Posts

Showing posts from November 8, 2015

BREAKING NEWS : DR.HELLEN KIJO BISIMBA APATA AJALI MBAYA DAR.

Image
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC Dr. Hellen Kijo Bisimba amepata ajali ya gari katika barabara ya Ali Hassani Mwinyi jijini Dar es Salaam leo na kukimbizwa hospitali endelea kutufatilia kwa taarifa zaidi.

BREAKING NEWS: TB JOSHUA AVUNJA UKIMYA AANDIKA UJUMBE MZITO KUHUSU LOWASSA

Image
T.B. Joshua has broken his silence on the several meetings he has held with Tanzania’s Former Prime Minister Edward Lowassa since his arrival in the country this week. Using the social media platforms of Facebook, Twitter and Instagram, the respected Nigerian cleric said, “Many times, God speaks blessing and breakthrough through pain and disappointment. My dear Former Prime Minister, what happened is to prepare you for the future. We learn obedience by the things we face. I mean, by what we suffer.” This comes as another picture was shared on social media showing Lowassa and the Nigerian pastor eating together at a restaurant in Dar es Salaam. Joshua caused a surprise with his failure to show up at the presidential inauguration of his friend Dr John Magufuli, especially after his high-profile arrival in the country. Lowassa has announced he will address the nation of Tanzania on Sunday 8th November 2015 TOA MAONI YAKO HA...

BREAKING NEWS : LOWASSA ATOA UJUMBE KWA UKAWA WOTE

Image

MWANAMKE ASHAMBULIWA KWA KUZUNGUMZA KISWAHILI MAREKANI

Image
Mwanamke aitwaye, Asma Jama ameshambuliwa nchini Marekani kwa kuongea Kiswahili. Jama alikuwa amekaa na familia yake kwenye mgahawa wa Applebee huko Minnesota, akikata kiu na juice huku mazungumzo yakiendelea kabla ya kujeruhiwa vibaya mdomoni. Mwanamke aliyekuwa amekaa jirani yake alimponda na glasi nzito ya bia mdomoni. Sababu? Jama alikuwa akizungumza Kiswahili na familia yake. “Siamini baada ya miaka yote hii mtu ananipiga sababu niko tofauti,” alisema Jama. “Mtu ananipiga kwasababu nilikuwa nikizungumza lugha ya kigeni.” Shambulio lilimwacha Jama na majeraha usoni pamoja na mdomo kuchanika kiasi cha kushonwa nyuzi 17. Jodie Burchard-Risch, 43, na mume wake, walikuwa wamekaa kwenye mgahawa huo jirani na Jama, aliyekuwa ameketi na binamu na watoto wa nduguze. Wawili hao walichukizwa baada ya kumsikiliza Jama na familia yake wakizungumza lugha ngeni. Jodie Burchard-Risch Jama alisema wawili hao waliwaambia waende nyumbani. “Walisema ukiwa Mareka...