Posts

Showing posts from June 3, 2014

TANZANIA YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI KATIKA USAFIRI WA MABASI YAENDAYO KASI – PINDA

Image
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Majadiliano wa Kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo haraka kwenye ukumbi wa Mlimani City jijiniDar es salaam Juni 3, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu,, Mizengo Pinda akizungumza na   Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini, Bw. Philippe Dongier baada ya kufungua Mkutano waMajadiliano wa kutangaza Mradi wa Mabasi yaendayo  haraka kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam  Juni 3, 3014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  WAZIRI MKUU Mizengo Pinda  amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi za kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuingia kwenye ubia nasekta binafsi katika mradi mkubwa wa usafirishaji abiria.  Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumanne, Juni 3, 2014) wakati akifungua Mkutano wa Majadiliano yenye lengo la kuutangaza mradi wa mabas

ANGALIA PICHA UKATILI DHIDI YA MTOTO AUAWA KWA KUFUNGWA PLASTA MDOMONI

Image
Mtoto aliyekutwa amefariki baada ya kutupwa eneo la Kawe-Beach na kufungwa plasta mdomoni na puani. KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi, anasadikika kutenda ukatili na unyama wa hali juu kwa kumuua mwanaye na kisha kumtupa pembezoni mwa barabara ya kwenda Kawe-Beach. Wavuvi wa eneo hilo waliona mfuko pembezoni ukiwa na damu hali ambayo iliwashtua na kuamua kusogea karibu ndipo walipomkuta mtoto huyo mwenye jinsi ya kike akiwa amefariki huku akiwa amefungwa plasta mdomoni na puani.   Wakazi wa eneo la Kawe na wapita njia wakiangalia kichanga hicho baada ya kuokotwa na wavuvi.

ANGALIA PICHA ZA ASKARI FEKI WALIOKAMATWA MKOANI IRINGA

Image
Kamanda wa  polisi mkoa wa Iringa,Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari  feki ambao  walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro ,kulia ni Bazil Nyakunga ambae ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bossi wake Godlack Mbehale. Askari polisi Mkoani Iringa (kushoto) akiwa na maaskari  feki katika ofisi ya kamanda wa polisi  leo  Na Francis Godwin,Iringa MATAPELI washindwa  kubaki njia  kuu sasa waanza  michepuko  mipya ni baada ya jeshi la  polisi mkoa  wa Iringa kumkamata  mwalimu aliyejifanya askari akiwa na fullu kombati za jeshi la polisi na  bossi wake aliyevalia kiraia ambae pia ni  feki  na ni  mmiliki wa studio eneo la Kihesa mjini hapa Upo usemi  usemao  kuwa usiombe  likukute usilo litegemea kukukuta katika maisha yako na ukipenda kudanganya uwe tayari kudanganywa  ,hakuna asiyepata  kusikia ama kusoma habari kuhusu utapeli  unaoendelea hapa nchini kwa  watu wa kada mbali mbali na mazingira  yanaonyesha matape

ANGALIA PICHA MAMIA YA WAKAZI WA MOROGORO WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA MTOTO NASRA(MTOTO WA BOKSI),NA AMEZIKWA LEO

Image
 Mbunge Abdulaziz Abood akiweka udongo katika kaburi la marehemu Nasra na kuahidi kumfanyia hitma baada ya siku 40 tangu kuzikwa kwake. Mfanyabiashara Al Saed Omar nae akiweka udongo katika kaburi la marehemu. Mamia ya wakazi wa Mkoa wa Morogoro waliojitokeza Kuuga Mwili wa mtot Nasra  Mwili wa mtot Nasra ukipelekwa makaburini Kuzikwa  Waombolezaji wakiwa Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, kuaga mwili wa mtoto Nasra Mvungi.  Mfanyabiashara, Al Saed Omary aliyefanikisha kuleta mwili wa marehemu Nasra kutoka Dar es Salaam.  Waombolezaji wakiingia katika mabasi ya Abood, kwenda katika maziko.  Mazishi ya mtoto Nasra yaliendelea makaburi ya Kola mkoani Morogoro. Picha kwa Hisani ya Father Kidevu Blog

MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KUAAGA MTOTO NASRA UWANJA WA JAMHURI MORO

Image
Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra. Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.

MANISPAA YA KINONDONI YAVUNJA VIBANDA-MWENGE

Image
Askari wakiwa makini kuhakikisha amani inakuwepo. Baadhi ya maaskari wakisimamia usafishwaji wa barabara za mwenge. Huu ni muonekano wa sasa wa… Askari wakiwa makini kuhakikisha amani inakuwepo. Baadhi ya maaskari wakisimamia usafishwaji wa barabara za mwenge. Huu ni muonekano wa sasa wa mwenge. Meza zote zinakusanywa hapa. Kazi nyingine itakuwa ni kuzibua hii mitaro. Afisa mahusiano wa manispaa ya kinondoni, Sebastin Muoera kifatilia shughuli hiyo. Tingatinga likivunja. Mgambo wa jiji wakibeba meza zilizopo kando ya maduka ili kuzikunsanya. Wananchi wakitazama kwa makini. Huu ndiyo muonekanao wa sasa katika standi ya mwenge. Kamera yetu imefanikiwa kuona zoezi zima la uvunjwaji na uondolewaji wa vibanda vilivyokuwa kando ya soko la mwenge ili kupisha ujenzi wa two ways,kuzibua mitaro iliyoziba na pia kuacha wazi barabara zinazozunguka eneo hilo. (Picha zote na Gabriel Ng’osha/GPL)

ADIDAS YATOA MPIRA WENYE SENSA

Image
Kampuni ya adidas wametoa mpra wa miguu ambao una uwezo wa kutoa takwimu za mchezaji na kupeleka kwenye gajaeti za iOS, yaani iPhone, iPad na iPod Touch kwa kutumia app ya Micoach. Mpira huo unajulikana kama Micoach Smart Ball una sensa mbali mbali ikiwemo bluetooth. Mbali na mpira huo kuchukua takwimu kwa ajili ya kuchambua uchezaji wako, kasi ya mashuti, jinsi unavyopindisha free kick na kadhalika app ya mpira huo pia hutoa maelekezo mbali mbali ambayo yatasaidia jinsi unavyocheza mpira, hasa katika mambo kama vile freekick kona na kupiga mashuti. Miongoni mwa mambo maalum yanayofundishwa na app ya Micoach ni jinsi ya kuumudu mprira (ball mastery), kupiga mpira (ball striking), kupiga mashuti (striking with power) na jinsi ya kupindisha au kuvusha mpira kwenye ukuta wa freekick (around the wall na over the wall). Hivyo takwimu ambazo utazipata zinakuwa kama vile kasi ya shuti lako ni 70 mph ma spin ni 48 rpm. Hivyo hii Micoach smart ball pia itakuwezesha

MTAZAME MPENZI WA MSANII YOUNG KILLER AKIWA AMEJIFUNIKA KWA PESA HUKU KIFUA CHAKE KIKIONEKANA

Image
 Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku  sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.   Pengine ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji kutokuona hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapper huyo ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa kufanya haya.CHANZO HASSBABYTZ J E,HUU NI ULIMBUKENI AU NDIO USUPER STAA, TUPE MAONI YAKO? USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOO KWA HABARI NA MATUKIO ZAIDI

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 03.06.2014

Image
  MAGAZETI YA UDAKU                             MAGAZETI YA MICHEZO