Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu āBoziā . Mamaaa! Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu āBoziā ameibuka na kuanika kijasiri kuwa āameshambonjiā na mastaa wa kiume 15 wa Bongo huku akisema kitendo hicho hakijamuondolea hadhi yake, Risasi Mchanganyiko linatiririsha. Akizungumza katika mahojiano maalum na waandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar, Bozi alitamka hayo kwa kujiamini zaidi.Mahojiano kati ya msanii huyo na Risasi Mchanganyiko yalikuwa kama ifuatavyo: Risasi: āMzima Bozi?ā Bozi: āMi mzima sana. Enhe! Karibuni maana nasikia mmenitafuta sana, kuna nini?ā Risasi: āTumeshakaribia. Sisi tunataka kufanya mahojiano na wewe kuhusu sanaa kwa ujumla, ugumu na wepesi wake.ā Bozi: āOke, sawa.ā Fatuma Ayubu āBoziāakipozi. Risasi: āOke, labda kwa kuanzia Bozi, umeshapambana na ugumu wowote kwenye fani? Kama vile kulazimishwa kuvaa nguo za hasara kutokana na āsiniā unayoigiza?āBozi:...