Posts

Showing posts from September 1, 2015

NAFASI ZA KAZI UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF HOME AND AFFAIRS

Image
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The Ministry of Home Affairs in close collaboration with UNHCR, the World Bank and other partners is implementing various activities to provide refugee relief support and finding durable solutions to the plight of refugees by way of voluntary repatriation, grant of citizenship by naturalization and resettlement to a third country. To fulfill this mandate, the Ministry of Home Affairs, has set aside some Project Funds, to be utilized in the recruitment of professionally, suitable candidates. In this regard the Ministry is hereby inviting applications from suitably qualified and experienced Tanzanians to fill the understated vacancies that currently exist in Refugee Service Department, Ministry of Home Affairs. 1. LOCAL INTEGRATION COORDINATOR – (ONE POST) Job title - Coordinator of Local Integration Programme (LIP) Reports to - Director, Refugees Service Department Location - Dar es Salaam, with extensi...

Jobs at Tanzania Private Sector Foundation

Image
CONTENT SPECIALIST POSITION DESCRIPTION: Position Description Document (download)   COMMUNICATION& MARKETING SPECIALIST POSITION DESCRIPTION: Position Description Document (download)   APPLICATION INSTRUCTIONS: Interested individuals are invited to apply for the above mentioned vacancy. All candidates should submit a cover letter, latest CV and copies of their qualification to Executive Director, Tanzania Private Sector Foundation, P.O. Box 11313 DAR ES SALAAM, and email it to cmkama@tpsftz.org. All applications should be received not later than 4th September 2015, at 10:00 am East Africa Time.

ANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA TANROADS

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WORKS TANROADS REGIONAL MANAGER`S OFFICE - RUVUMA CAREER OPPORTUNITY Regional Manager. TANROADS - RUVUMA is looking for suitable qualified Tanzanian candidates for 11 posts available at Luhimba and Lipokera fixed weighbridge stations and Regional Managers Main Office. Now, the Regional Manager TANROADS –Ruvuma invites interested candidates to apply for the following posts 1. POSITION TITLE: WEIGHBRIDGE OPERATOR - (5 POSTS) Key qualifications for the weighbridge Operator; • Holder of full Technician Certificate in Civil, Mechanical or Electrical Engineering (FTC) • Higher qualification will be advantageous) • Must be Computer literate (at least Advanced Certificate in Computer Applications); • Must be fluent in both written and spoken Kiswahili and English languages; • Must be a Tanzanian Citizen; • Not above 35 years of age Duties and Responsibilities of the Weighbridge Opera...

Yafahamu mambo 10 ya kuepuka ili Sheria ya Mitandao isikupitie

Image
Sheria ya mitandao inaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015, haya mambo 10 muhimu ili sheria hii isikukamate 1. Epuka Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao 2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao 3. Epuka Kusambaza picha ama video za utupu ama zilizokosa maadili kwa jamii kupitia mitandao mbalimbali ( Whatsapp,Facebook,Youtube,Inst agram n.k 4. Epuka Kusambaza picha ama video za uchochezi wa kidini ama kisiasa kupitia makundi mbalimbali ama mitandao ya kijamii 5. Epuka Kushiriki kusambaza chochote kati ya vilivyotajwa hapo juu ( kutuma kama ulivyopokea ) itakugharimu 6. Epuka Wizi kupitia mitandao mbalimbali na mitandao ya simu utakugharimu 7. Epuka Kumpatia mtu line yako ya simu na kutumika kufanyia wizi ama utapeli itakugharimu 8. Epuka Kushiriki kumchafua mtu,taasisi,kikundi cha watu kwa namna yoyo...

Mgombea Mwenza Urais CCM Azungumza na Wanachama UWT Dodoma

Image
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wakiwa katika mkutano na mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu jana katika Ukumbi wa NEC ofisi za makao Makuu ya CCM Dodoma. Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo. Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia S...