Posts

Showing posts from November 5, 2013

Diamond anaswa akichezea Matiti ya wanafunzi wa sekondari

Image
Msanii  wa  bongo  fleva, Nasib  Abdul  'Diamond'  amenaswa  live  akichezea  matiti  ya  wanafunzi  wa  shule  mbalimbali  za  jijini  Dar... Kwa  mujibu  wa  mpekuzi wetu, tukio  hilo  lilijiri  wiki  iliyopita  kwenye  maduka  ya  Mlimani  City  jijini  Dar  wakati  msanii  huyo  alipokwenda  kufanya  manunuzi  ya  vitu  binafsi.... Ilielezwa  kuwa,Diamond  akiwa  Mlimani   City,wanafunzi  walimvaa  na  kuanza  kuzunguka  naye kila  sehemu  aliyoingia... Taarifa  zinaarifu  kuwa, wakati  wapambe  wake  walipojaribu  kuwazuia  wanafunzi  hao, Diamond   aliwaambia  wawaache  maana  ni  mashabiki  wake... Baadae  wanafun...

Mwanamke amwagiwa maji ya moto mwili mzima....Kosa lake ni kumlilia mama yake ambaye ni mgonjwa

Image
Msichana mmoja, Mariam Chacha, mkazi wa Mtaa wa Nyasho A, mjini Musoma  amemwagiwa maji ya moto na kuunguzwa mwili, hali iliyofanywa alazwe katika hospitali ya mkoa.    Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Oktoba 22 mwaka huu saa mbili usiku ambapo inadaiwa aliyefanya kitendo hicho ni Pendo Wambura ambaye amekamatwa na polisi.   Habari kutoka ndani ya kituo cha polisi mjini hapa zinadai kuwa mara baada ya Mariam kumwagiwa maji ya moto na mwenzake na kuungua sehemu za kitovu mpaka usoni, matiti na mikono na akiwa hajitambui mpaka sasa,wasamaria wema walimpeleka polisi ili kupata hati ya matibabu (PF 3) na akaenda kutibiwa katika Hospitali ya Serikali ya Musoma alikolazwa wodi namba nne.   “Polisi tulikwenda kumkamata mtuhumiwa na tunamshikilia kwa kuwa majeruhi hali yake ni mbaya, kalazwa, na tayari amefunguliwa jalada namba MUS/IR/5009/013,” alisema afisa mmoja wa polisi kwa sharti la kutoandikwa jina lake  kwa kuwa siyo msemaji...

Mahakama yatoa hati ya kukamatwa kwa Wema Sepetu haraka

Image
Mahakama ya mwanzo Kawe jijini dar es salaam imetoa hati ya kumkamata miss tanzania 2006 Wema Sepetu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni dharau ya wito wa mahakama hiyo.    Chanzo cha ndani kilichoomba kuhifadhiwa ya jina kimempasha mwandishi wetu kuwa hati hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya wema kushindwa kuhudhuria kesi yake iliyopo mahakamani hapo na bila kutolewa udhuru wowote.  Aidha imeelezwa kwamba mahakama hiyo pia imetilia mashaka udhuru uliotolewa septemba 30 kwamba wema ni mgonjwa baada ya kuvuja kwa picha katika mitandao zikimuonyesha Wema akila bata  Hong Kong China na mpenzi wake wa zamani mwanamuziki Diamond.  Wema alitolewa udhuru huo na kijana aliefahamika kwa jina la Martini .  Kesi inayomkabili wema katika mahakama hiyo ni ya kumtukana matusi ya nguoni pamoja na kumpiga meneja wa hoteli ya Mediteranian iliyopo Kawe beach jijini Dar es salaam bwana Godluck kayumbu.  Baada ya k...

Rais Kikwete na Kenyatta wa Kenya wakutana na kuteta jambo muhimu leo huko Afrika Kusini 11/05/2013 habari za kitaifa 6 comments Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013 (picha: Ikulu ya Tanzania) Picture Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013 Picture

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013 (picha: Ikulu ya Tanzania) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013