Posts

Showing posts from May 2, 2014

ANGALIA PICHA MWANAFUNZI DENTI MIAKA 12 AOLEWA

Image
Wastara akifanya usafi ndani kwake baada ya kuolewa. Na Denis Mtima na Mayasa Mariwata, Pwani YELEUWII!  Kuishi kwingi ni kuona mengi, kijana aliyejitambulisha kwa jina la Andrew Vincent (23) ambaye amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amejikuta katikati ya matatizo kufuatia kufunga pingu za maisha na mwanafunzi wa darasa la tano aliyefahamika kwa jina moja la Wastara (12), wote wakazi wa Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Tukio hilo lilijiri Aprili 26, mwaka huu ambapo kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ kilipokea taarifa kutoka kwa wasamaria wema wakilalamikia kitendo hicho na kutaka mwanafunzi huyo asaidiwe ili arudi shule. OFM kama kawaida yake, ilitinga eneo hilo kwa ajili ya kufuatilia taarifa hizo ambapo iliweza kuungana na mwalimu mkuu wa shule ya msingi anayosoma ‘bi harusi’ huyo, Hamad Mnaguzi na viongozi wengine wa kamati ya shule akiwemo mwenyekiti wa serikali ya kijiji, Shaban Zageni. Kijana aliyefahamika kwa jina la Andrew Vincent anayetuh...

ANGALIA MAAJABU YA MUNGU MWILI MMOJA VICHWA VIWILI.

Image
Mapacha hawa wanaitwa Abby na Brittany wamezaliwa mwaka 7/3/1990 nchini MAREKANI.  Mapacha hawa wameungana mwili na kuwa mwili mmoja wenye vichwa viwili, lakina chakushangaza zaidi kila mmoja anamfumo wake wa kupumua na moyo wake na maini yake, Vitu wanavyo changia ni mwili mmoja ikiwemo miguu miwili na mikono miwili.

DAWA ZA DICLOPA NA DICLOFENAC ZADAIWA KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

Image
Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu!  Radio Dutch Velle ya mjini Kolon Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu, Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla. Chanzo: Radio Dutch Velle