Mwandishi wetu Taarifa zilizotua kwenye dawati la gazeti hili zinadai kuwa, wale wamama wa mjini ambao walikuwa mashosti hadi kufikia hatua ya kusema ni kama ndugu, mama wa aliyekuwa staa wa Bongo Movies, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa na mama wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila, sasa kimenuka! Mama wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. DALILI KUWA PAKA NA CHUI Chanzo chetu cha kuaminika kilidai kuwa, dalili za wawili hao kuelekea kugeuka kuwa paka na chui zilianza muda mrefu lakini hali ikazidi kuwa mbaya… Mama wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. DALILI KUWA PAKA NA CHUI Chanzo chetu cha kuaminika kilidai kuwa, dalili za wawili hao kuelekea kugeuka kuwa paka na chui zilianza muda mrefu lakini hali ikazidi kuwa mbaya Siku ya Kumbukumbu ya Kifo cha Kanumba, Aprili 7, mwaka huu alipokuwa akitimiza miaka mitatu kaburini. CHANZO NI LULU Ubuyu ulidai kwamba, siku ya kumbukumbu ya kifo cha Kunumba...