Posts

Showing posts from August 26, 2016

BREAKING NEWZZ….MAPAMBANO MAKALI KATI YA POLISI NA MAJAMBAZI MUDA HUU HUKO VIKINDU.

Image
Picha na Maktaba Mapigano makali yanaendelea kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani. Timu ya Mwananchi iliyo eneo la tukio imeshuhudia magari ya polisi (defenda) zaidi ya 16 yakifika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa. Kadhalika, magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkurang, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru zimefungwa kutokana na mapambano hayo. Mapigano makali yanaendelea kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani. Timu ya Mwananchi iliyo eneo la tukio imeshuhudia magari ya polisi (defenda) zaidi ya 16 yakifika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa.

Salama: Nilimdis MwanaFA, Akanimaindi Kinoma!

Image
Salama Jabir. U KIAMBIWA umtaje Muasisi wa Kipindi cha Planet Bongo cha EATV ambacho enzi ana-kifanya kilicha-ngia ubora wa video za Muziki wa Bongo Fleva nchini kukua kutokana na kasumba yake ya kuzikosoa bila woga, moja kwa moja utamtaja Salama Jabir ‘EceJay’. Pia ukikutana naye, Salama ni mcheshi, mtundu na ana ufahamu mkubwa katika masuala ya burudani. Kama ulishawahi kufuatilia Vipindi vya Mkasi, Ngazi kwa Ngazi na Shindano la Bongo Star Search (BSS) namna ya uulizaji wake wa maswali kimtego utaku-baliana nami. Mwi-shoni mwa wiki iliyo-pita, Salama alifa-nyiwa maho-jiano katika Kipindi cha The Playlist cha Omary Tambwe ‘Lil Ommy’ kinachorushwa kupitia Radio Times FM na katika makala haya yanaanika mahojiano hayo; Ommy: Ngoma yako unayoikubali zaidi ni ipi? Salama: Ahahaa! Jana (Ijumaa) ujue nilikuandikia meseji, sasa nilikuwa nimeshiba kichizi na nilikuwa nimekaa kwenye kikochi changu f’lan hivi cha tafakuru ambacho ukikaa lazima madini yashuke!