Posts

Showing posts from July 11, 2013

HALI ILIVYO NYUMBANI KWA PROF JAY

Image
Huyu ni mtoto wa Prof Jay anaitwa LISA ndio ameingia nyumbani hapa kwenye msiba wa bibi yake kipenzi Hali ilivyo asubuhi hii hapa nyumbani kwa Prof Jay ambapo ndipo ulipo msiba wa mama yetu.. kwa wanaotaka kuja msiba upo Mbezi mwisho baada ya stendi mpya ya mabasi basi mbele kidogo mkono wako wa kushoto utaingia utaona nyumba kumba ipo kwa chini na magari mengi basi ndio hapo hapo. Kwa wanaokuja na daladala baada yakupita hiyo stendi mpya utamwambia konda akushushe kwa Prof Jay maana ndio kituo hicho. RIP MAMA MAJANJALA Pichani ni wasanii wa bongo fleva wakiacha kumbukumbu katika kitabu cha maombolezo. Kushoto ni Dullayo pamoja na mdogo wake Prof Jay anaitwa Black Rhino mwenye tshirt ya kijani   KWA HISANI YA DJ CHOKA

MATUKIO YA PICHA YALIYOJIRI KWENYE MSIBAA WA MAMA YAKE Z ANTO

Image
Matukio mbalimbali yaliyoweza kutokea uko nyumbani kwenye msiba wa mama yake Z anto NA  BONGO CLAN

ANGALIA PICHA MATUKIO YANAYOENDELEA KWENYE MSIBA WA MAMA YAKE PROF J

Image
PICHA NA  http://djchoka.blogspot.com

PREZZO AMPONDA DIAMOND....

Image
Majigambo ya Diamond kwenye vyombo vya habari kabla ya Tamasha la Matumaini kufanyika kuhusu kumgalagaza Prezzo kwenye show hiyo hayajampendeza Rapcellency na sasa ameamua kujibu. Prezzo ambaye jina lake halisi ni Jackson Makini alianza kwa kuweka picha ya gazeti inayowaonesha akiwa na Diamond kwenye habari iliyohusu tamasha hilo na kuandika ‘Hahahaha #DomoSeriously???? Rapper huyo hakuishia hapo aliweka picha nyingine ya Diamond na kuandika: “U talkin money or u talkin nonsense au anashindana na ndovu kun***a? Mwisho alimalizia kwa kujibu tweet ya mtu mmoja aliyemwambia kuwa huyo ni Diamond kwa kuandika: Unfortunately only “diamonds” I know is the ones on ma neck fam.”

DIVA WA CLOUDS FM AJIPIGA TATOO YA KICHINA KIUNONI...

Image
Katika  kile  kinachotafsriwa  kuwa  ni  harakati  za  kulimwagilia  maji  na  marashi  penzi  lake  kwa  prezzo, Diva  wa  clouds fm  sasa  ameamua  kujipiga TATOO YA  KICHINA  kiunoni  ili  kumchanganya  mwanakaka  wa  Kenya  anayegombaniwa  na  warembo  kibao... Diva amejikuta  katika  ugomvi  mkubwa  na  warembo  wa  Kenya  ambao  wanadai  kunyang'anywa   mpenzi  wao.Miongoni  mwa warembo hao  ni Hudahh  aliyekuwa  mshiriki  wa  Big Brother mwaka huu  akiiwakilisha  Kenya... Kabla  ya  kujipiga  tatoo ya  kichina  kiunoni, Diva  aliwahi  kujianika  akiwa  nusu  uchi  huku  shanga  zake  zikiwa  hadharani.  Uamuzi  huo...

MAMA AJIFUNGUA MTOTO ANAYEFANANA NA NYANI.

Image
hatimaye uko nchini NIGERIA   Mwanamke  mmoja  amejikuta  akimwaga  machozi  baada  ya  kumpoteza  mwanaye  dakika  chache  baada  ya  kujifungua.... Tukio  hilo  lilitokea  siku  ya  jumatatu  katika  hospitali  ya Kargo nchini Nigeria...  Taarifa  zinadai  kuwa  mwanamke  huyo  ambaye  ni  mkazi  wa  kijiji  cha  SabonIcel  alijifungua  mtoto wa  ajabu  anayefanana  na  Nyani, hali  iliyomfanya  afariki  dakika  chache  baada  ya  kuzaliwa  Daktari aliyehusika  na  kumsaidia  mwanamke  huyo  anadai  kwamba, mwanamama  huyo  alifikishwa  hospitalini  hapo  majira  ya  saa  moja  na  nusu  asubuhi  na  kwamba  tahadhari ...

MWANAMKE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA BAADA YA KUMTUPA MTOTO WAKE CHOONI

Image
Mwanamke mmoja mkazi wa Manga A Jijini Mbeya amehukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kutupa mtoto wake chooni. Tukio hilo lilitokea Juni 14, Mwaka huu katika eneo hilo baada ya watoto waliokuwa wakicheza kugundua kuwepo kwa Mtoto katika choo cha shimo.   Mtuhumiwa baada ya kukamatwa amekiri kutenda kosa hilo na kwamba alifanya hivyo baada ya mzazi mwenzie kumkataa. Ameongeza kuwa amelazimika kutupa katika choo cha jirani kwa sababu ni cha shimo tofauti na chao ambacho asingeweza kutupa mtoto huyo.     Rukia Haruna (31)  akitolewa nje  na Askari wa Jeshi la Polisi akitolewa nje ya  Mahakama kwenda Gerezani kutumikia kifungo cha miaka 5 Jela     Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Archiles Mulisa mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, Zabibu Mpangula, amemtaja Mtuhumiwa kuwa ni Rukia Haruna (31) mkazi wa Manga A Jijini Mbeya na kwamba kosa lake ni kinyume cha kifungu ...

HUU NDO USHAHIDI IKIONYESHA KUWA ODAMA WA BONGO MOVIE HUTOA PICHA ZA UONGO KUA YUPO NJE YA NCHI. TAZAMA PICHA HIZI UJIONEE MWENYEWE

Image
EDITOR WA PICHA HII ALISAHAU KUKATA VIZURI NA KUONDOA BACKGROUND NYEUPE KWENYE ENEO LA NYWELE LILILOZUNGUSHIWA DUARA Kuna habari tumeletewa na msomaji wa tovuti yetu ya bongo movies kumhusu mwanadada wetu muigizaji wa Filamu aliyepata tuzo hivi karibuni, Jennifer Kyaka al-maarufu kama Odama kuhusu safari zake za kwenda nje ya nchi. Habari au tuhuma hizi tuziite, zinasema kuwa mwanadada huyo huwa haendi nje ya nchi kama anavyowaambia fans wake kupitia blog yake ya odama1.blogspot.com kuwa anasafiri kwenda nje kikazi zaidi, na badala yake inasememekana eti huwa anabaki hapa hapa nchini akizuga yupo nje ya nchi lengo ni kutafuta “KIKI” ama umaarufu kama watoto wa mjini wanavyosema. Mdau aliyetutumia habari hizi amesema kuwa ana ushahidi wa kutosha na katutumia picha mbalimbali toka kwenye mtandao mmoja wa kijamii ambako staa huyo yupo zikimuonesha akiwa maeneo mbalimbali ya “duniani huko” ambayo kwa kuangalia picha hizo anasema kuwa ni feki na zimetengen...

"SIPO TAYARI TENA KUMVULIA NGUO MR. BOND.".....AUNT LULU

Image
Mwigizaji  wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amesema yeye na aliyekuwa mpenzi wake, Bond Bin Salim imebaki historia na kamwe hawawezi kurudiana naye  japo  anayajua  mapenzi. Akizungumza na mwandishi  wetu hivi karibuni, Aunty Lulu alisema ameshaamua kujituliza  kwa  mpenzi wake wa sasa  hivyo hata iweje hawezi kurudiana na Bond.   “Jamani kwa sasa mnaona nimebadili kabisa staili ya maisha yangu hivyo Bond atabaki kuwa rafiki kama walivyo marafiki zangu wengine.   “Niliwahi kuachana naye kipindi flani baadaye tukarudiana kutokana  na ukweli  kwamba  ni  mwanaume  anayejua  kupenda  na  anayajua  mapenzi ,lakini hii ya sasa ndiyo imetoka, kamwe siwezi kurudiana naye,” alisema Aunty Lulu. JIUNGE NASI KATIKA FACEBOOK/TWITER KWA HABARI MOTO MOTO ZA KILA SIKU

HII NDIO GARI (FERRARI 599 WRAPPED) ILIYO TENGENEZWA KWA KUTUMIA KITAMBAA CHA SUTI 'VALVET' ICHEKI HAPA

Image

BETTY(ETHIOPIA) ANAWEZA KUSONGESHWA JELA MIAKA 6 KWA KUFANYA NGONO NDANI YA JUMBA LA BBA THE CHASE

Image
: By Njambi Mungai  It would seem that being kicked out of the Big Brother house and having to say goodbye to the man she fell in love with was only just the beginning of   Betty Abera’s   problems. According to online sources and local Ethiopian radio station Ethiopikalink, Betty could be facing six years in jail if the lawsuit being filed against her is successful. During her short stint in   BBA The Chase , Betty from Ethiopia and   Bolt from Sierra Leone   were the first couple to engage in sex in this season’s big brother show. There was massive backlash from the audience and more so the conservative Ethiopians who now saw her as a disgrace to the country.   Now back in her home country, Betty could be hit with a lawsuit for having sex in public which is against the laws of Ethiopia. But we got to wonder, do the bright minds behind the lawsuit really have a case?   Do the laws of Ethiopia extend all the way to South Af...

MAMA MZAZI WA PROFESA J AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNGONGWA NA GARI USIKU HUU HUKO MBEZI JUU, DAR ES SALAAM

Image
Profesa J akiwa na mama yake mzazi Bi Rosemary Majanjara Haule enzi za uhai wake.   Picha hii ilipigwa April 4, 2008 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam   wakati wa sherehe ya uzinduzi wa albamu mpya ya Profesa J ya 'Aluta Continua' HABARI ZILIZOPOKEWA USIKU HUU NI KWAMBA MAMA YAKE MZAZI MSANII MAARUFU WA MUZIKI NCHINI, JOSEPH HAULE A.KA. 'PROFESA J' AMEFARIKI DUNIA USIKU HUU BAADA YA KUGONGWA NA GARI  MAENEO YA MBEZI JUU, JIJINI DAR ES SALAAM, ALIKOKUWA ANAISHI NA MWANAE. HABARI ZINASEMA MAREHEMU, BI. ROSEMARY MAJANJARA HAULE, ALIGONGWA NA GARI AKIWA ANAVUKA BARABARA KUELEKEA DUKANI KIASI CHA SAA MBILI USIKU, NA KWAMBA BAADA YA KUGONGWA WASAMARIA WEMA WALIMKIBIZA HOSPITALINI TUMBI KWA KUTUMIA BAJAJI AMBAKO ALIFARIKI DUNIA. TAARIFA ZA AWALI HAZIJATAJA AINA YA GARI NA KAMA BAADA YA AJALI HIYO LILISIMAMA AU LA. PROFESA J AMETHIBITISHA  HILO MUDA MFUPI ULIOPITA, NA KUSEMA INAMUIA VIGUMU KUAMINI IMETOKEA KWANI ANASE...

BABA YAKE JOYCE KIRIA AMEFARIKI DUNIA, MUNGU AMPUMZISHE MAHALI PEMA PEPONI

Image
  BABA MZAZI WA JOYCE KIRIA .. Michael Francis Iwambo Kiria wa kibosho dakau nganyeni amefariki huko mkoani Tanga ambako alikuwa akiishi. Kesho ni safari ya kuelekea moshi kwa ajili ya taratibu za mazishi. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIIMIDIWE