Posts

Showing posts from February 12, 2014

MAMBO HAYA HUCHANGIA MWANAUME KUWA MCHOVU KITANDANI!!!

Image
Kuna malalamiko mengi sana yamekuwa yakitolewa na wanawake na wengine kufikia kuvunja ndoa au mahusiano kwa sababu tu wanaume wao wameshuka kiwango au ham imeisha kabisa ya tendo. Lawama hizo wamekuwa wakiwatupia wanaume bila kuangalia uhalisia wake. Ukweli ni kuwa wanawake wenyewe ndo wamekua chanzo kikubwa cia tatizo hili. Sababu zifuatazo kwa ufaham wangu ndo zinasababisha: UCHAFU: Wanawake siku hizi wanashindwa kujifanyia usafi ipasavyo miili yao kitu kinachosababisha mwanaume kukereka na hamu kwisha. KAZI: Wanawake wa siku hizi inafahamika kuwa wanafanya kazi,mwanamke anarudi kazini na uchovu, stress, katukanwa na bosi wake, amepata loss, ametongozwa na boss na kutishiwa kufukuzwa kazi kama atamkataa, amesikia fununu za ridandasi n.k,mwanamke kama huyu hawezi kuwa na ndoa imara. KUTOKUWA MUWAZI: Hili ni tatizo kubwa, wanawake hawapo wazi kama hawajatosheka kitandani hivyo wanaenda kulalamika nje na pindi mume apatapo taarifa hunyong'onyea kwa sababu

UMUHIMU WA CHAKULA KATIKA MAPENZI/MAHUSIANO!!!!

Image
  Chakula ni moja ya kitu ambayo huchukuliwa saana for granted katika maisha yetu ya kila siku… Kana kwamba hakina umuhimu wowote mpaka pale utaposikia njaa – However if you are lucky enough waweza jua/tambua kua with food… Great food at that you can do wonders katika mambo mengi, - mahusiano yakichukua kipengele chake pia. Hayo mahusiano yaweza kua mahusiano ya urafiki/undugu/ujamaa na la muhimu zaidi yanaweza kua ni Mahusiano ya Mapenzi ikienda hand in hand na tendo husika… Najua na naamini kua usasa umetuingia na kututawala saana… tumefika wakati tunashindwa kujua kitu gani katika culture za watu (hasa magharibi) tuige na zipi tutupie mbali. Bahati mbaya saana katika jamii saizi sio ajabu kabisa kukuta mdada mtu mzima hajui kupika na ata admit kwa wazi kabisa kua hajui kupika… (sijui haoni aibu?? – lkn ngoja niachane na hawa niendelee na topic!) Na wengine akina mama anaendekeza binti yake asipike kwa sababu eti yuko busy na masomo, kuna msichana wa kazi or hata

STAREHE NA WABONGO NI KAMA MAPACHA...HATUOGOPI KITU TUNAPOSIKIA MATANUZI....!SOMA ZAIDI HAPA...!

Image
Taasisi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na masuala ya Madeni ya Taifa na Maendeleo (TCDD), kila mwaka imekuwa ikitoa taarifa kuhusu kukua kwa deni la taifa na kuihadharisha Serikali ya Tanzania kuhusu tabia yake ya kupenda kukopa kwa ajili ya matumizi yasiyo na msingi. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo, Hebron Mwakagenda, Serikali imekuwa ikikopa fedha kwa ajili ya matumizi yasiyo muhimu na ndiyo sababu ya kukua kwa deni la taifa. Serikali imetamba kuwa itaendelea kukopa kwa sababu Tanzania ina rasilimali nyingi ambazo inaweza kuzitumia kuweka rehani ili ipate mikopo na haijafikia hatua ya Serikali ishindwe kukopesheka. \ Hii ni akili ya ajabu kabisa, kwamba unakopa kwa rasilimali ulizonazo ambazo nyingine hata hujaanza kuzivuna, bila ya kuzingatia kuwa rasilimali hizo siyo zako peke yako ni kwa ajili pia ya vizazi vingi vijavyo. Serikali inachofanya ni ulafi, ponda mali, kufa kwaja. Kwa sababu inafahamu awamu hii itaondoka madarakani na itakuja awam

RUKUVI ARIDHIKA UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA

Image
  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi jana alitembelea ukumbi wa Bunge maalum la Katiba, linalotarajia kuanza Februari 18, mwaka huu na kujiridhisha na marekebisho ambayo yamefanyika. Akizungumza na waandishi wa habari, Lukuvi alisema viti 676 vimeshafungwa pamoja vipaza sauti vyake. Alisema maeneo kwa ajili ya chakula kwa wajumbe tayari yamekamilika, ofisi za viongozi wakiwemo Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti watakaoteuliwa tayari pamoja na kumbi nyingine ndogo. Lukuvi alisema Ofisi ya Bunge imeshatafuta kumbi nyingine nje ya Bunge, kwa ajili ya kufanyika mikutano itakayohitaji wajumbe wengi. "Maandalizi ya msingi sasa yameshakamilika, kilichobaki Katibu wa Bunge na Naibu wake ambaye ni Katibu wa Baraza la Wawakilishi watangaze siku ya kuja," alisema Lukuvi. Hata hivyo, alisema wabunge wote watatakiwa kuwepo Dodoma kabla ya Februari 18, siku ambayo vikao vya bunge hilo vinaanza. "Siku moj

Wastara adaiwa Kunywa Sumu

Image
Stori: Gladness Mallya IKIWA imetimia mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu kifo cha mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Jumamosi iliyopita amedaiwa kufanya jaribio la kutaka kujiua kwa kunywa sumu. Wastara akiwa kitandani baada ya kunywa sumu. KABLA YA YOTE Awali, staa huyo ambaye amepitia mitihani mingi, alitundika picha katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram na kulalamika kuumwa tumbo. Katika maelezo aliyoyaandika sambamba na picha hiyo, Wastara alimshukuru msanii mwenzake, Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa msaada aliompatia kwa kuwa alikuwa katika hali mbaya. SUMU YATAJWA Siku chache baada ya kuweka picha hiyo, Risasi Mchanganyiko lilipata kisa kizima kupitia kwa chanzo chake makini kuwa staa huyo alisumbuliwa na maumivu ya tumbo baada ya kuokolewa katika jaribio lake la kutaka kukatisha uhai wake kwa kunywa sumu. SUMU ILIYOTUMIKA Inadawa kuwa Wastara aliamua kunywa vidonge aina ya fragile kwa kuchanganya na pom

A father has allegedly beaten his four-year old son to death

Image
A father has allegedly beaten his four-year old son to death, padlocking his mouth to prevent him from shouting while the beating lasted. The incident occurred on Monday afternoon at 7, Adetola Adelaja Street, Meiran area of Lagos. It was gathered that the man, Mr. Chris Elvis, who claims to sell computer accessories, allegedly locked his son, Godrich in the room, padlocked his mouth and beat him to death with an object that inflicted deep cuts all over his body, claiming that the boy was an Ogbanje (evil child that dies and reincarnates repeatedly). The man landed in trouble when his landlady, Mrs Popoola who was in the market, was informed that something was happening in her house. She rushed home and discovered that the boy had been beaten to death by his father. She rushed to Meiran Police Station to report the matter. The police stormed the house around 9 O’clock last night to arrest Elvis who was about to escape. After allegedly killing the boy, he locked

BALAA JIPYA LA AGNESS MASOGANGE HILI HAPA

Image
  Unamkubali Agnes Masogange , Basi hizi ndizo picha alizo share na fan wake wa Instagram akiwa ufukweni weekend iliyoisha. Picha hii ameandika " With my frnd mjeda nishida tupu Leo na Cheus wangu @linexsundaymjeda #Beach life"

Majibu ya Msanii Linah Kuhusu tetesi za Yeye Kuwa Mama Kijacho

Image
Muimbaji wa THT, Linah Sanga amesema tetesi za kuwa ni mjamzito si za kweli. Linah ameiambia Mdadisi Mambo blog kuwa masuala ya ujauzito, kuolewa na kuwa na familia ni ya muhimu kwa kila msichana lakini kwa sasa bado hajaweza kuvifanya hivyo. “Hakuna kitu kama hicho na wala hakijawahi kutokea kitu kama hicho,” Linah amesema kujibu swali kama kweli ni mjamzito. “Mipango ipo lakini unajua mimi ni mtoto wa kike na mipango kama hiyo lazima iwepo. Nikiwa kama mtoto wa kike, nitahitaji familia, vitu kama hivyo ntavihitaji apart from kazi yangu, hata hayo masuala ya mimba na kila kitu, kuzaa na nini, ntakuwa tayari endapo Mungu atanisaidia mume, ndoa. Kwahiyo hayo yote sijui kuonekana ni maneno tu, rumors haziishi, kwa msanii kama mimi lazima rumors ziwepo, lazima watu wataongea vitu vingi vya tofauti. Hayo mambo ya ujauzito walishaongea sana lakini mwisho wa siku wanaishia kunyamaza kwasababu hakuna mtu mwenye uhakika wa hicho kitu,” amesema Linah. Kuhusu ukimya wake, L

FUKWE ZA TANZANIA UCHOCHORO WA DAWA ZA KULEVYA

Image
  Baada ya kikosi kazi cha Jeshi la Polisi cha Kudhibiti Uharamia Baharini kukamata kilo 201 za dawa za kulevya aina heroini zilizokuwa zikiingizwa nchini kutoka Iran. Sasa imefahamika kuwa madawa ya kulevya yanapitishwa kwenye bahari ya hindi. Hii imethibotishwa  kwenye gazeti la MWANANCHI kutoa maelezo ya kina kuhusu madawa hayo. Polisi wa kikosi  kupambana na dawa za kulevya wakizifungua dawa hizo zilizokamatwa jana kwenye jahazi liitwalo Kunarak-Iran iliyokutwa katika bahari ya Hindi eneo la Tanzania ikiwa na Heroin kilo 201, pamoja na raia wa nane wa Iran na  wapakistan wanne.Picha na Michael Jamson Gazeti la mwananchi linaeleza kuwa; wakati vita ya kupambana na biashara ya dawa za kulevya ikiendelea nchini, wasafirishaji wa dawa hizo wameanza kutumia fukwe ndogondogo za bahari nchini kuziingiza kutoka Mashariki ya mbali, gazeti hili limebaini. Januari 10, mwaka huu saa 6:30 usiku, mwandishi wetu alishuhudia mzigo unaoaminika kuwa ni dawa za kulevya, ukishushwa ku

HII NDIO HISTORIA KAMILI YA MWANADADA AUNT EZEKIEL, KUANZIA ALIPOZALIWA NA MAISHA YAKE KIUJUMLA

Image
  JINA la Aunt Ezekiel siyo geni kwa wadau mbalimbali wa burudani hapa nchini, ni staa ambaye hivi sasa ana jina kubwa kupitia sanaa yake ya uigizaji wa filamu aliyoianza miaka sita iliyopita. Japokuwa kwa sasa ni staa, amepitia mambo mengi magumu katika safari yake ya maisha mpaka kufikia hapo alipo hivi sasa. Aunt alizaliwa mwaka 1988 mkoani Dar es Salaam, baba yake akijulikana kama Ezekiel Grayson’ Jujuman’ ambaye alikuwa ni mchezaji hodari sana wa timu ya Simba. Alipata elimu yake ya msingi katika Shule ya Bunge mwaka 1993 hadi 1998. Alienda kumalizia darasa la saba katika Shule ya Msingi Chanzige iliyopo Kisarawe, mkoani Pwani. Vipi maisha yalikuwaje baada ya kumaliza shule? “Kwa kweli maisha yalikuwa ni magumu mno kwa maana nilipomaliza shule tu, alijitokeza mwanaume na kutaka kunioa kitu ambacho mimi sikukipenda kabisa lakini baba yangu alitaka hivyo kwa vile uwezo wa kunisomesha hakuwa nao tena na maisha yalikuwa ni magumu sana. “Baada ya kuona