Posts

Showing posts from March 10, 2014

BREAKING NEWZ: BUNGE LA KATIBA MVUTANO WAENDELEA BUNGE LAAHIRISHWA MPAKA SAA KUMI

Image
Mvutano Mkubwa Bado Umetawala Bunge Maalum Linaloendelea Mkoani Dodoma Hali Iliyopelekea Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Hilo Mh Pandu Kificho Kuliahirisha Bunge Hilo Mchana Huu Mpaka saa Kumi Jioni.Mvutano Mkubwa Upo namna ya Kupitisha Kunini ya Kuongoza Kanuni hiyo Kanuni Kuhusu Maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba Yapitishwe kwa Kura ya Siri ama ya Wazi . Mvutano huo umetokea pale Kundi Moja waliposema Ipigwe Kura ya Kuamua Bunge Hilo Kutumia  Kura ya Siri ama ya Wazi Ndipo Majibizano yalipoanza Yakiambatana na Kuzomea kwa Baadhi ya Wajumbe walipopewa nafasi ya Kuzungumza.Bunge Hilo Limepitisha kanuni zote kwa asilimia 95 zilizobaki ni mbili tu lakini uamuzi wake unaleta Mvutano Mkubwa sana Katika Bunge hiloEndelea kuwa nasi Kwa Taarifa zaidi

PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA

Image
Msichana aliyefahamika kwa jina la Seche Mautamu, amebainika kujiuza kupita mtandao wa kijamii wa facebook kwa kuweka picha zake za utupu.  Chini  ni picha zake alizozisambaza mtandaoni kupitia account yake ya facebook. Ukienda kwenye profile yakenenda kwenye About utaona AMESEMA anasoma UDOM! - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/03/picha-za-utupu-zilizopigwa-na.html#sthash.f2P9nVLX.dpuf

ZIFAHAMU FAIDA NA HASARA ZA STYLE HIZI 6 ZA KIUFUNDI KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOANA MWEZI WAKO

Image
  TUKUMBUSHANE:   JIFUNZE SEX STYLES ZA KUPEANA RAHA NA UTAMU ZAIDI NA MWEZI KUBORESHA PENZI.                                                                                                                1.FLATIRON FLATIRON Jinsi Ya Kujipanga Mwanamke alale kitandani uso ukiangalia chini makalio yaangalie juu, asisahau kubinua nyonga/makalio juu kidogo(kama mvivu kidogo aweke mto(pillow) chini ya kinena),kujibinua kwake kutaongeza raha na utamu zaidi Faida Za Hii Style Mwanamke anapata nafasi ya kuenjoy Raha na Utamu akiwa amerelax,na kwakuwa miili inakuwa imebanana...

MFAHAMU MWANAMKE MWENYE NDEVU NDEFU KULIKO WOTE NA ANATISHIWA KIFO KWA AJILI YA NDEVU ZAKE!!

Image
Harnaam Kaur, mwanamke mwenye umri wa miaka 23 anayeishi katika mji wa Slough, Kusini Mashariki mwa Uingereza amepokea vitisho vya kuuawa kutoka kwa watu asiowafahamu kwenye mitandao kwa sababu ya ndevu zake nyingi zinazomfanya asitofautishwe kirahisi na mwanaume. Mwanamke huyo ambaye anakabiriwa na tatizo la kuwa na vinyweleo vingi  kupita kiasi, tatizo linalojulikana kitaalamu kama ‘polycystic ovary syndrome’, ameeleza kuwa alianza kupata tatizo hilo akiwa na umri wa miaka 11 na kwamba alikuwa akizinyoa mara mbili kwa wiki. Ameeleza kuwa alipokuwa shuleni alikuwa akionewa sana kwa kuitwa majina mengi ya kejeli kama ‘jike dume’, na kwamba alikuwa anashindwa hata kuwaangalia watu usoni na alipotoka shule alijifungia ndani siku zote asionekane mara kwa mara. Ameongeza kuwa kutokana na kuishi katika hali hiyo alifikia hatua akafikiria kujiua. Hata hivyo, Harnaam amesema kuwa amejiunga na dini ya Sikh na kubatizwa, na kwamba imani ya dini hiyo hairuhusu watu ku...

TP MAZEMBE WASHINDA, YANGA WATOLEWA CHAMPIONS LEAGUE + MATOKEO YA KOMBE LA SHIRIKISHO

Image

GODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA “NINI MVUA TUNASIKILIZA SERA”

Image
Mgombea  ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wananchi mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke Iringa vijijini huku kukiwa na mvua kubwa ambayo hata hivyo haikuzuia kuendelea kwa mkutano huo, wananchi wa kijiji hicho walionekana kuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza mgombea huyo wa (CCM) walisikika wakisema “Nini mvua sisi tunataka sera tu, tunataka tusikilize maneno ya huyu mgombea wa (CCM)”PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) Mgombea  ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Wenda huku mvua kubwa ikinyesha kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Bi. Jesca  Msambatavangu. Mkutano ukiendelea huku wananchi wakimsikiliza wakiwa katika mvua kubwa Wananchi hawa wakimsikiliza mgombea huyo wa CCM huku wakiwa wamejihifadhi katika moj...

RAIS DKT. KIKWETE AMJULIA HALI SALUM MKAMBALA

Image
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Magic Radio FM Bwana Salum Mkambala aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya Taifa muhimbili baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita(picha na Freddy Maro)