Posts

Showing posts from May 14, 2014

WASTARA AVISHWA PETE HUKO UK...!!! TAZAMA PICHA ZOTE HAPA LAIVU BILA KING'AMUZI..!!!

Image
    Wastara akivishwa pete ya uchumba From London With Love ...!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume anayeonekana hapo pichani. Wastara aliweka picha kadhaa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii na wengine kudhani ni filamu mpya. Star mwenzake pia Riyama Ally ambaye wapo wote huko London nae aliandika "Ama kweli Mungu akitaka kukupa haandiki barua......, kila la kheri mama huu mwanzo mzuri kwako". Baada ya kuona picha hizo haraka sana Swahiliworldplanet ilimuendea hewani Wastara akiwa huko huko London na kumuuliza kama ni movie au ni kweli, tofauti na siku zote ambapo kama ni movie Star huyo huweka kweupe lakini safari hii alionekana hana la kusema pengine kwa furaha na kuishia kujibu kwa ufupi kwa kusema "No comment" alipododoswa tena alijibu hivyo hivyo tena "No comment". Wastara Monalisa, Riyama Ally na Cloud ni takribani wiki tatu ...

ZIJUE DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOTAKA KUFIKA KILELENI

Image
Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo kwa maana ya kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila unauwezo wa kumfanya afike kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele cha raha.   1 . Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni ni ...

AFYA: DALILI ZA KUSAMBAA KWA KANSA YA MATITI

Image
 leo tunaelezea dalili za kusambaa kwa saratani hii mwilini.Kitendo cha kansa kusambaa mwilini kupitia mkondo wa damu na limfu huitwa metastasis.   Kusambaa kwa saratani hadi kwenye viungo na tishu muhimu kama vile ubongo, ini, mifupa au mapafu  bado kunaufanya ugonjwa huo kuwa hatari. Dalili za saratani kusambaa mwilini ni maumivu ya mifupa, maumivu kwenye titi, vidonda kwenye ngozi, kuvimba mkono karibu na eneo la saratani na kupungua uzito. Pia mgonjwa huweza kuhisi dalili tofauti kwa kutegemea saratani ya matiti imesambaa kwenye kiungo gani mwilini. Kwa mfano saratani ya matiti iliyosambaa kwenye ini inaweza kusababisha mwili kuwa manjano, kuongezea kiwango cha enzymes katika ini, kukosa hamu ya kula, kichefuchefu na kutapika.  Takwimu zinaonyesha kuwa, asilimia 70 ya wagonjwa wenye kusumbuliwa na saratani ya matiti, hupatwa na saratani iliyosambaa kwenye mifupa. Hii ni katika hali ambayo asilimia 10 huweza kupa...

A young male lion caught in a snare which slowly tightened around his neck

Image
A young male lion caught in a snare which slowly tightened around his neck as he grew older survived for three years as the siblings in his pride kept him alive by bringing him back prey they had hunted. The lion was first spotted trapped in the snare in Mikumi National park in Tanzania back in 2009 but about seven attempts of vets to tranquilise and rescue him failed.   After three years, the cord had become so tightly wrapped around the lion's neck that he was left unable to hunt and his gaping wound attracted flies and infection. But, eventually the lion was found by park rangers in August and vets managed to sedate him and cut away the electrical wire snare. According to William Mwakilema, Chief Park Warden in Mikumi National Park, by the time he was found he was so weak he was unable to hunt. He said that it's unusual situation because it is natural for pride to kill weak male lions instead of keeping him alive by sharing the food. ...

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ALBINO AUAWA KINYAMA SIMIYU,AKATWA VIDOLE NA MGUU

Image
  MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko Bariadi mkoani Simiyu. Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana. Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.

DUNIA IMEKWISHA NJEMBA AFUMWA NA DENTI WA KIUME GESTI

Image
ISHARA za mwisho wa dunia? Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb amekula kichapo na kuishia mikononi mwa polisi baada ya kunaswa katika nyumba ya kulala wageni (gesti) akiwa na dogo wa kiume aliyedaiwa kuwa ni denti wa sekondari. Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb akiwa amepigw pingu baada ya kunaswa akiwa na mwanafunzi wa kiume gesti. Aibu hiyo ya karne ilijiri juzi Jumatatu kwenye gesti hiyo (jina linahifadhiwa) iliyopo maeneo ya Manzese, Dar ambapo jamaa huyo alikutwa chumbani na denti huyo aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 14. Kwa mujibu wa chanzo makini kilichoitonya Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, njemba huyo amekuwa na ‘katabia kachafu kakuwafanyia usodoma’ watoto wa kiume.Habari hizo zilidai kuwa ishu hiyo iliwakera wakazi wa eneo hilo waliokuwa wakimfuatilia kwa muda mrefu ndipo wakaamua kumfungia kazi baada ya kudaiwa kuwa na mtoto huyo chumbani usiku kucha. Kwa mujibu wa meneja wa gesti hiyo (aligoma kuta jina) amba...

ANGALIA PICHA ZA KICHANGA KILICHOTUPWA MTO MWANANYAMALA

Image
Wakazi wa Mwananyamala wakiwa eneo la mto Ng'ombe kushuhudia tukio hilo. MWILI wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na siku mbili umeokotwa ukiwa umetupwa eneo la mto Ng'ombe jirani na Rasco, Mwananyamala jijini Dar.   Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kichanga hicho cha kiume kimekutwa eneo hilo leo asubuhi kikiwa kwenye mfuko wa Rambo.  Mtandao huu ulifanikiwa kuongea na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Makumbusho, Bi. Husna aliyetoa rai kwa wananchi wa eneo lake kutojihusisha na vitendo viovu kama hiki, huku akiwasihi kutumia njia za uzazi wa mpango kujikinga na matatizo kama hayo.  "Nina masikitiko makubwa kwa kitendo hiki, ni bora kichanga hiki kingeletwa serikalini tukilee kuliko kutupwa eneo hili. Kama wananchi mkishindwa kuvumilia bora mtumie uzazi wa mpango," alisema Bi. Husna huku akiahidi kufanya uchunguzi wa kina kumtafuta muhusika! -GPL

MWANAMKE AUAWA KIKATILI KWA KUCHOMWA MOTO HADI AKAFA, NAOMBA RADHI KWA PICHA HII

Image
Hivi karibuni mwanamke mmoja huko Nchini Nigeria aliuawa na wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi baada ya kumtuhumu kuwa anaiba watoto wa shule na kuwapeleka kusikojulikana.  Mwanamke huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alianza kupigwa na baadaye wananchi hao wakamuua kwa kumchoma moto.  Inadaiwa kuwa mwanamke huyu alikutwa na watoto wawili wa kike ambao ni wanafunzi, akiongozana nao na ndipo wananchi walipompiga  na hatimaye kumchoma moto hadi akaf a