MAITI YAKUTWA NA KETE 65 ZA DAW ZA KULEVYA
[DIWANI ATHUMANI- ACP] KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA WA KWANZA KUSHOTO AKIANGALIA MWILI WA MAREHEMU KASSIM SAID KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI RUFAA MBEYA PIPI 65 ZA DAWA ZIDHANIWAZO KUWA ZA KULEVYA ZILIZOKUTWA TUMBONI KWA MAREHEMU NA MOJA KATI YA PIPI HIZO IKIWA IMEPASUKA . § MNAMO TAREHE 07.11.2013 MAJIRA YA SAA 11: 00HRS HUKO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KYELA MKOA WA MBEYA. KASSIM SAIDI MBOYA , MIAKA 36, MKAZI WA DSM ALIFARIKI DUNIA WAKATI AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALINI HAPO. MAREHEMU ALIFAHAMIKA JINA KWA MUJIBU WA HATI YAKE YA KUSAFIRIA NAMBA – AB 051010 KUTOKA DSM KUELEKEA LILONGWE NCHINI MALAWI. § MAREHEMU ALIKUWA ANASAFIRI AKIWA KATIKA BASI LA TAQWA LENYE NAMBA ZA USAJIRI T.319 BLZ AINA YA...