Wakurugenzi Manispaa, Miji Na Halmashuri Waapishwa Dodoma
Baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri za wilaya wakila kiapo wakati kukabidhiwa majukumu yao katika ofisi za Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) mjini Dodoma Septemba 13. Katibu Msaidizi wa Sekretarieti ya Maadili ya Umma Ofisi ya Kanda ya kati Dodoma, Cathlex Makwaia (kulia) akiwaapisha wakurugenzi 13 wa manispaa, miji na na halmasahuri mjini Dodoma. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Bernard Makali. Wakurugenzi wakiendelea kula kiapo. …Wakitia saini viapo vyao. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki, akiwapa mawaidha na ushauri wa kiutendaji wakurugenzi baada ya kuapa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene, akiwapa mawaidha wakurugenzi. Waziri Kairuki akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbulu, Hudson Kamoga. Waziri wa Nchi, ...