Posts

Showing posts from April 19, 2017

MAAJABU YA DUNIA..:, ANGALIA WATOTO WALA MAYAI YA CHURA NA KUZUNGUMZA LUGHA YA AJABU

Image
Watoto wamekaa na mamayao wakila chakula.nchini Uganda watoto watatu waliofungiwa na baba yao kwa miaka saba wameanza kuzungumza lugha isiyofahamika. Watoto watatu kutoka kijiji cha Barca katika kaunti ndogo ya Aber Wilayani Oyam nchini Uganda wameanza kuzungumza lugha tofauti isiojulikana baada ya kufungiwa katika nyumba kwa miaka saba.Lugha hiyo mpya imetajwa kuwa Leb -adam ikimaanisha lugha ya ubongo na jamii ya eneo hilo.Inadaiwa kuwa baba ya watoto hao aliwafungia ili kuwalinda kutokana na hatari yoyote. Kulingana ma gazeti la the monitor nchini Uganda,watoto hao hawajaathirika kiakili lakini hawawezi kuzungumza na watu wengine.Wanaamini tu kile baba yao anachowaambia. Kulingana na mama yao watoto hao waliweza kuishi kwa kula mayai ya chura yaliochemshwa na majani,ambayo hula kila asubuhi na jioni na hutumia maji kutoka shimo lililochimbwa na baba yao. Mama yao anasema kuwa baba ya watoto hao alimzuia kutozungumza nao hatua iliowa...

INASIKITISHA LAKINI INAFUNDISHA PIA, KUTANA NA MTU HUYU ALIYEZALIWA KICHWA CHAKE KIKIWA MGONGONI

Image
A man born with physical disabilities so severe his head is Upside-down has defied the odds to become an inspirational public speaker. Claudio Vieira de Oliveira, 37, was born with his neck folded back on itself, as well as badly deformed legs and almost no use of his arms and hands. Doctors told his mother to stop feeding him as a newborn as they believed he had no chance of survival. But Claudio from Monte Santo, Brazil, has overcome his extreme disadvantages to graduate as an accountant and become a public speaker.

Korea Kaskazini inaaminika kumiliki silaha 1000 zenye uwezo tofauti

Image
Korea kaskazini inaaminika kumiliki zaidi ya silaha 1000 zenye uwezo tofauti ikiwemo kombora la maasafa marefu ambalo linaweza kuishambulia Marekani. Mpango wa Pyongyang umeendelea katika miongo kadhaa ya hivi karibuni kutoka mizinga mikubwa katika miaka ya tisini na sabini hadi makombora ya masafa mafupi mbali na yale ya masafa marefu katika miaka 80 na 90. Mifumo ilio na uwezo mkubwa inadaiwa kufanyiwa utafiti. Hivi karibuni, Korea Kaskazini ilitangaza kwamba inaunda makombora ya masafa marefu yanayoweza kurushwa kutoka bara moja hadi jingine ambayo yanaweza kushambulia mataifa ya magharibi. Taifa la Korea Kaskazini linaaminika kutengeza kombora la masafa marefu zaidi ambalo wachunguzi wamelitaja kuwa KN-08 ama Hwasong-13. Ishara za kwanza kuhusu utengenezaji huo ulifanyika Septemba 2016 ambapo taifa hilo lilifanyia majaribio mashine mpya ya roketi ambayo baadhi ya watu wanasema inaweza kurusha kombora kutoka bara moja hadi jingine. Idara ya ...

Kanuni kumi '10' za kuwa mke mwema

Image
UHALISI WA MAISHA: Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU: Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbali mbali yasiyotuvutia katika mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume kabisa na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe kama mwanamke shujaa inapotokea umekutana na mambo kama haya hupaswi kuonyesha hasira zako wazi wazi kama vile; chuki, kulaumu, ugomvi, vurugu, malalamiko, manung’uniko, machafuko, kulipa kisasi au aina yoyote ya uharibifu kutokea kwako au ndani mwako. Hivyo mwanamke shujaa huwa ni heri kila anapokuwa kwani hutunza amani ya eneo alipo. UPENDO WA DHATI: Maisha ya upendo wa halisi na sio wa kinafki...

Huyu ndie mwanasayansi alietengeneza virus hatari vya ukimwi

Image
Ameua maelfu na maelfu ya watu, alitengeneza ugonjwa huu mnamo miaka ya 1970, na sasa daktari huyu kwa jina Robert Gallo ametoka adharani na kusema amepata dawa ya kutibu ugonjwa huo. Robert Gallo anaelezwa kwamba alihusika na vita vya kibaiolojia kwa lengo la kuwaondosha watu weusi na mashoga duniani katika miaka ya 1970. Ameua maelfu na maelfu ya watu, alitengeneza ugonjwa huu mnamo miaka ya 1970, na sasa daktari huyu kwa jina Robert Gallo ametoka adharani na kusema amepata dawa ya kutibu ugonjwa huo. Robert Gallo anaelezwa kwamba alihusika na vita vya kibaiolojia kwa lengo la kuwaondosha watu weusi na mashoga duniani katika miaka ya 1970.