Posts

Showing posts from July 25, 2015

RAIS GLOBAL PEACE FOUNDATION TANZANIA DR. SALEM ABDULLA ALIPOAGANA NA MARAIS NA MAWAZIRI WA NCHI 20 ZA DUNIA LEO ASUBUHI ZANZIBAR LIVE!

Image
 Mkutano huu ulihudhuriwa  na nchi 20.na mabalozi.marais.wabunge. viongozi wa dini mbali mbali.  Dr. Salem Abdulla rais wa Global Peace Foundation Tanzania leo asubuhi baada ya kukifunga rasmi kikao cha semina kilichofanyika Zanzibar kilichowakutanisha Marais wa sasa na wa zamani wa Nchi kadhaa za KiAfrika na pia Viongozi wa Dini.              semina ilihudhuriwa kwa muda mchache na mgombea Urais mteule wa CCM Dr. Magufuli ambaye alipitia hapo kumuona rafiki yake wa karibu sana Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Bw. Raila Odinga

BREAKING NEWS : LOWASSA ATAJA SIKU RASMI YA KUAMIA CHADEMA

Image
Zipo tetesi kwamba Edward Lowasa, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari Jumapili tarehe 26 Julai 2015 Jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, Lowasa anatarajiwa kueleza mambo mengi juu ya mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM uliopelekea jina lake kukatwa. Pia katika mkutano huo, Lowasa anatarajiwa kutangaza rasmi kujivua uanachama wake ndani ya CCM na kujiunga na CHADEMA ambapo baadaye jioni ataelekea viwanja vya Mwembeyanga ambako ataungana na viongozi wengine wa CHADEMA kwenye mkutano wa hadharaza. Mtakumbuka kuwa uwanja huo wa Mwembeyanga uliopo Temeke Dar es Salaam ulitumika kutaja orodha ya mafisadi 11 na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa mwaka 2007 ambapo jina la Lowasa lilikuwa miongoni mwa majina yaliyopo kwenye orodha hiyo. Uamuzi wa Lowasa kwenda CHADEMA umetokana na kutimiza makubaliano ya kupeleka shilingi bilioni 10 ambapo fedha hizo zimekabidhiwa Jana Alhamis Tarehe 23 Ju

ANGALIA MAPOKEZI YA OBAMA ALIVYOTUA KENYA

Image
On July 24 2015 The President of United States of America Barack Obama touched down in Kenya at Jomo Kenyatta International Airport, each and every moment was aired live in K24 Tv. Below are some of the pictures of what happened at the airport.

VERA SADIKA ATIKISA MITANDAO YA KIJAMII NI BALAAA

Image
  VERA SIDIKA is still a hot goddess….. The guy behind the camera must be the luckiest man alive        BONYEZA HAPA KUONA VIDEO YAKE AKIWA MTUPU

BONGO MOVIE HAKUKALIKI SASA BAADA YA WEMA KUBWAGWA UNAJUA KILICHOMKUTA UWOYA?

Image

ZITTO KABWE ATOBOA SIRI NZITO KUHUSU UKAWA NA EDWARD LOWASA.

Image
Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Liongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo ameandika ujumbe Mzito Kupitia Ukarasa leo Kuhusu Siasa za Tanzania Hasa Kipindi Hiki Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge Na Madiwani Zitto Kabwe 2 hrs · Wiki ya kuanzia Jumatatu tarehe 27 Julai 2015 itashuhudia mabadiliko makubwa sana kwenye siasa za Tanzania. Kuimarika kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa ni jambo jema kwa Nchi yetu.