Posts

Showing posts from May 7, 2014

TAZAMA PICHA ZA UKATILI ZA KUKATWA MAPANGA ALIOFANYIWA MZEE NYANDEGE WA MUSOMA MJINI

Image
Mzee Nyandege ambaye ni mkazi wa Musoma mjini ni maarufu kwa jina la Mzee wa Masufuria kutokana na shughuli zake za ujasiliamali anazofanya, usiku wa kuamkaia jumapili mnamo masaa ya saa saba usiku alivamiwa na majambazi na kumdai awape pesa na alipokaidi amri hiyo aliweza katwa mapanga matatu, katika mapanga hayo mawili yalikuwa mkono wa kulia na moja mkono wa kushoto kama jinis anavyoonekana kwenye picha hapo chini, kwa sasa mzee huyu  amelazwa katika hospitali ya Mkoa ya Musoma kwa matibabu zaidi kama anavyoonekana katika picha mikono yake ikiwa haina kazi mara baada ya kukatwa mapanga