WATEJA WA VODACOM KUPERUZI INTANETI BURE
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akisisitiza jambo. Dar es Salaam, May 20, 2015: Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza kuperuzi internet inayofikia MB100 kwa masaa mawili bure kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 2 asubuhi kutokana na ofa inayojulikana kama " Good Morning Tanzania" inayotolewa na Vodacom Tanzania. Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata taarifa kupitia mtandao wa intaneti. Vodacom Tanzania siku zote imekuwa mstari wa mbele kubuni huduma zinazoendana na matakwa ya wateja wake na kuwarahisishia maisha katika nyanja ya elimu, afya,… Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akisisitiza jambo. Dar es Salaam, May 20, 2015: Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza...