MUSIC

.....................................................................................

Fid q. Proffesa Jay , Diamond na wengine wamumbea Roma maktoliki na Monii





Sitomfahamu ya usalama wa Mwanamuziki wa Bongo Hipo Hop Ibrahim Mussa A.K.A, Roma yazidisha hofu kwa wanamuziki mbalimbali 
Fid Q
Nimeipokea hii HABARI kwa mstuko mkubwa.. sio tu kwasababu TONGWE ni moja kati ya wadhamini wetu wa #OpenMicThursday pia ni moja kati ya studio ambazo zimekua msaada mkubwa sana ktk kunyanyua vipaji na C E O @j_murder_tongwe amekua mstari mbele sana ktk kufanikisha hilo.. kinachonistua na kuninyima raha zaidi ni hili la hawa ndugu zetu akina @roma2030 @moni_centrozone Producer Belo na mlinzi kuwa hawajulikani waliko hadi hivi sasa.. ninaiomba MAMLAKA HUSIKA ya USALAMA itusaidie ili waweze kupatikana mapema na kuifutilia mbali ile hofu iliyotanda mioyoni mwa ndugu, jamaa na marafiki… mwisho namuomba MUWEZA WA VYOTE azifanyie wepesi familia za ndugu zetu waliopotelea kusikojulikana in sha Allah.
Professor Jay
Wakati sisi tunakosa Usingizi na kuendelea kupaza Sauti, Kuna wengine wameweka miguu juu wanaona hili haliwahusu na wengine wanakwenda mbali zaidi na kudiriki kusema hii ni KICK ya Muziki tu..
Narudia tena kuwaambia ndugu zangu WAKIMALIZANA NA SISI WATAKUJA KUMALIZANA NA NYINYI😭😭😭
#Bring Back our SOLDIERS Alive.
Vanessa Mdee
Wherever you are, God is Bigger than, Stronger than, Realer than all the other forces that be. Stay UP brother @roma2030 #VivaRoma #FreeRoma #FreeMoni roho inauma na nimetoka kumsikiliza mkeo redioni hajui hata ulipo sasa ndiyo nini 😡😡😡😡😠is this where we are at now? Ma studio yanavamiwa, watu wanakamatwa kama wanyama pori. Aaaarrrrgh
Diamond
Wakati mwingine natafakari sijui hata wapi tunaelekea… lla kwakuwa Mwenyezi Mungu ndio Mpangaji wa yote basi naamini hata hili litapita tu… Mwenyezi Mungu aipe nguvu familia ya @roma2030 na wanamziki wenzetu wote ambao hadi sasa haijajulikana walipo..
Nay wa Mitego
Siku nzima ya leo nimekosa raha kabisa, cjui Mshkaji wangu Yupo kwenye hali gani, mazingira gani.? Roma yuko wapi.?! Sim yake ukipiga inaita Kama kawaidi, Masege Whatsup zinasomwa, Sim hazipokelewi. Vyombo husika tunaomba mtusaidie, tunaitaji kujua ndugu zetu wako wapi.? Hatuwezi kukaa kimya.
Hivi kweli tumefikia huku.? Tunaenda wapi.? #FreeRoma✊🏿
#Wapo
Ray C
Nimeanza kuingiwa na woga,nafikiria mambo mengi Roma alipo Sasa,anafanywa nini na tatizo ni nini mpaka imekuwa hivi na masaa yanaenda hakuna jibu lililo kamili!!hisia mchanganyiko na zote sio nzuri….Nini kinaendelea?Tatizo ni nini??Sababu ni nini?Bado najiuliza sipati jibu………
AY
Vyombo husika vifanye uchunguzi wa haraka tujue hali za wasanii wenzetu wako kwenye hali gani..@romamkatoliki Mungu yupo pamoja nanyi awaepushie lolote baya.. @tongwerecords @j_murder_tongwe

 

....................................................................................

STAA JACQUELINE WOLPER AMCHIMBA LAIVU HARMORAPA


STAA wa fi lamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameeleza  kukerwa na mwanamuziki chipukizi, Athuman Omary ‘Harmorapa’ aliyesema amewahi kutoka naye kimapenzi jambo ambalo siyo kweli.

Akichonga na Mikito Nusunusu Wolper alisema mwanamuziki huyo ambaye ameimba kwenye wimbo wake wa Kiboko ya Mabishoo kuwa ameshatoka naye kimapenzi amemkosea heshima  na hata alivyousikia wimbo huo umemshangaza kwa sababu hata Harmorapa mwenyewe anamuona kwenye mitandao ya kijamii na magazetini tu hajawahi kumuona ‘live’.

“Jamani huku ni kukoseana heshima maana huyo Harmorapa hata simfahamu huwa namuona kwenye mitandao na magazetini tu, sasa alivyoimba ametoka na mimi kimapenzi naona kama ni kituko kikubwa sana,” alisema Wolper.

......................................................................................

MSANII TID AMTUPIA KIJEMBE HIKI MSANII STEVE NYERERE

Huu ni mwezi mbaya kwa mchekeshaji Steve Nyerere. Ni kwasababu kauli zake zimeendelea kumponza.

Hivi karibuni, kwenye mazungumzo yaliyovuja kati yake na mama yake na Wema Sepetu, alidai kuwa hitmaker wa Siamini, TID alipewa fedha na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili atoe hotuba kuhusu kuwa mtumiaji wa dawa za kulevya.
Mnyama alimind mbaya na kutishia kumshtaki mchekeshaji huyo. Na sasa mkali huyo ameibuka na kumwelezea Steve kuwa si staa kwake, bali ni kama panya tu.
“Steve Nyerere sio staa kwangu, he is a mouse,” ameiambia E-News ya EATV.
“Ukimuangalia kwanza he is a mouse, to me, me I have been doing this talent na nimejijengea umaarufu kupitia kipaji changu, sio kupitia uongo uongo, udananda sijui umbea umbea, sijafanya hivyo,” ameongeza.
“I have been working very hard to make this name. Huwezi kuniambia mimi eti nimepewa milioni mbili sijui, unanidhalilisha, kwanza unanihatarishia maisha yangu mtaani mimi nionekane snitch, nimewasnitch wananchi, nimepewa milioni 3 kuconfess pale, why? Milioni mbili na maisha yangu?
TID amemtaka Steve afike mbele ya mahakama athibitishe kuwa alichukua shilingi milioni 2, lasivyo patachimbika.

......................................................................................

MAN WATER AIBUA MPYA KUHUS NYIMBO YA MBOGA SABA YA MR BLUE


P zone mc msanii kutoka micharazo ya mr blue 

amefunguka kwenye FNL ya EATV na kudai Man 

water alitaka Diamond ndio ashirikishwe kwenye 

ngoma ya Mr blue #mbogasaba



. "Man water alitaka diamond aingize vocal kwenye wimbo

wa mr blue lakini haikuwa hivyo, Mr blue alitaka kiba 

afanye kitu zaidi na tulipompigia simu kiba alifanya

heshima kubwa zaidi mimi mwenyewe sikutegemea"



Hata hivyo @pzone_mc aliongeza kwa kusema @man_water

alitaka kifanyike kitu zaidi ya pale alipofanya @officialalikiba 

na ndio maana katafutwa mwanadada aingize tena sauti

kwenye kolabo hiyo

...............................................................................

DIAMOND AFUNIKA MBAYA NA SHOW YAKE YA MBALAMWEZI USIKU WA KUAMKIA LEO


Dec 24, team nzima ya wasafi ikiongozwa na Diamond Platnumz walifanya show ya kufunga mwaka Dar es laam  ambayo ilifanyika Jangwani sea breez. Mastaa mbalimbali kutoka bongo walihudhuria pamoja na wageni kama Vera Sidika wa Kenya, Anitha Fabiola wa Uganda,Kcee wa Nigeria n.k
Nimekusogezea picha 15 kutoka kwenye eneo la tukio mtu wangu.
aw1a7578
Shilole
aw1a7602
aw1a7619
aw1a7667
aw1a7707
aw1a7748
aw1a7891
aw1a7488
aw1a7491
aw1a7527
aw1a7563
Facebook Comments

 ...

Choki Ana Siri ya Kudorora kwa Muziki wa Dansi, Kisa cha Kuikacha Bendi Yake na Kurudi Twanga


choki-1 DAR ES SALAAM: Msanii mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa dansi hapa Bongo, Ali Choki ‘Mzee wa Farasi’ leo ameamua kufunguka ya moyoni kuhusu kwa nini muziki huo umekuwa ukishindwa kutusua na kufika mbali kama inavyofanyika kwenye miziki mingine kama ya bongo fleva na singeli.
choki-2Ali Choki (katikati) akiwa na wahariri; Sifael Paul wa Gazeti la Ijumaa Wikienda (kushoto) na Elvan Stambuli wa Gazeti la Uwazi (kulia).
Akihojiwa kwenye kipindi cha exclusive interview cha Global TV Online, Choki aliyewahi kutamba na nyimbo zake kama majirani, regina na nyingine amesema kuwa, kisa cha kudorora kwa dansi; Kwanza ni nyimbo kuwa ndefu, dakika 10 hadi 15 kiasi ambacho unaweza kumboa msikilizaji au mtazamaji tofauti na bongo fleva ambayo wimbo unakuwa wa dakika 3 au 4 tu na unakuwa umebeba kila kitu kinachotakiwa kuwemo.
choki-3Choki akiwa na Msanifu Kurasa wa Magazeti ya Global Publishers, Charles Mgela.
Jambo jingineni ubora na ubunifu katika video za dansi, Choki amebainisha kuwa video nyingi za muziki wa dansi hazina ubunifu mzuri kivile, waimbaji wanakuwa wengi kama kwaya pamoja na wanenguaji jambo ambalo pia linaweza kumboa msikilizaji wa wimbo au mtazamaji wa video.
choki-4Choki akiwa na Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph.
Ili kuboresha hayo, Choki ameshauri hata kama waimbaji wa muziki wa dansi watakuwa wengi lakini kwenye video aonekane mmoja au wawili tu pamoja na ma-video queen wenye mvuto na sio kujaza rundo la waimbaji na madensa hasa kwenye video. Pia video ziboreshwe, location nzuri, mavazi na kupunguza urefu wa wimbo. Ubunifu zaidi uongezwe hasa kwenye video ili kuendana na soko la muziki maana video ndiyo inamtambulisha zaidi msanii na ubora wa kazi zake.
Mbali na hayo ya kuboresha muziki wa dansi, Choki pia ameeleza sababu ya yeye kushindwa kumudu kuwa na bendi yake ya x-tra Bongo aliyoianzisha maiaka ya nyuma na badala yake kuivunja na kurudi tena kwenye bendi yake ya zamani ya Twanga Pepeta inayoongozwa na Asha Baraka.
“Kushindwa kuendesha bendi yangu (X-Tra Bongo) ni sababu za kibiashara, nilichokuwa nakitarajia sikukipata japo nilivumilia kwa miaka mitano bila mafanikio, cha zaidi labda niliongeza vyombo vyenye ubora lakini sikupata mafanikio kama nilivyotarajia wakati nafungua bendi yangu”amesema Chok.
“Mbali na hivyo hata kuna wakati nilisafiri kwenda japani na Finland kuutangaza muziki wangu nikiwa na Super Nyamwera, gharama ilikuwa kubwa sikuweza kumudu kwenda waimbaji wote jambo ambalo kumbe liliwakasilisha waliobaki, na nilivyorudi kutoka safari nikajikuta nimefanyiwa fitina, waimbaji wangu wote wameondoka hawapo kwenye bendi, iliniiuma sana nikaona hakuna ninachokifanya ni bora bendi ife tu”, alimalizia kusema Choki.
Stori na Edwin Lindege, Picha na Kelvin Shayo/GPL

 ..................................................................................

DIAMOND PLATINUMS AUNGANA NA ALI KIBA KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA MAMA 2016



iamond ametangazwa kwenye orodha nyingine ya wasanii watakaoperform kwenye tuzo za MAMA.

Diamond ambaye anawania kipengele cha ‘Best Male’ ataungana na Alikiba ambaye alitangazwa awali, wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Yemi Alade, Nasty C, Emtee, Cassper Nyovest na Patoranking.
Tuzo hizo zitatolewa tarehe 22 Oktoba Johannesburg, Afrika kusini.


.............................................................................................................................................................

















Ndoto Yangu Kushinda Grammy- Vanessa Mdee

vanessa-mdeeVanesaa Mdee
Mwanamuziki wa kike anayesumbua ndani na nje ya Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema ana ndoto kubwa.
Ndoto yake siku moja, kuwa msanii kutoka Tanzania atakayeshinda tuzo za heshima, Grammy.Anaamini kuwa, mwanzo wa kukaribia kuiishi ndoto hiyo umewadia.
Vee Money ni mmoja wa wasanii wa Afrika, waliochaguliwa kurekodi wimbo na mshindi wa Grammy na nyota wa RnB nchini Marekani, Trey Songz.
Shukrani kwa kipindi cha Coke Studio Africa (International Week) msimu wa 4, kinachomdondosha staa huyo.
Akiwa pia anawania tuzo ya Loeries za Afrika Kusini kwa kazi yake ya video bora, Niroge.
“Katika harakati zangu za kutafuta ushindi wa Grammy katika career yangu ya muziki, inanipa nguvu kufanya kazi kwa ukaribu na Trey Songz, ambaye alishawahi kushinda tuzo hiyo.” amesema Vanessa.
Msimu mpya wa Coke Studio utaanza mwezi ujao.

.................................................................................

Tamasha la Tigo Fiesta Lafana Mjini Singida

TAMASHA la Tigo Fiesta liliendelea Mkoa wa Singida usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Namfua Stadium. Wasanii waliotoa burudani ni Nuh Mziwanda, Shilole, Mr Blue, Niki wa Pili, Nandy, Ben Pol na Jux na wengine wengi. shilole-huyu
Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, akiongea na mashabiki wake Uwanja wa Namfua usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Tigo Fiesta.
shilole1
Shilole akicheza sebene na shabiki wake.
img_8993
Mashabiki wakiendelea kumshangilia Shilole (hayupo pichani)
img_9060
Shabiki akiendelea kujiachia na Shilole. shishi-baby
Shilole akiendelea kufanya makamuzi.
jux jux1
Msanii wa Bongo Fleva, Jux,  akiimba wimbo wake mpya wa Wivu.
nuh-mziwanda
Mkali wa wimbo ‘Jike Shupa’ Nuh Mziwanda akifanya yake.
nuh
Nuh Mziwanda akiongea na mashabiki zake.
nikki-wa-pili
Msanii wa Bongo Fleva, Niki wa Pili, akitoa burudani.
nandy
Staa wa Bongo fleva, Nandy (katikati) akicheza na wacheza shoo wake.
img_9036  Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Kheri Sameer, maarufu kama Mr Blue akiimba ngoma ya Mboga Saba.byser-mr-blu
…Akiongea na mashabiki.
tox-star-akitumbuiza
Juma Saidi aka ‘Tox Star’ akifanya yake.

 

.....................................................................................................

Taarabu ‘Usiku wa Kale’ Warindima Dar Live

1
Bi. Mwanahawa Ally wa Zanzibar Stars akiimba.
2
Sabaha Salum akionyesha mashabiki utamu wa sauti yake.
9
Khadija Kopa wa TOT akitoa burudani.
3
Mashabiki wakiselebuka katika midundo ya ala mbalimbali.
4
Khadija Yusuf (kushoto) akicheza mbele ya Sabaha Salum.
7
Ikbar wa All Stars akighani.
\8
Mustafa Ramadhani wa Egyptian Taarab akifanya vitu vyake.
10
Abdul Misambano wa Babloom Taarab akiburudisha.
ONYESHO la taarabu lililopewa jina la Usiku wa Kale ambalo limefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Dar Live Mbagala-Zakhem,  lilikuwa la aina yake ambapo mashabiki walifaidi kila sekunde ya tukio  hilo.
Usiku huo ulioshirikisha bendi za zamani za taarabu za Muungano, Babloom, TOT, Egyptian Taarab, East Africa Melody,  Zanzibar Stars, All Stars  ulikuwa wa burudani ya aina yake kutokana na nyimbo zilizokuwa zikiimbwa kuwakumbusha ‘mbali’ mashabiki.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)

 

............................................................................................

NEYO ALIVYOPPKELEWA JIJINI DAR NA MWANZA,KUTUMBUIZA LEO CCM KIRUMBA

Msanii wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Neyo amewasili jijini Mwanza jioni hii akitokea Dar es Salaam na kupokelewa na umati mkubwa wa wakazi wa jiji hilo kama Mfalme katika Uwanja wa Ndege wa jijini Mwanza.
Neyo check out from the hotel Hyatt Regency 
Msanii wa Kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo akiondoka katika hoteli ya Hyatt Regency-The Kiliamanjaro kueelekea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa safari ya jiji Mwanza kutumbuiza kwenye Jembeka Festival 2016 .
IMG_5465
Attu Mynah and Neyo 
Meneja Masoko wa CFAO Motors Group, Attu Mynah ambao wamedhamini usafiri uliotumika kumwendesha msanii wa kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo gari aina Mercedes Benz GLE 350 D ya mwaka 2016 katika picha ya kumbukumbu na Msanii huyo kabla ya kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
Neyo ta Hyatt Regency-The Kilimanjaro
Msanii wa kimataifa Neyo aki-show love na walinzi maalum kabla ya kuelekea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa safari ya Mwanza.
Neyo official car Mercedes Benz GLE 350 D of 2016
Msanii wa kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo akielekea kwenye gari maalum aina ya Mercedes Benz GLE 350 D ya 2016 lilitolewa na kampuni ya CFAO Motors Group.
Neyo Sorrounded by Tanzanian Bodyguard 
Msanii wa kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere akiwa amezungukwa na walinzi maalum alipokuwa akielekea jijini Mwanza.
Neyo at Julius Nyerere International Airport 
Msanii wa kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mlinzi wake wakielekea jijini Mwanza leo jioni.
Neyo on Maasai Shuka
Balozi wa Umoja wa Mataifa mtoto mwanabadiliko wa mazingira, Getrude Clement akimvisha shuka la kimasai Msanii wa Kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo baada ya kuwasili jijini Mwanza leo jioni.
Getrude Clement na Neyo
Msanii wa Kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo aki-'show love' na Balozi wa Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Umoja wa Mataifa, Getrude Clement aliyefika uwanjani hapo kumlaki na kumvisha shuka la Kimasai. 


Bujora Cultural Troup Mwanza entertain Neyo
Msanii wa kikundi cha ngoma cha Bujora Cultural Troupe cha jijini Mwanza akimshikisha nyoka aina chatu msanii wa kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza jioni hii.
Neyo playing with a snake in Mwanza
Jembe FM Journalist Interviewing Neyo
Waandishi wa habari wa jijini Mwanza wakiwemo wa JEMBE FM wakifanya mahojiano na msanii Neyo alipowasili jijini Mwanza.
IMG_5666
Wakazi wa jijini Mwanza wakisalimana na msanii Neyo kwa shangwe na furaha waliofika kumlaki katika uwanja wandege wa jijini Mwanza.
IMG_5667
IMG_5662
IMG_5305 
Msafara wa msanii wa kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo ukielekea hotelini baada ya kuwasili jijini Mwanza.
Neyo at Malaika Resort 
Msanii Neyo alipowasili kwenye hoteli ya Malaika Resorts ya jijini Mwanza akiwapungia wafanyakazi pamoja na wateja katika hoteli hiyo.
Justine Ndege and Neyo
Mwanasheria wa Jembe Media Group, Justine Ndege katika picha ya pamoja na Msanii wa kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo katika hoteli ya Malaika Resort.
Sebastian Ndege na Neyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Jembe Media Group, Dr. Sebastian Ndege akibadilishana mawazo na msanii wa kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo anayetarajiwa kutumbuiza kesho katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Costantine Magavilla and Neyo
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Jembeka Festival 2016, Costantine Magavilla (t-shirt ya blue) na Msanii wa kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo wakijianda kupanda ndege ya Shirika la Fastjet katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kuelekea jijini Mwanza. Shirika la Ndege la Fastjet ni miongoni mwa wadhamini wa tamasha hilo.
Neyo Crew to Mwanza
Mkurugenzi Mtendaji wa Jembe Media Group, Dr. Sebastian Ndege akiwa na 'crew' iliyoambatana na msanii wa kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo wakipanda ndani ya ndege ya Shirika la Fastjet ambao ni miongoni mwa wadhamini wa Jembeka Festival 2016 kutokea jijini Dar es Salaam kuelekea jijini Mwanza.
Jembeka Festival 2016 boarding Fastjest Airline
Neyo arrived in Mwanza
Mkurugenzi Mtendaji wa Jembe Media Group, Dr. Sebastian Ndege na Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani, Neyo wakishuka kwenye ndege ya Shirika la Fastjet ambao ni miongoni mwa wadhamini wa Jembeka Festival 2016 mara baada ya kutua jijini Mwanza. Kampuni ya simu mkononi Vodacom Tanzania ndio wadhamini wakuu wa Jembeka Festival 2016 kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Fastjet, SYSCORP Cooperation, CF Hospitals, KK Security, Samsung, EF Outdoor, Lacairo Hotel, Ndege Insurance, Jembe Media Group pamoja na Coca Cola.
IMG_5597
Baadhi ya wapiga vyombo waliombatana na msanii wa Marekani, Neyo wakishuka kwenye ndege ya shirika la Fastjet katika uwanja wa ndege wa jijini Mwanza jioni. Kampuni ya simu mkononi Vodacom Tanzania ndio wadhamini wakuu wa Jembeka Festival 2016 kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Fastjet, SYSCORP Cooperation, CF Hospitals, KK Security, Samsung, EF Outdoor, Lacairo Hotel, Ndege Insurance, Jembe Media Group pamoja na Coca Cola.
Costantine Magavilla
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Jembeka Festival 2016, Costantine Magavilla (wa pili kushoto) na Mwanakamati ya Jembeka Festival 2016, Sharon wakiwasili na katika uwanja wa ndege wa Mwanza jioni hii.
Sebastian Ndege
Kutoka kushoto ni Mwenyekiti kamati ya maandalizi ya Jembeka Festival 2016, Costantine Magavilla, Afisa Habari wa Jembe Media Group, Gsengo pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Jembe Media Group, Dr. Sebastian Ndege katika picha ya pamoja.
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania ndio wadhamini wakuu wa Jembeka Festival 2016 kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Fastjet, SYSCORP Cooperation, CF Hospitals, KK Security, Samsung, EF Outdoor, Lacairo Hotel, Ndege Insurance, Jembe Media Group pamoja na Coca Cola.
Msanii huyo anatarajiwa kutumbuiza katika tamasha hilo kwa kupiga 'Live Music' katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo msanii wa kimataifa kutoka nchini, Diamond Platnumz, FID Q, Stamina, Mr. Blue, Ney wa Mitego, Maua Sama, Rubby, Baraka Da Prince, Juma Nature, MO Music na wengine wengi watapanda jukwaa moja na msanii Neyo.

 

...................................................................................................

Diamond akinukisha bonanza la Vodacom fungua Semester, Mabibo

957ce20e-6a42-48e7-9864-2e7f736418cdMsanii wa muziki wa kizazi kipya bongo fleva, Diamond Platinum’s akiwapagawisha mashabiki wake kwenye bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania lililoshirikisha vyuo vikuu vyote vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.
11c5545a-e772-4dfa-97e9-8b1b3c93550aMadansa wa msanii wa muziki wa kizazi kipya bongo fleva, Diamond Platinum’s wakifanya yao wakati wa bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania lililoshirikisha vyuo vikuu vyote vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.
e40c08d7-cfd5-4ba9-9933-ec83f6a34614Nyomi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya jijini Dar es salaam na mashabiki wa msanii wa muziki wa kizazi kipya bongo fleva, Diamond Platinum’s(hayupo pichani)wakipagawa naye wakati wa bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania lililoshirikisha vyuo vyote vikuu vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana. thumbnail_003.BONANZABaadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya jijini Dar es Salaam, wakimkimbiza kuku wakati wa bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania lililoshirikisha vyuo vikuu vyote vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.thumbnail_002.BONANZAJohn Mwakipesile ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam, akiruka juu kujaribu kumtoka beki wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) Abubakari Omary wakati timu hizo zilipomenyana hapo jana na kutoka suluhu ya bila kufungana katika bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania,lililoshirikisha vyuo vikuu vyote vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.
????????????????????????????????????
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St.Joseph jijini Dar es Salaam, Aisha Ramadhan, akiumiliki mpira wakati timu yake ilipopambana na timu ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere Memorial hapo jana katika bonanza la Vodacom fungua semester lililoandaliwa na Vodacom Tanzania, lililoshirikisha vyuo vikuu vyote vya jijini Dar es Salaam na kufanyika katika viwanja vya Mabibo hosteli hapo jana.
...................................................................................
Kwa Heri Ndanda Kosovo ‘Kichaa’


12934847_1064063696984266_1609999490_n
Mwanamuziki mwenye asili ya Demokrasia ya Kongo Ndanda Kosovo enzi za uhai wake.
Makala: Boniphace Ngumije
KWA vijana waliokua miaka ya 2000, wapenzi wa Muziki wa Dansi, jina la Ndandason Onawembo ‘Ndanda Kosovo’, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), halitakuwa geni.
Ndanda alianza safari yake ya muziki akiwa nyumbani kwao Kongo ambapo baada ya kutua nchini alitamba na Bendi ya FM Academia International iliyokuwa maarufu baada ya kutoa Wimbo wa Wajelajela.
Katika wimbo huo Ndanda alishirikiana na wasanii wakali ambao ni pamoja na Nyoshi El-Sadaat, Maluu Stonch, Mulemule FBI, King Blaize, Patcho Mwamba, Gento na wengine wengi waliuimba baada ya kutoka jela walikokuwa wameshikiliwa kwa ishu za kutokuwa na vibali vya kuwaruhusu kuishi  na kufanya kazi Bongo.

Baadaye Ndanda aliachana na Bendi ya FM Academia baada ya kuanzisha bendi iitwayo Stono Musica au Wajelejela Original akiwa na Maluu, Chai Jaba, Patcho na wengineo. Miongoni mwa nyimbo walizotamba nazo wakiwa na bendi hiyo ni pamoja na Binadamu, Kaokota Big G na Kidedea.
Hata hivyo, Ndanda hakudumu sana na bendi hiyo baadaye alitimkia Marekani kwa shughuli za kimuziki, aliporejea Bongo alijikita mkoani Arusha na kuanzisha Kundi la Watoto wa Tembo kabla ya kuachana na bendi na vikundi na kuwa msanii anayejitegemea.
ndanda-2
Akifanya yake enzi za uhai wake.
Kabla ya kukutwa na umauti, historia ya ugonjwa wake inaonesha alianza kusumbuliwa mwaka jana na tatizo la kupasuka kwa mmoja ya mishipa tumboni hivyo kutapika damu lakini madaktari walijitahidi akapona na kuendelea na shughuli zake.
Ndanda alianza kuugua tena hivi karibuni akisumbuliwa na tumbo ambapo alilazwa kwenye Hospitali ya Mwananyamala na baadaye kuhamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, mauti yalipomkuta majira ya asubuhi leo hii.
Baadhi ya mafanikio aliyoyapata kwenye kazi yake ya muziki  ni pamoja na kukubalika na kufahamika na watu wengi nchini, kumudu kuendesha maisha yake mwenyewe pamoja na familia.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI, AMINA.


LINAH ADAI ANATAMANI KUTOKA KIMAPENZI NA WIZKID

Msanii wa muziki Linah Sanga ameweka wazi kwamba anatamani kutoka kimapenzi na staa wa muziki kutoka Nigeria Wizkid.
Akizungumza katika kipindi cha Enewz cha East Africa Television Jumanne hii, Linah amesema mwanaume ambaye anawish kuwa naye ni Wizkid.
“Msanii gani wa Afrika wakiume ambaye ningependa kuwa na mahusiano naye ambaye nilikuwa nampenda au nawish kuwa naye ni Wizkid,” alisema Linah.
Pia Linah amedai hakupendezwa na tetesi ambazo zilizagaa katika mitandao ya kijamii kuwa alilala na Wizkid wakati ambapo alikuwa Nigeria kwa ajili ya show.


KWA KWAYA HII IKIJA HAPA KWETU LAZIMA WATU WATAOKOKA WENYEWE




PREZZO BAADA YA KUMPONDA DIAMOND MASHABIKI WAMVAA


Msanni Prezzo wa Kenya  atakuwa amepata sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter July 10.


Sample ya majibu hayo inaweza kuonekana kupitia comments zote za fans kwenye habari iliyowekwa na mtandao wa ghafla wa nchini Kenya, ambapo asilimia 99 wameonesha kutokubaliana na alichokifanya.

Edwin Mwashegwa  : ah, Diamond achana na huyu mbulula, wewe unda hela!, bifu hazifai.


Top Commenter: Prezzo umepita hiyo age ya beef za kishenzi. Ingia studio utoe kitu, otherwise kwa musiki diamond ako juu. I feel you bro! anything to remain relevant and grab some headlines.

Bellah Ongachi : aaarggh Diamond is waaayy better.. n am sure by the time he hits the years prezzo has stayed in the entertainment scene he'll be miles ahead..so your thing diamond.

Caroline Karijo : Mhhhhh who even listens to to him Jaguar and Diamond r much better than him n we all knw,,,,,,, he can continue playing women who stoops low for him.

Yvonne De Cole : Prezzo ni wivu nini,,,, leave the highest paid musician in East Africa alone,,, ana mulla en he is still simple doesn floss,,,, prezzo inherits yet flosses

De Sheriff : Diamond, silence is the best weapon. let the baby throw tantrums. Prezzo, its tym to mature up.

Diamond hadi sasa bado hajazungumza chochote.


LeoT

HUU NDO MWONEKANO MPYA WA AGNESS MASOGANGE,HAKIKA AMETOKELEZEA MBAYAA




Baadhi ya Picha chache Mpya za Agness Masogange ....Hizi amezitupia kwenye Instragram yake .

Picha za Msanii Hammer Q alipomdunda mkewe Salha, kama mwizi .. 


Baadhi ya picha za mkewe baada ya kipigooooo.







Nguo za Hammer Q zikiwa zimetapakaa damu hatariiiii.


Kwa mujibu wa zeddylicious Salha alipewa kichapo hiki baada ya kumtambulisha rafiki yake wa kiume ambae ni Tx Moshi kwa mumewe Hammer Q. Inavyosemekana alimpiga mateke, mangumi, akampasulia kioo kichwani, kampiga na jiko la mkaa kichwani n.k

HATIMAE MSANII WA TAARAB TANZANIA HAMMER Q KAVUTA JIKO

Yule mkali wa hit song ya pembe la ng'ombe hammer q hivi karibuni amefunga pingu za maisha na mwanadada anaejulikana kwa jina la salha,kwa mujibu wa chanzo chetu kilisema harusi hiyo ilikwenda fresh kama ilivyopangwa .

Thechoicetz Blog tunakutakia ndoa njema na yenye baraka.amin


DIAMOND KATISHAAA MBAYA KWENYE TIGO MIN KABANG BASH JIJINI MWANZA 


Silaha hatari kama kawaida yao wakianza taratibu.....Mpera Mpera tu
hadi kieleweke''


Haya sasa ni mwendo wa nyoka nyoka tu.......
wataelewa sasa hivi au wataelewa baadae...?




Rama Mpauka akimseti roboti wake 
ikafika time ya the prezident kuingia........
Nikistaajabishwa na shangwe na umati wa watu waliokuwa
wamefurika uwanjani pale pale tu nilipotokea uwanjani



....hapo sasa yanii....afe kipa afe beki lakini ushindi lazima....



Kaskazini mwa uwanja wa ccm kirumba umati
 wa watu waliofurika wakishuhudia
 amsha amsha ya wasafi





nimpende nani sasaaa...........???

Aya sasa....Nilikuwaga na nani zamani.....???? Alafu akafanyaje.....??
Leo nataka mtoto wa mwanza kunitibu maradhi nayougua


hakika nilikumbuka kigoma............





siwasikii..etiii??






haya twende sasa mashetani yashanianza.............

aaah..wosaaa aiiiii.....wosaaaaaa...ha ha ha ..vijana
wangu wakinipandisha mizuka

Ndiyo kusema nani amenunaa??nani
 amenunaaa??siwasikii..nani...??


NAY WA MITEGO NA DIAMOND KUJA NA NGOMA MPYA..."SALAMU ZAO"

Baada ya kutamba na Muziki Gani, Diamond na Nay Wa Mitego wako mbioni kuachia ngoma nyingine hivi karibuni baada ya kupembua ipi ianze kati ya ‘Salamu Zao na Kwa Masela’.
Nay ameiambia mpekuzi kuwa kuna nyimbo tatu ambazo zipo tayari, Salamu Zao, Kwa Masela na Utakula Jeuri Yako, hawajajua ipi itaanza kutoka kwasababu kila mmoja yupo katika tour zinazoendelea. 
Wamesema wakikaa wakashauriana na wadau mbalimbali ndipo watakapoamua mzigo upi uingie mtaani kwanza.
“Kuna kazi ambazo zinakuja hivi karibuni ambazo nimefanya na Diamond lakini mpaka sasa hivi sijajua ni ipi ambayo itaanza kutoka lakini tutawaita wadau wachague ipi ianze kati ya ‘Salamu Zao na Kwa Masela’ ambazo zipo tayari na ‘Utakula Jeuri Yako’ nimefanya mwenyewe...
"Ilibidi tutoe nyimbo ambayo tumefanya na Diamond lakini mpaka sasa hivi hakuna maamuzi ya moja kwa moja tuitoe au kila mtu atoe ya kwake au tutaendelea na project yetu iliyoendelea, kwahiyo wadau wakae mkao wa kula,” amesema Nay.

OMMY DIMPOZ APATA SHAVU LA KUFANYA TOUR MAREKANI NA CANADA

Omary Fereji Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, amesaini mkataba na kampuni ya DMK Global Promotion leo hii kwa ajili ya tour atakayoifanya Canada na Marekani mwezi wa tisa mwaka huu baada ya kumaliza tour nyingine barani ulaya.

"Yaah nimesaini mkataba na nitaondoka kwenda kwenye tour hiyo mwanzoni mwa mwezi wa tisa, imekuwa hivyo kwasababu tunasubiri mwezi mtukufu upite si unajua tena, kampuni niliyosaini nayo inaitwa DMK global promotion ambayo ni ya mtanzania ambae anaishi marekani." amesema Dimpoz 

Alipoulizwa  kuhusu mkwanja alioingiza kwa mkataba huo, Dimpoz aligoma kutaja kiasi na kusema 

"aaaah unajua tena kwa matatizo yaliyotokea nikitaja tena na mkwanja nilioingiza si ndio itakuwa matatizo kabisa? .

 

 

PICHA ZA SHOW YA LADY JAYDEE NYUMBANI LOUNGE.... WATU WALIJAA MPAKA WAKAANZA KUBEBANA

Mwanadada Judith Mbibo aka Lady Jaydee usiku wa kuamkia Jumamosi ya June 15 amefanikiwa kuweka historia kwenye muziki wa Tanzania kwa kulijaza eneo zima la Nyumbani Lounge alipokuwa akifanya show yake ya kuadhimisha miaka 13 tangu aanze muziki. 
DSC_4275

Katika show hiyo, Lady Jaydee amesindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo Juma Nature, Sugu, Profesa Jay, Wakazi, Grace Matata na wengine. Pia Jaydee ameitumia siku hiyo kuzindua albam yake mpya, Nothing But The Truth na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Hizi ni picha za show hiyo.

Umati wa watu unaoshuhudia show ya Lady J Dee sasa hivi hapa Nyumbani Longe.

Lady J Dee anatoa burudani ya kutosha kwa mashabiki.

Professa Jay akiwa back stage anajiandaa kupanda jukwaani kutoa burudani nzuri kwa mashabiki
 

Miaka 13 ya Lady j Dee#sasa hivi ndiyo Mh.Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu ameingia

Lady J Dee anatoa burudani ya kutosha kwa mashabiki.

Lady J Dee anatoa burudani ya kutosha kwa mashabiki.

Team Times Fm 100.5 (Dj Jors Bless,Ndimbo na Mariam)

Sugu na Mkoloni wanatoa burudani kali kwa mashabiki.

Mama mzazi wa Lady J Dee naye amekuja kushuhudia show ya mwanae.

Juma Nature anatoa burudani kwa mashabiki

Sugu akitoa burudani kali kwa mashabiki
M 2 The P akiongea machache baada ya kukaribishwa kwenye jukwaa na Juma Nature

TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS ZITARUSHWA LIVE MTANDAONI....

































Usiku wa tuzo za Muziki Tanzania maarufu kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 unatarajiwa kuonyeshwa live mtandaoni siku ya Jumamosi, Juni 8. Tofauti na miaka mingine ambayo tukio la utoaji tuzo tu ndio lilikuwa likionyeshwa kupitia kwenye TV pekee, na kuwanyima fursa Watanzania waishio nje ya nchi kufuatilia moja kwa moja, mwaka huu watumiaji wa mtandao wa Internet wataweza kuangalia toka mwanzo tukio la Red Carpet litakaloanza saa moja jioni wakati wanamuziki na watu wengine mashuhuri wakiwasili ukumbini. Pia tukio la utoaji tuzo litakaloanza rasmi saa tatu usiku litakuwa moja kwa moja mtandaoni hadi...

 

BABY MADAHA NA WOLPER WAMALIZA BIFU LAO......KISA KILIKUWA NI NYUMBA YA KUPANGA






























WASANII wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ na Jacqueline Wolper Massawe ‘Wolper’ wamemaliza bifu lao lililokuwa likifukuta kama moto wa kifuu mwishoni mwa wiki mbili zilizopita. Akizungumza na mwandishi  wetu katikati ya wiki hii, Baby alisema alikuwa Mkoani Geita kwa ziara ya kikazi lakini alipigiwa simu na Wolper akimuomba msamaha kutokana na tofauti zao zilizosababishwa na nyumba ya kupanga. “Nimeona bora yaishe kwa sababu Wolper amekubali kosa na mimi siwezi kuendeleza bifu lakini kama asingeniomba msamaha tungefikishana mbali,’’ alisema Baby Madaha na kuongeza: “Nimemalizana na Wolper...

Comments

Popular posts from this blog