Posts

Showing posts from January 15, 2014

ALI KIBA AMUANIKA DEMU WAKE MPYAAA LIVE

Image
    Ally Kiba anaweza kuwa hasikiki sana kwenye redio miaka ya hivi karibuni na humsikii akilalamika. Huenda mrembo huyu anaweza kuwa sehemu muhimu katika moyo wake na hivyo kumfanya azisahau stress za mainstream (kwa sauti ya Godzilla aka Zizi) Mkali huyo ambaye hivi karibuni alikuwa Nairobi kurekodi collabo yake na Redsan, amepost picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hakuna shaka kuwa ni ubavu wake wa pili. Mmmh.. yummy..!!!

CLOUDS FM YAWAPIGA STOP WATANGAZAJI WAKE MAARUFU

Image
B12, Loveness Diva & Adam Mchomvu WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho. Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu wa watangazaji hao. Hata hivyo, madai ya mitaani yanasema kwamba watangazaji hao wamepigwa chini kwa kosa la kukacha sherehe za maadhimisho ya miaka 14 ya Clouds FM, yaliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar. Mwandishi wa habari hizi alilimvutia waya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumwuliza juu ya ishu hiyo ambapo alikiri. “Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na ofisi hivyo kusababisha usumbufu mkubwa ambao ulitulazimu kuingia gharama ambazo hazikut...

ANGALIA PICHA ZA WAKE ZA WATU, MAKAHABA WANGONOKA NA MADEREVA KWENYE MALORI....HALI INATISHA SANA....!

Image
KILE kikosi maarufu kilichojizolea sifa kwa utenda kazi wake cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) kilicho ndani ya jumba la Magazeti Pendwa Tanzania, Global Publishers jijini Dar kinazidi kufichua uovu, twende pamoja ili kujua.Mwishoni  mwa wiki iliyopita, OFM ilitua ‘Mji Kasoro Bahari’ (Morogoro) ambapo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Morogoro, kazi kubwa ilifanyika. KAZI YENYEWE Kazi ilikuwa kuyafumua madanguro na maeneo ya kujiuzia makahaba ambapo kwa mujibu wa watoa habari, baadhi ya maeneo mjini humo (hatuyataji kwa sasa) yamekubuhu kwa biashara ya wanawake kuuza miili yao. MAENEO YALIYOFIKIWA NA OFM OFM na jeshi la polisi walijipanga sawa kwa ushirikiano huku wakitumia  mbinu za hali ya juu ili kuwanasa machangu hao. Itigi Msamvu ni kambi maarufu ya machangudoa hao ambapo wateja wao wakubwa ni baadhi ya madereva wa magari makubwa ‘malori’ wanaoegesha magari yao eneo hilo lililopo kandokando ya Barabara Kuu ya Morogoro -Dar es Sala...

HABARI MPYAMSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AKAMATWA NA BANGI JIJINI DAR ES SALAAM

Image
  Ferouz (mwenye kofia) akiwa chini ya ulinzi  Vijana ni nguvu kazi ya taifa, lakini vijana hao hao wanaweza kuwa chanzo cha taifa kutoendelea na kubomoka. Ubomoaji wa taifa huwa kwa namna nyingi ikiwemo uvivu, ufisadi, na kadha wa kadha. Lakini hapa, tuangalie hili la madawa ya kulevya na bangi.  Kila kukicha kuna wasanii wa maigizo na filamu ambao tunasikia wamekamatwa na madawa ya kulevya, "unga" katika jitihada za 'kusaka maisha', wenyewe wanasema kuna ajali kazini. Wasanii hao ambao wengi ni vijana, na pale wanapoonekana kwenye runinga huwa hamasa kwa wadogo zao na jamii kwa ujumla, wakipenda kuwa kama wao.  Na mchana huu, maeneo ya Sinza, kuna taarifa ya mwanamuziki aliyetamba kwenye muziki wa bongo fleva, Ferouz, sanasana kwa wimbo wake wa Starehe, ambao ulikuwa ukionyesha madhara ya UKIMWI na virusi vya UKIMWI. Ferouz anadaiwa kukutwa na bangi, na picha ambazo Gospel Kitaa imezipata eneo la tukio, zinamuonyesha akisindikizwa na ...