANGALIA PICHA YA MTOTO AOKOTWA AMEKATWA MAPANGA

Image
Mtoto Ismail Barihegi. MTOTO Ismail Barihegi, mwenye umri wa miaka 12 mkazi  wa Kijiji cha  Fukayosi wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ameokotwa akiwa amekatwa  mapanga baada ya kudaiwa kuipeleka mifugo yao katika mashamba.   Barihegi ambaye amelazwa katika Jengo la Mwaisela Wodi na 17, Muhimbili, alimwambia mwandishi wa habari hizi kwamba siku ya tukio (hakumbuki)alikuwa akichunga ng’ombe porini lakini ghafla walitokea watu  na kumwuliza kwa nini aliwaachia ng’ombe wake kufika shambani. Alisema aliwakatalia watu hao kwamba mifugo iliyokuwa shambani haikuwa ya kwao, na hata kuwaonesha ng’ombe wao, lakini watu hao hawakumwelewa. “Walianza kunikata mapanga kichwani, begani na sehemu zingine za mwili, nililia sana huku nikiwaomba wanisamehe hawakunisi “Wenye ng’ombe walishakimbia, waliniambia ni lazima waniue, niliwaomba wasiniue, lakini hawakunijali, niliishiwa nguvu, damu nyingi ilikuwa imenitoka,waliondoka na kuniacha porini pek...

MEMBERS OF THE CONSTITUENT ASSEMBLY REGISTER

Image
MEMBERS of the Constituent Assembly register prior to their maiden session in Dodoma on Wednesday. (Photo by Mohamed Mambo)

LULU AKUMBUKA MAPENZI YA KANUMBA VALENTINE’S DAY!!

Image
WAKATI kesi yake juu ya kifo cha aliyekuwa nyota wa filamu Bongo, Steven Kanumba ikianza kurindima leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa la moyoni akikumbuka mapenzi ya jamaa huyo aliyetangulia mbele za haki. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Lulu alifunguka hayo mwishoni mwa wiki iliyopita, Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) iliyosherehekewa duniani kote Ijumaa iliyopita. Marehemu Steven Kanumba.“Kuna mtu natamani kumtakia Happy Valentine’s Day kwa kuwa nakumbuka mapenzi yake kwangu lakini kwa bahati mbaya siwezi kwa sababu hayupo na haiwezekani tena,” alisema Lulu. Hata hivyo, alipobanwa amtaje, staa huyo ambaye ni sura ya mauzo ya filamu za Kibongo alikiri kuwa ni Kanumba aliyefariki dunia Aprili 7, 2012, siku ambayo kamwe hawezi kuisahau maishani mwake.  credit:GPL

LULU AKIWA MAHAKAMANI...AKIRI KUWA NA MAHUSIANO NA KANUMBA...!

Image
Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabiri muigizaji wa kike, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu imesikilizwa leo (February 17) katika mahakama kuu, Kanda ya Dar es Salaam.   Lulu alikiri mbele ya Jaji Rose Temba kuwa alikuwa na uhusiano wa mapenzi na marehemu Steven Kanumba na kwamba walikuwa na ugomvi, lakini alikana mashitaka ya kumuua bila kukusudia.  Mbali na kukiri kuwa na uhusianano wa mapenzi, muigizaji huyo pia alikiri kuwa baada ya tukio h i lo alitoka nje ya chumba walichokuwepo na kwenda kumwambia mdogo wake marehemu Kanumba, Setti Bosco kuwa Kanumba ametangulia mbele ya haki. Akisoma hati ya mashitaka, Wakili Mwandamizi wa Serikali, Monica Mbogo, alidai kuwa Aprili 7, mwaka 2012, Sinza Vatikani, Mkoa wa Dar es salaam, mshitakiwa alimuua bila kukusudia Stevin Kanumba. Wakili Kombo, alidai kuwa pamoja na mambo mengine, marehemu Kanumba baada ya kufa, mwili wake ilipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo maj i bu yanaonyesha kwamba kifo cha...

HICHI NDICHO KISA CHA MWANACHUO HUYU MWAKA WA KWANZA MCHEPUO WA ELIMU KUJINYONGA

Image
 Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha Ualimu  cha Winneba, nchini Ghana, amejiua kwa kujinyonga mara baada ya jina lake kubandikwa kwenye ubao wa matangazo (notice board) kuwa amefeli masomo matatu. Jina la mwanafunzi huyo limehifadhiwa kwa sasa, ila inasemwa kuwa sababu ya kujinyoga kwake ni kutokana na kufeli masomo hayo matatu ambapo kungepelekea kufutwa kwake shule hapo. ANGALIA PICHA ZAIDI

Mwanamke, Ukimpa shoga upenyo kwa mwenzi wako, itakula kwako...!

Image
Unapokuta mwanamke au mwanaume anamlaumu mume au mke wake kwa kitendo chake cha kukaa na kuzungumza na mtu wa jinsia nyingine mara kwa mara utasemaje, je utasema ni wivu uliopitiliza? Inawezekana ikawa ni wivu, lakini kwa upande wa pili, huenda haitokani na wivu, bali ukweli kwamba, watu wawili wa jinsia mbili wanapozoeana katika kuzungumza, hatimaye uwezekano wa kukutana kimwili hujitokeza. Kwa kupitiwa au kujisahau, wanawake wengi huwa wanawapa nafasi marafiki au shoga zao kuwa karibu na waume zao kwa kuzungumza, wakiamini kwamba, kuzungumza tu, hakuwezi kuwa na madhara. Huku ni kujidanganya kwa kiasi kikubwa. Kwa kadiri watu wa jinsia mbili wanavyozoeana katika kuzungumza na hasa wanapoanza kuzungumzia mambo yao ya ndani, ndivyo ambavyo mipaka huvukwa na kujikuta wakihusiana kimwili. Pale mpenzi kuwa karibu mara nyingi na mtu mwingine wa jinsia tofauti kwa maelezo kwamba, ‘ni rafiki tu,’ ujue tatizo liko karibu kuanza kama halijaanza. Kuwa kari...

UTAJIRI WA MBUNGE NA MUSICIAN VICKY KAMATA NI HATARI TUPU...AMFUNIKA SPIKA ANNE MAKINDA...SOMA ZAIDI HAPA....

Image
Mh. Vicky Kamata (MB) WANAWAKE na maendeleo, tufanye kazi, tusonge mbele, yelele…yelele… Hii sehemu ya mashairi ya wimbo wa staa wa muziki wa kizazi kipya na Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM), Geita, Vicky Kamata anayetajwa kuwa na utajiri balaa. UWAZI LINA KILA KITU Vicky amepata mafanikio makubwa ambayo kila mwanamke Tanzania angependa kuyapata. Gazeti hili lilimchimba kwa kina na kupata utajiri wote alionao kwa sasa.  KABLA YA SIASA, KABLA YA BONGO FLEVA Kabla ya siasa aliishi maisha ya dhiki ambayo hakutegemea kama angekuja kupata mafanikio makubwa. Ni miongoni mwa Watanzania waliozaliwa katika familia duni.  Katika kutafuta ‘kutoka’ kimaisha, Vicky amewahi kuwa mwanamuziki wa Bongo Fleva na kutunga nyimbo mbalimbali, wimbo wa Wanawake na Maendeleo ndiyo uliomtambulisha zaidi katika jamii.  “Nimezaliwa kwenye familia duni, nimeishi maisha ya dhiki sana, mbali na muziki, nimewahi kuwa mwalimu wa shule ya msingi kule Moshi (Kilimanjaro) k...

ANGALIA NAFASI ZA KAZI TANESCO

Image
The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanians. Next to its current passion as a leading provider of electricity is to be more efficient customer focused utility for Tanzania and beyond. The Company has the largest electricity generation, transmission and distribution network in Tanzania. In order to reach its goals, the Company will, in the coming years invest heavily in its generation, transmission and distribution network, its business systems and human capital. TANESCO now invites applicants who are self-motivated, honest, hardworking and committed individuals to fill the under-mentioned posts. Specific attributes for the Positions to be filled: All Candidates must:-  Demonstrate impeccable performance track record;  Demonstrate highest degree of integrity;  Possess good communication and interpersonal skills;  Be self-driven and capable of wo...