Posts

Showing posts from February 11, 2016

WATUHUMIWA WALIOKUTUNGUA HELKOPTA SERENGETI WATIWA MBARONI.

Image
Njile Gonga (28) Huyu ndiye Jangili anadaiwa kutungua helkopta katika pori la Akiba la Maswa lililopo katika Wilaya ya Meatu Mkoani, ambapo katika tukio hilo rubani wa helkopta hiyo Rodgers Gower (37) raia wa uingereza huku Mwenzake Nicholas Beste (43) raia wa Afrika Kusini akinususrika kifo.   Iddy Mashaka (49) ambaye ndiye alikuwa Mkuu wa kitengo cha Interejensia katika hifadhi ya taifa Ngorongoro, ambaye anadaiwa kuwa kiunganishi Mkuu wa kutekeleza tukio la kutunguliwa kwa helkpta hiyo.  Hali ya ulinzi na usalama ilivyokuwa imehimarsihwa mahakamani pamoja na kituo cha polisi Bariadi leo hii.  Watuhumiwa wakiwa ndani ya gari la polisi, baada ya kufikishwa kituo cha polisi Bariadi wakitokea wilayani Meatu kwa ajili ya kufikishwa mahakamani.

IMPORTANT OF HAVING SEX

1 . Having sex relieves headaches. Every time you make love , it releases the tension in the veins of the brain. 2 . A lot of sex can clear the stuffy nose. Sex is a natural antihistamine . It helps to fight against asthma and spring allergies . 3 . Making love is a spectacular beauty treatment. Scientists have discovered that when a woman has sex , it produces a large amount of estrogen that gives shine and softness to hair. 4 . Sex is one of the safest sports. Make love often strengthens the muscles of male and female body. It's more enjoyable than swimming 20 laps in the pool and there is not need special shoes! 5 . Make love slowly , smoothly and in a relaxed way reduces the chances of suffering dermatitis, skin rashes and acne . The sweat produced cleanses the pores and makes your skin glow . 6 . Lovemaking can burn all the calories you have accumulated during the romantic dinner before bedtime. 7 . Sex is a divine remedy for depression. It releases endorphins in...

Bifu Za Mastaa Bongo… Zilizoacha Historia

Image
Makala: Chande Abdallah Ukiacha bifu nzito zilizotikisa dunia mpaka kusababisha vifo vya mastaa wakubwa kama Notorious BIG na Tupac, zifuatazo ni orodha ya bifu zilizotikisa kwenye tasnia ya muziki Kibongobongo na kuacha historia kubwa kiasi kwamba hata mastaa hao walivyopatana mashabiki wao walibaki vinywa wazi kwa kutoamini kilichotokea. Ali ChockVs Asha Baraka Ali Chock Asha Baraka Bifu lao lilianza baada ya kuhitilafiana kwenye uhamisho wa mpiga gitaa wa Twanga Pepeta, Shakashia ambapo Asha Baraka akaanza kudai gari alilomnunulia Chocky na kufikishana mahakamani ambapo bifu lao likazidi kushika kasi kiasi cha kuapiana kutozikana. Hata hivyo, wawili hawa walimaliza bifu lao na kukumbatiana ndani ya Studio za Global TV Online zilizopo Bamaga-Mwenge. Dudu Baya Vs Mr Nice Dudu Baya Mr Nice Wawili hawa walionesha kuwa na bifu zito baada ya Dudu Baya kumtwanga makonde Mr Nice mbele ya mashabiki wake na kufikishana mahakamani ambapo Dudu baya aliswekwa rumande. H...

BREAKING NEWZ:HIVI NDIVYO WATU WALIVYO NUSURIKA NA KIVUKO CHA MV MAGOGONI

Image
Kigambon majanga  abiria imebidi wajitose baharini kuokoa maisha yao baada ya kivuko kupoteza muelekeo asubuhi hii baada ya kuzidiwa na idadi kubwa ya mizigo na abiria

BREAKING NEWZ:Ajali ya basi la Simba na lori yaua Tanga

Image
WATU kadhaa wanahofiwa kufariki dunia wakiwemo madereva wawili baada ya basi la abiria la Simba Mtoto lililokuwa linakuja jijini Dar es Salaam kupata ajali kwa kugongana na lori uso kwa uso katika kijiji cha Pangamlima mkanyageni, Barabara ya Tanga-Segera mkoani Tanga leo asubuhi na inasaidikiwa watu kadhaa wamefariki. Tovuti hii imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga ambaye amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa zoezi la uokoaji bado linaendelea hivyo likimamilika atatoa taarifa rasmi kuhusu ajali hiyo. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA TANZANIA PAMOJA NA KUFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA WODI YA WAZAZI YA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir ambaye amelazwa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir akimuombea Dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya Rais Dkt. Magufuli kumjulia hali Hospitalini hapo.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa Dua na ndugu na jamaa mbalimbali ambao walifika Muhimbili kuwaona wagonjwa wao. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea katika Wodi ya Wazazi kufanya ukaguzi wa ghafla mara baada ya kuwasili akitokea Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wazazi na amewahidi kutatua kero zao ndani ya muda mfupi ujao.PICHA NA IKULU ...

BREAKING NEWZZ.....Mkuu wa majeshi wa Korea ya Kaskazini amenyongwa kwa tuhuma za ufisadi

Image
​ Mkuu wa majeshi ya Korea Kaskazini kanyongwa kwa tuhuma uhujumu/ufisadi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Korea ya kusini. Mkuu huyo wa jeshi la Korea Kaskazini hajatajwa kwenye vyombo vya habari vya Korea tangu katikati mwa Januari. Generali Ri Yong-gil inaripotiwa alinyongwa wiki iliyopita na tukio hilo linatokea wakati dunia ikiinyooshea kidole Korea ya Kaskazini juu ya urushwaji roketi ya masafa marefu Jumapili iliyopita.  North Korea has executed its army chief of staff, Ri Yong Gil, South Korea's Yonhap news agency reported on Wednesday, which, if true, would be the latest in a series of executions, purges and disappearances under its young leader. The news comes amid heightened tension surrounding isolated North Korea after its Sunday launch of a long-range rocket, which came about a month after it drew international condemnation for conducting its fourth nuclear test. A source familiar with North Korean affairs also told Reuters that Ri had...

Mrembo Adaiwa Kutelekeza Mwanaye Kisa Mlemavu

Image
  Mtoto Ilham Mohamed A RUSHA: Hujafa  hujaumbika! Mtoto Ilham Mohamed  19, (pichani) mkazi wa Ngarenaro jijini hapa amezaliwa akiwa na ulemavu wa viungo kiasi cha kumfanya aonekane mtoto mdogo, lakini bibi wa mtoto huyo, Zuleha Ismail anacholalamikia ni kitendo cha mama Ilham, Sapna Parakash kumtelekeza mwanaye. Mtoto huyo akiwa na bibi yake, Zuleha Ismail BIBI WA MTOTO NDIYE MWENYE KISA Akizungumza kwa masikitiko na gazeti hili mwanzoni mwa wiki hii nyumbani kwake, Ngarenaro, bibi Ilham alisema alitelekezewa mtoto huyo mwaka 1997 na mama yake kwenda kuishi na mwanaume mwingine baada ya kuachana na mtoto wake aliyemtaja kwa jina la Mohammed Ismail. Mama Ilham, Sapna Parakash MSIKIE MWENYEWE “Mama wa mtoto huyu amenitelekezea hapa. Aliwahi kuja mara moja lakini hakutaka kumshika wala kumbeba. Alimwambia ambariki ili apate mdogo wake kwani licha ya kutafuta tiba na mwanaume aliyenaye lakini ameshindwa kupata ujauzito.”  AELEZEA ND...