Posts

Showing posts from April 2, 2014

WATOTO WAWILI WA FAMILIA MOJA WATEKETEA KWA MOTO.....

Image
Watoto wawili wa kiume wa familia moja, Daniel Paul (8) na mdogo wake, Emmanuel Paul (3), wamepoteza maisha wakiwa pamoja baada ya kuteketea kwa moto ndani ya nyumba. Tukio  hilo lilijiri majira ya saa 1:00 asubuhi, maeneo ya Mtaa wa Rufita, Mwanza-Road mjini Tabora  baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto huku wakiwa wamelala ndani. Habari za awali zilieleza kuwa chanzo cha moto huo kilidaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme na kuisababishia familia hiyo majonzi makubwa ya misiba miwili kwa mpigo. Kamanda wa Polisi Wilaya ya Tabora,  OCD, Samwel Mwampashe alithitisha kutokea kwa tukio hilo huku akiahidi kuwa polisi watafanya uchunguzi ili kubaini chanzo kamili cha moto huo

HUYU NDIYE MWANAUME ALIYERUHUSU "UUME" ULIWE NA FISI KWA MAKUSUDI SABABU IKIWA....!!! TAZAMA HAPA

Image
Kuna stori nyingine kwenye hii dunia huwa zinaonekana kama za kufikirika tu na pengine unaweza kushawishika kuona sio za kweli ila ukweli ni kwamba imetokea kabisa kwenye maisha hayahaya. Baada ya agizo la mganga, Mwanaume mmoja huko Malawi amemruhusu fisi ang’ate na kuuondoa uume wake kisa anataka kuwa tajiri na kuachana na maisha ya tabu aliyoishi kwa miaka mingi. Chamangeni Zulu akiwa hospitali baada ya tukio hilo amesema >> “nilikutana na mganga ambae aliniambia njia kubwa na nzuri kabisa ya kuwa tajiri ni kutoa sadaka sehemu za mwili wangu ambapo tarehe 24 March 2014 saa kumi jioni nilikwenda Msituni na kuvua nguo zote kama nilivyoamrishwa, nikaona fisi akija na alianza kula vidole vyangu vya mguu na kisha kuanza kuula uume wangu” Pamoja na hiyo sentensi fupi ya kusisimua inayoweza kukufanya uwaze mara mbilimbili baada ya kuifikiria kwa kina, Zulu anasema hasumbuliwi yani, haimpi shida kujua kwamba hana uume na vidole vyake tena il...

UTAJIRI WA MASANJA KUFURU! YADAIWA DIAMOND NA JIDE HAWAONI NDANI

Image
HIZI NDO MALI ANAZOMILIKI UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo,  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake. HABARI MEZANI Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti hili kama kidokezo, hapo mwandishi wetu akaingia mzigoni na kuanza kuchunguza kwa kina mali anazomiliki msanii huyo na kugundua kuwa ni kati ya mastaa mabilionea Bongo. “Masanja sio yule tena. Ana mpunga (fedha) mrefu sana. Hakuna msanii wa maigizo Bongo anayeweza kumfikia kwa sasa. Hao wengine ni mbwembwe tu, lakini pesa imelala kwa Masanja,” kilipasha chanzo chetu. Kikaongeza: “Kwanza ana ghorofa lipo Tabata, hapo ndipo anapoishi. Pia ana magari kibao ya kifahari, mashamba ya mpunga na Kampuni ya OK Security inayolinda sehemu mbalimbali zikiwemo taasisi nyeti nchin...

KUMBE WASANII WENGI WA BONGO MOVIES NI WAATHIRIKA WA UKIMWI..?? SOMA ALICHOKISEMA JINI KABULA JUU YA HILI..!!

Image
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msanii mkongwe kiwanda cha Bongo movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema kuwa hakika gonjwa hatari la ukimwei litawateketeza wasanii wote wa Bongo movie na hakuna atakaebaki kama hawatobadilika kitabia.   Akiongea na gazeti la pendwa na Watanzania Maskani Bongo alisem" Sio siri kwa mfano leo hii wasanii wote bongo movie waseme wakamatwe kinguvu wakapimwe HIV utaona hali ilivyokuwa mbaya na sijui hata mmoja atakuwa mzima na sababu kubwa ni njaa ambapo sisi wengi wetu tuna majina lakini hatuna kitu hivyo hiyo hutoa nafasi ya kujirahisha ili kupata pesa" Alisem Kabula kwa uchungu.

HII ZAIDI YA LAANA TUPU...JIONEE PICHA YA HUYU MDADAAPIGA PICHA UCHI SHAMBANIWATU MKOSE MAZAO LAWAMA KWA MUNGU

Image

WASANII BONGO MOVIE WAMNANGA JACKLINE WOLPER UKUMBINI MMH NI MANENO MAZITO ANGALIA HAPA WALICHOMWAMBIA..!

Image
XDEEJAYZ: Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini. Na Sakina Shabani Katika hali isiyokuwa ya kawaida wasanii bongo movie mwishoni mwa juma kwenye pati ya kundi hilo walitumia muda mwingi kumnanga msanii mwenzao Jackline Wolper eti anakisogo kama katuni Madenge. Xdeejayz ambayo ilikuwepo ukumbini ilishuhudia wasanii wakimsema mwenzao kama hivi: XDEEJAYZ: Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini. “Huyu nae kujishaua kwanza bichwa kama madenge angalia kichogo chake kule" Alisema mmoja wa wasanii wakubwa tu

MKE ANASWA AKILIWA ULODA WAKATI MUMEWE AKIWA AMELAZWA HOSPTAL BAADA YA KUPATA AJALI YA PIKIPIKI ANGALIA HAPA..!

Image
ZUHURA NA MWANAUME ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA PAPA MANOTI WALIPONASWA NA KAMERA ZA HOTEL ILIYOPO SINZA MADUKANI JIJINI DAR. Na paparazi Wetu Kweli ni aibu kubwa mwanamke mmoja wa mtu aliyefahamika kwa jina la Zuhura Shabani hivi karubini amenaswa akiliwa uloda  Hotel na jamaa mmoja mfanyabishara aliyefahamika kwa jina la Papa Manoti kwenye nyumba ya kulala wageni ulijulikanayo kwa jina la Manyara Lodg Kwa mjibu wa mshuhuda wa tukio hilo walisema mwanaume wa mke aliyefumaniwa yuko Hospital mwezi wa pili sasa akiugiuza kiuno baada ya kuumia kwenye ajali ya pikipik

UNAAMBIWA MR NICE AMSHUKURU MUNGU KWA KIPIGO HICHI,ILIKUWA AKALIWE KIBOGA NA KUPIGWA PICHA ILI ZISAMBAZWE KWENYE MITANDAO:

Image
Na Sakina Shabani Ni ukweli kwamba Mungu alisaidia tu kitendo cha Mr Nice kupigwa na imekuwa nafuu kwake kuliko tukio ambalo huenda lingekuwa baya sana kwenye maisha yake la kuliwa kiboga kwa vijana waliokuwa wamepanga kumdhalilisha mwanamuziki huyo mwenye heshima kubwa Afrika Mashariki na kati. Baada ya gazeti moja jana Jumatatu kutoa taarifa za kupigwa kwa Mr Nice kisa kikiwa mke wa mtu Xdeejayz imezama ndani kufatia ishu hiyo na kupata mkanda mzima toka kwa watu walioshuhudia tukio hilo waliiambia Xdeejayz kuwa ' Jamani huyu kijana anapaswa kumshukuru Mungu kwa adhabu hii ya kupigwa kuliko nia waliyokuwa wamepanga kumfanyia ya kwenda kumla uloda kisha kumpiga picha hizo za aibu" Alisema mama huyo ambae alimuonea huruma sana mwanamuziki huyo wakati akipewa kipigo CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)

Image
Tanzania Revenue Authority Jobs , April 2014 Tanzania Revenue Authority (TRA) was established under the Tanzania Revenue Authority Act No.11 0f 1995.The Authority is a semi-autonomous agency of the Government responsible for the administration of the Central Government taxes as well as several non-tax revenues. TRA is currently implementing its fourth Corporate Plan whose vision is t o increase revenue to GDP to 19.9% by 2018 . TRA would like to recruit dynamic experienced and qualified personnel to fill vacant positions in the Domestic Revenue and Customs & Excise Departments. Applications are therefore invited from suitably qualified Tanzanians for the following positions: Preventive Assistants Purpose of the Job. To strengthen supervision of the Customs preventive operations. Major Activities of the Job. (i) Board and rummage vessels. (ii) Prevent and control the importation of prohibited and restricted goods. (iii) Perform preventive duties...

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA SERIKALINI

Image
1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/G/09 01 Aprili, 2014 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8  ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 482 za kazi kwa waajiri mbalimbali kama ifuatavyo: MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE. i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania. ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa. iii. Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuin...