Posts
Showing posts from March 11, 2014
Utafiti: Busu latajwa kama siri kuu ya uhusiano wenye furaha
- Get link
- X
- Other Apps
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa Marekani, siri ya ndoa/uhusiano wenye furaha ni busu na kusema āNakupendaā mara 10 kwa wiki pamoja na kwenda āoutā au date mara tatu kwa mwezi Utafiti huo uliofanywa kwa wanandoa 1000, uligundua pia kuwa surprise 10 za kimapenzi na mazungumzo ya kina na ya kueleweka 10 kila mwezi ni chanzo cha uhusiano thabiti. Kuwa na hobby tatu au interest zinazofanana na kwenda likizo mara mbili kwa mwaka ni miongoni mwa mambo yanayotakiwa kwenye uhusiano. Kwenye utafiti huo pia imebainika kuwa siri ya ndoa kamilifu ni kukubaliana udhaifu wa kila mmoja, kuaminiana na muhimu zaidi kuwa tayari kusema samahani. Kuwa na muda mwingi wa pamoja, kuwa marafiki wa dhati na kuweza kufurahia pamoja ni miongoni mwa mambo yaliyotajwa pia kwenye orodha hiyo. Msemaji wa mtandao wa OnePoll.com, uliofanya utafiti huo alisema: Kila mtu anaweza kuoa/kuolewa lakini inahitaji kujitoa sana ili kufanya ndoa iwe kamilifu.ā Utafiti huo pia ulibaini kuwa ndoa kamilifu hu...
PICHA ZA AIBU:NGUVU YA POMBE YAMUADHILISHA MISS HUYU "REHEMA FABIAN"
- Get link
- X
- Other Apps
DENT AUAWA KWA RISASI, ALIKUWA AKITOKA KUNUNUA VIFAA VYA SHULE,MAPENZI YAHUSIKA, NI VILIOO TU
- Get link
- X
- Other Apps
MAJONZI, huzuni na masikitiko vimeikumba familia ya Lwena kufuatia mtoto wao mpendwa Dorryce Lwena (27) kufariki dunia kwa kupigwa risasi mkono wa kushoto na ubavu wa kushoto na watu wasiojulikana, Uwazi lilifuatilia. Jeneza lenye mwili wa Dorryce Lwena. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea mwanzoni mwa mwezi huu, saa tatu usiku, Uwanja wa Edosi, Kitunda, Ilala hatua chache kutoka nyumbani kwa marehemu huyo. Siku ya tukio, Dorryce ambaye ni mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Singida (DSA), alikuwa akitoka Kariakoo kununua vifaa vya kwenda navyo chuo siku mbili mbele lakini kifo kilimkuta akiwa anakaribia kufika nyumbani. Mama mzazi wa Dorryce akiwa na simanzi wakati wa mazishi ya mwanaye. Kama ilivyo ada, baada ya kujulishwa tukio hilo la kikatili, waandishi wa Uwazi walifika eneo la tukio na kufanya mahojiano na baba wa kufikia wa marehemu ambaye alikuwa akiishi naye baada ya baba mzazi kutengana na mama yake. Baba huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la...
BREAKING NEWSS: BASI LA HOOD KUTOKA ARUSHA-MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA SAME LEO ASUBUHI HII
- Get link
- X
- Other Apps
MSAADA UNAHITAJIKA :JAMANI NAKUFA, NIOKOENI
- Get link
- X
- Other Apps
Ngaweje Said anayeteseka na gonjwa asilolijua. WANASEMA ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, ni kweli! Ngaweje Said (39), mkazi wa Kijiji cha Zinga, Bagamoyo, Pwani anateseka na gonjwa asilolijua ambapo nyama kubwa imeota toka juu ya uso upande wa kushoto na kumwagikia kifuani, Uwazi lilikutana naye uso kwa uso. Akizungumza na mwandishi wetu akiwa nyumbani kwake kijijini hapo juzi, Ngaweje alisema: āUgonjwa huu ulinianza nilipozaliwa tu mwaka 1975 pale Hospitali ya Bagamoyo. Kilianza kipele, lakini kadiri nilivyokuwa nikikua, kipele nacho kilikua. āSikujua kama itafikia hali hii. Hata wazazi wangu nao hawakujua, waliamini baada ya tiba kipele kitanywea, lakini wapi! āBaadhi ya watu walishauri nipelekwe Hospitali ya Muhimbili ambako kuna madaktari bingwa. Kweli, mwaka 1979, baba alinipeleka Muhimbili ambako nilipata tiba na kurudi nyumbani lakini kipele kilizidi kukua. āMwaka 1995, mimi mwenyewe nilirudi tena Muhimbili. Safari hii madaktari waliniam...
Mshikaji atembezwa uchi mitaani baada ya kufumwa na mke wa mtu.
- Get link
- X
- Other Apps
SHAKIRA ASEMA BOYFRIEND WAKE HATAKI ASHIKWE NA MWANAUME KWENYE VIDEO, NDIO CHANZO CHA KUFANYA NA RIHANNA
- Get link
- X
- Other Apps
Mwanamuziki wa kike ambaye āhipsā zake hazidanganyi anapocheza, Shakira ameeleza kuwa chanzo cha kufanya video na Rihanna aliyemshika kama mwanaume āCanāt Remember to Forget Youā, ni wivu alionao boyfriend wake Gerard Pique. Katika mahojiano aliyofanya na jarida la Billboard, Shakira ameeleza kuwa mchezaji huyo wa Barcelona hataki kabisa ashikwe na mwanaume kwenye video na kwamba ni bora ashikwe na mwanamke mwenzake. Amesema kutokana na kukataliwa na Gerard, hawezi kufanya video kama alivyozoea kufanya awali na kwamba sasa inambidi afanye na wanawake. āHeās very territorial, and since he no longer lets me do videos with men, well, I have to do them with women. Itās more than implied in our relationship that I canāt do videos like I used to.ā Video ya wimbo wa Shakira aliomshirikisha Rihanna āCanāt Remember to Forget Youā ilikosolewa vikali katika nchi mbalimbali kwa madai kuwa inahamasisha mapenzi ya jinsi moja. Shakira na mcheza mpira huyo wamekuwa katika uhusi...
"ONLY SHIP IN THE WORLD THAT HAS BEEN OPERATING FOR HUNDRED YEARS AS NOW FOUND IN TANZANIA GOVERNMENT" SEE IT......
- Get link
- X
- Other Apps
Every week its beautiful horn wakes me up,at least not every time i have to pass out my waking time.It might be a pollution to others but to me its that beautiful music produced by an old lady that has managed to leave over hundred years. This lady gets more strong despite the aging,at least many Germans have handled this lady and few Tanzanians have tried to caress her.. This exquisite baroness has many names ,she was titled Graf Goetzen or Graf von Goetzen but my brothers named her Liemba ..yes! MV Liemba.. such an adorable African name. The petticoat was first laid down in 1913 and was officially launched in 1914,The MV Liemba , formerly the Graf Goetzen or Graf von Goetzen , is a passenger and cargo ferry that runs along the eastern shore of Lake Tanganyika, She is operated by the Marine Services Company Limited of Tanzania and operates between the ports of Kigoma , Tanzania...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14
- Get link
- X
- Other Apps
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14 Jumla ya Walimu wapya 36,021 ambao wamehitimu mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ifikapo tarehe 01 Aprili 2014. Kati ya idadi hiyo walimu wa ngazi ya Cheti (Daraja III A) ambao hufundisha katika shule za Msingi ni 17,928 na walimu wa shule za sekondari ni 18,093 (wakiwemo 5,416 wa Stashahada na 12,677 wenye shahada). Orodha rasmi ya walimu wapya ikionesha Halmashauri mbalimbali walikopangwa itatangazwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI ( www.pmoralg.go.tz ) na ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ( www.moe.go.tz ) ifikapo tarehe 15 Machi, 2014. Walimu wote wapya wanatakiwa kuripoti bila kukosa kwenye Halmashauri walikopangiwa ifikapo tarehe 01 Aprili, 2014 ili waanze kazi mara moja. Inasisitizwa kwamba walimu waripoti tarehe hiyo ili taarifa zao za kiutumishi zifanyiwe kazi na Waajiri wao yaani ...