MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI
Mgombea Mwwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Mtopa, baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi Mgombea Mwwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Mtopa, baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi Wasanii wa Bongo Movie kina Wema Sepetu wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Mnazi Mmoja mkoani Lindi leo Aliyekuwa Katibu wa wilaya ya Lindi mjini wa Chadema, Abdalla Madebe ambaye alikuwa ndiye mpigadebe mkubwa wa Mbunge anayemaliza mda wake wa Lindi mjini, maarufu kwa jina la Bwege, akibebwa na wananchi baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa kampen...