Posts

Showing posts from June 9, 2015

TANZIA: MSANII MKONGWE WA FILAMU, MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO JIONI

Image
Marehemu Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ enzi za uhai wake. MSANII mkongwe wa filamu nchini, Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake Tandale jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa muda mrefu. Mwili wa Mzee Kankaa unatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni katika makaburi ya Ali Maua jijini Dar es Salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa zaidi ya miaka mitatu. Msiba upo nyumbani kwa marehemu eneo la Tandale-Chama jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!

Ziara Ya JK Uholanzi katika picha

Image
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015. (P.T) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo na muhtasari wa ziara yake toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe Wilson Masilingi baada ya kuwasili The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van Beurden jijini the Hague, Uholanzi leo Jumatatu Juni 8, 2015 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van B...

SHUHUDIA JINSI MWANAMKE HUYU ALIVYOMFANYA MTOTO WAKE BAADA YA KUMZAA!!

Image
Wakazi wa Mkuyuni jijini Mwanza wakiwa katika eneo alilotupwa mtoto wakisubiri polisi. Polisi akishirikiana na wananchi kuuchukua mwili wa mtoto huyo katika jalala alipotupwa na mama yake mzazi. ...wakisaidiana kuubeba mwili wa mtoto. ...wakielekea kwenye gari la jeshi la polisi. ...wakiupakiza mwili kwenye gari la jeshi la polisi. ...wananchi wakitaharuki kutokana na kitendo hicho cha mama kumtupa mwanaye dampo.   Mwili wa mtoto huyo ukiwa kwenye gari la polisi.   ...gari la polisi likiondoka katika eneo la tukio.   ...wananchi wakisambaa kutoka kwenye eneo la tukio. Wananchi wakijadiliana baada ya tukio hilo. Na Johnson James, GPL / Mwanza MAMA mmoja mkazi wa kata ya Mkuyuni-Sokoni wilayani Nyamagana jijini Mwanza (jina lake halikufahamika mara moja) amejifungua mtoto wa kiume na kisha kumtupa kwenye shimo la kutupa taka (jalala) eneo a Mkuyuni jijini hapa. Akizungumza na waandishi wa habari, m...

AMBER ROSE: SHE DECLARES "I'M DEFINITELY HALF LESBIAN" AFTER HER HOT MAKE OUT ON TV

Image
On Sunday, April 12, were held the 2015 MTV Movie Awards, a ceremony that celebrates the movie industry and an evening that is a star-studded event. This year attendees were   Jennifer Lopez ,   Zac Efron ,   Scarlett Johansson ,   Robert Downey Jr.   among others. As expected, the ceremony provided plenty of awesome moments that entertain us but one of the most amazing one was the "kiss cam" segment. Just like during sporting events, a camera made its way around the audience and would stop on two people who are then obliged for an unexpected kiss. During a commercial break, the camera stopped on   Amber Rose   and the host of the evening, the 33-year-old comedienne   Amy Schumer . What was supposed to be an innocent kiss quickly turned into a steamy make-out session much to the delight of the audience and viewers. Watch it below: Amber Rose took it to her Instagram to share a picture of the kiss with the caption  'I'm d...

NAMNA GANI HAPA MTOTO WAKAJALA KUNYOA MTINDO HUU WA NYWELE NDIO TUSEMA AMEENZAAA

Image

LOWASA AZOA WADHAMINI 3,000 GEITA, CHATO NAKO APATA WA KUTOSHA

Image
Lowassa akiteremka kutoka ndani ya ndege, kwenye uwan ja mdogo wa mdege a mgodi wa Geita (GGM) Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015; (Picha zote na K-VIS MEDIA) Wakazi wa wilaya ya Geita, wakiwa juu ya nyumba na juu ya mti (picha ya chini), ili kumuona Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa, alipowasili kwenye ofisi za CCM wilayani Geita, Juni 8, 2015 kuomba wana CCM wamdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015 Umati wa wana CCM waliofika kumdhamini Lowassa, na ananchi wengine waliofika walau kumuona waki...